-
Le Monde: Hakuna matumaini ya kukomeshwa vita hivi karibuni nchini Sudan
Feb 11, 2024 12:07Ripoti iliyochapishwa na gazeti la Ufaransa la Le Monde imesema kwamba, baada ya zaidi ya miezi 9 ya vita kati ya Jeshi la Sudan linaloongozwa na Abdel Fattah al-Burhan na Vikosi vya Msaada wa Haraka chini ya uongozi wa Mohamed Hamdan Dagalo, hakuna uwezekano wa kumalizika vita hivyo karibuni.
-
Sudan yakanusha taarifa za UN kuhusu Al-Burhan kukubali kukutana na Hemedti nchini Uswisi
Feb 09, 2024 08:10Ofisi ya Rais wa Jamhuri ya Sudan jana Alhamisi ilikanusha taarifa iliyotolewa na Mratibu wa Masuala ya Kibinadamu wa Umoja wa Mataifa, Martin Griffiths, ambaye alidokeza kuwa Rais wa Baraza Kuu la Utawala nchini Sudan, Jenerali Abdel Fattah Al-Burhan, amekubali kukutana na Kamanda wa Kikosi cha Msaada wa Haraka, Mohamed Hamdan Dagalo (Hemedti), nchini Uswisi, kwa madhumuni ya kuwezesha kuwasili kwa misaada kwa watu walioathirika na vita huko Sudan.
-
UN: Nusu ya wakazi wa Gaza katika hatari ya kufa njaa
Dec 15, 2023 10:38Afisa wa ngazi ya juu wa Umoja wa Mataifa ameonya kuwa, asilimia 50 ya wakazi wa eneo la Palestina la Ukanda wa Gaza linalokaliwa kwa mabavu wapo hatari ya kupoteza maisha kutokana na makali ya njaa.
-
Njaa yaua watu 176 eneo la Tigray, Ethiopia
Dec 14, 2023 03:10Watu wasiopungua 176 wameaga dunia katika eneo la Tigray la kaskazini mwa Ethiopia kutokana na njaa iliyosababishwa na ukame ambao umeendelea kushuhudiwa katika baadhi ya maeneo ya nchi hiyo.
-
Ripoti: Karibu robo milioni ya watu wanakabiliwa na uhaba mkubwa wa chakula
Sep 15, 2023 11:50Takriban watu milioni 238 wanasumbuliwa na viwango vya juu vya ukosefu wa usalama (utoshelevu) wa chakula katika nchi 48 duniani.
-
Mamilioni wahama makazi yao Somalia kutokana na ukame, migogoro
Sep 01, 2023 03:05Robo ya wananchi wote wa Somalia wamelazimika kuyahama makazi yao kutokana na ukame na migogoro.
-
Watoto milioni 3 katika hatari ya kufa njaa Sudan Kusini
Jul 28, 2023 12:05Maafisa wa serikali ya Sudan Kusini wamesema mamilioni ya watoto nchini humo wapo katika hatari ya kupoteza maisha kutokana na mgogoro wa njaa unaolikabili taifa hilo changa zaidi barani Afrika.
-
Mamilioni ya watoto wa Yemen wanakabiliwa na hatari ya baa la njaa
Jul 19, 2023 08:00Zaidi ya watoto milioni 6 nchini Yemen wanakabiliwa na hatari ya baa la njaa na kwamba, wanahitajia misaada ya haraka ya chakula na dawa.
-
UN: Kuongezeka kwa njaa duniani ni matokeo ya Corona na vita
Jul 14, 2023 08:02Umoja wa Mataifa umetangaza kwamba migogoro mingi, ikiwa ni pamoja na vita na maambukizi ya virusi vya Corona, imezidisha idadi ya watu wenye njaa duniani.
-
UN: Mamilioni katika hatari ya kufa njaa Sudan, Haiti, Burkina Faso, Mali
May 29, 2023 10:31Mashirika mawili ya Umoja wa Mataifa yameonya kuwa, mamilioni ya watu wapo katika hatari ya kufa njaa katika nchi za Sudan, Haiti, Burkina Faso, na Mali.