-
UN: Wakulima milioni 23 wanahitajia msaada kusini mwa Afrika
Jul 28, 2016 23:46Umoja wa Mataifa umesema wakulima milioni 23 katika nchi za kusini mwa Afrika wanahitajia msaada wa dharura kwa ajili ya kujiandaa na msimu ujao wa upaliliaji.
-
UNICEF: Watoto elfu 49 wanakabiliwa na utapiamlo Nigeria
Jul 20, 2016 02:56Mfuko wa Watoto wa Umoja wa Mataifa UNICEF umetahadharisha kuwa, watoto 49,000 wako katika hatari ya kupoteza maisha kutokana na baa la njaa na utapiamlo nchini Nigeria.
-
Watu karibu laki sita wanakabiliwa na baa la njaa Angola
Jun 02, 2016 23:23Umoja wa Mataifa umeonya kuwa watu laki tano na elfu 80 wako katika hatari ya kupoteza maisha kutokana na baa la njaa nchini Angola.
-
Watu milioni 8 wanahitajia msaada wa chakula Malawi
May 25, 2016 23:56Serikali ya Malawi imesema kuwa, zaidi ya watu milioni 8 wanahitajia msaada wa chakula nchni humo.
-
Msalaba Mwekundu: Watu milioni 31 wanahitaji misaada ya dharura kusini mwa Afrika
May 17, 2016 23:03Mashirika ya Msalaba Mwekundu na Hilali Nyekundu yamesema yanahitaji dola milioni 110 za Marekani ili kuzisaidia nchi za kusini mwa Afrika, zinazokabiliwa na hali mbaya ya ukosefu wa chakula na lishe duni iliyosababishwa na ukame.
-
Madai ya serikali ya Msumbiji kuhusu usiri katika deni la nchi hiyo
Apr 29, 2016 23:43Waziri Mkuu wa Msumbiji amesema kuwa, machafuko nchini humo ndiyo sababu kuu iliyoifanya serikali kuamua kuficha habari kuhusu deni la dola bilioni moja na laki nne la nchi hiyo kwa Mfuko wa Fedha wa Kimataifa IMF.
-
Umoja wa Mataifa: Watu milioni 30 barani Afrika wanakabiliwa na ukame na baa la njaa
Apr 17, 2016 02:37Umoja wa Mataifa umetangaza kuwa, ukame na baa la njaa linatishia maisha ya watu milioni 30 barani Afrika.
-
UN yahitaji $M 105 kuokoa maisha kwenye ukame Somalia
Apr 01, 2016 03:24Mashirika ya kutoa misaada ya kibinadamu nchini Somalia yamezindua ombi la msaada wa dola milioni 105 kwa minajili ya kunusuru maisha na kujenga uthabiti wa zaidi ya watu milioni moja katika maeneo yaliyoathiriwa na ukame kaskazini mwa Somalia
-
UN: Wakimbizi wa Mali walioko Burkina Faso wanakabiliwa na baa la njaa
Mar 31, 2016 03:45Maelfu ya wakimbizi wa Mali waliokimbilia katika nchi jirani ya Burkina Faso wanakabiliwa na uhaba mkubwa wa chakula na kwa sasa wako katika hatari ya kukumbwa na baa la njaa.
-
Ripoti: Waganda milioni 4 wanakabiliwa na baa la njaa
Mar 28, 2016 09:07Ripoti mpya imeonyesha kuwa mamilioni ya wananchi wa Uganda wanakabiliwa na baa la njaa. Asilimia 11.8 ya Waganda, ambayo ni zaidi ya watu milioni 4 wanakabiliwa na baa la njaa kutokana na umaskini na ugumu wa maisha.