-
NGO's: Mtu mmoja hufariki dunia kwa njaa kila baada ya sekunde 36 kuanzia Sahel hadi Pembe ya Afrika
Apr 28, 2023 11:27Umoja wa Mataifa na mashirika yasiyo ya kiserikali yametangaza kwamba mtu mmoja hufariki dunia kwa njaa kila baada ya sekunde 36 katika nchi za Ethiopia, Kenya na Somalia, huku watu milioni 18.6 wakikabiliwa na uhaba mkubwa wa chakula katika eneo la Sahel barani Afrika.
-
Ripoti: Ukame uliua watu zaidi ya 40,000 nchini Somalia 2022
Mar 22, 2023 02:18Utafiti uliofanywa na Wizara ya Afya ya Uswisi, Shirika la Afya Duniani (WHO) na Shirika la Elimu, Sayansi na Utamaduni la Umoja wa Mataifa (UNESCO) umeonyesha kuwa, ukame ambao ni mrefu zaidi kuwahi kurekodiwa nchini Somalia umesababisha makumi ya maelfu ya watu kupoteza maisha.
-
Indhari ya UN: Njaa inatishia maisha ya mamilioni ya Wasyria
Jan 29, 2023 07:48Shirika la Mpango wa Chakula la Umoja wa Mataifa (WFP) limetahadharisha kuhusu hatari inayotishia maisha ya mamilioni ya wananchi wa Syria kutokana na ukosefu wa chakula na njaa.
-
Afrika mhanga wa matokeo na taathira ya migogoro ya kimataifa
Oct 17, 2022 05:48Akthari ya mataifa ya Afrika ambayo katika miongo ya hivi karibuni yalifanya hima kubwa ya kujenga miundomsingi yao ya kiuchumi kwa minajili ya kuboresha hali ya uchumi wao, filihali yanahesabiwa kuwa wahanga wakubwa zaidi wa matukio ya sasa ulimwenguni.
-
Njaa yaua watu 900 katika eneo la Karamoja, Uganda
Jul 26, 2022 07:54Mamia ya watu wamepoteza maisha kutokana na makali ya njaa katika eneo la Karamoja, kaskazini mwa Uganda.
-
Wakenya waipongeza serikali kwa kupunguza bei ya unga wa ugali
Jul 19, 2022 12:31Wakenya wamefurahia hatua ya serikali kupunguza bei ya unga wa mahindi. Baadhi ya Wakenya wamejitokeza kwenye mitandao ya kijamii kushukuru hatua ya serikali kupunguza bei ya unga wa mahindi.
-
Wakenya milioni 14 wanasumbulia na njaa huku mgogoro wa chakula ukishtadi
Jul 11, 2022 11:09Mashirika ya Umoja wa Mataifa yamesema Kenya ni miongoni mwa nchi 63 duniani zenye idadi kubwa ya watu wanaokabiliwa na lishe duni kutokana na uhaba wa chakula.
-
UN: Watu bilioni 2.3 walikumbwa na uhaba wa chakula 2021
Jul 07, 2022 07:52Taasisi za Umoja wa Mataifa zimeonya kuwa, kupanda kwa bei za chakula, fueli na mbolea kote duniani kulikosababishwa na vita vya Ukraine kunaiweka dunia katika hatari ya kutumbukia kwenye mgogoro mkubwa wa chakula na baa la njaa.
-
UN: Utapiamlo umeua watoto 200 nchini Somalia
Jul 06, 2022 06:16Ofisi ya Umoja wa Mataifa ya Kuratibu Masuala ya Kibinadamu (OCHA) imesema kwa akali watoto 200 wamepoteza maisha nchini Somalia kutokana na utapiamlo.
-
Ripoti: Nusu ya watu wa Somalia wanahitaji msaada wa haraka wa chakula
Jul 04, 2022 10:58Maeneo ya kandokando ya mji mkuu wa Somalia, Mogadishu yamekumbwa na wimbi kubwa la wakimbizi wanaolazimika kukimbia makazi yao kutokana na njaa iliyosababishwa na ukame mkubwa huko kusini na magharibi mwa Somalia.