Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

njaa

  • Oxfam: Dunia inakabilwa na mgogoro wa baa la njaa

    Oxfam: Dunia inakabilwa na mgogoro wa baa la njaa

    Jul 09, 2021 02:11

    Shirika la misaada ya kibinadamu la Oxfam limetangaza kuwa, watu 11 hufariki dunia kila baada ya dakika moja kote duniani kutokana na njaa.

  • Ripoti: Watu 350,000 wamekumbwa na baa la njaa huko Tigray nchini Ethiopia

    Ripoti: Watu 350,000 wamekumbwa na baa la njaa huko Tigray nchini Ethiopia

    Jun 10, 2021 21:43

    Kamati ya ngazi ya juu inayoongozwa na UN ambayo inajihusisha na kutafuta majibu ya haraka kwa mizozo ya kibinadamu inakadiria kwamba, karibu watu 350,000 katika mkoa wa Tigray uliokumbwa na vita huko Ethiopia wanasumbuliwa na baa la njaa.

  • Msambao wa COVID-19 washadidisha baa la njaa ulimwenguni

    Msambao wa COVID-19 washadidisha baa la njaa ulimwenguni

    Apr 29, 2021 03:35

    Msambao wa virusi vya corona unaelezwa kuwa umeshadidisha baa la njaa katika maeneo mbalimbali ulimwenguni.

  • Serikali: Wakenya milioni 1.4 wanasumbuliwa na njaa

    Serikali: Wakenya milioni 1.4 wanasumbuliwa na njaa

    Apr 01, 2021 07:39

    Msemaji wa serikali ya Kenya amesema kwa akali Wakenya milioni moja na laki nne wanasumbuliwa na njaa.

  • UN: Mizozo imesababisha watu milioni 88 duniani wakabiliwe na njaa

    UN: Mizozo imesababisha watu milioni 88 duniani wakabiliwe na njaa

    Mar 14, 2021 04:31

    Umoja wa Mataifa umesema makumi ya mamilioni ya watu katika pembe mbalimbali za dunia wanaandamwa na njaa na ukosefu wa usalama wa chakula kutokana na mizozo, migogoro na ukosefu wa uthabiti.

  • Indhari ya WFP na FAO kuhusu baa la njaa katika nchi kadhaa duniani

    Indhari ya WFP na FAO kuhusu baa la njaa katika nchi kadhaa duniani

    Nov 07, 2020 04:03

    Mashirika ya Umoja wa Mataifa la Chakula na Kilimo Duniani (FAO) na Mpango wa Chakula Duniani (WFP) yametahadharisha kuhusu njaa katika maeneo kadhaa duniani.

  • Sanders: Wamarekani milioni 10 wanasumbuliwa na njaa na ukosefu wa ajira

    Sanders: Wamarekani milioni 10 wanasumbuliwa na njaa na ukosefu wa ajira

    Sep 15, 2020 02:58

    Seneta wa jimbo la Vermont nchini Marekani amefichua kuwa, raia milioni 10 wa nchi hiyo wanasumbuliwa na njaa na ukosefu wa ajira.

  • UN: Mamilioni katika hatari ya kufa njaa DRC, Sudan Kusini, Nigeria na Yemen

    UN: Mamilioni katika hatari ya kufa njaa DRC, Sudan Kusini, Nigeria na Yemen

    Sep 05, 2020 06:23

    Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ameonya kuwa, mamilioni ya watu wananyemelewa na kifo kutokana na baa la njaa na ukosefu wa usalama wa chakula katika nchi tatu za Afrika pamoja na Yemen.

  • Janga la corona na kuongezeka watu milioni 130 wanaokabiliwa na njaa duniani

    Janga la corona na kuongezeka watu milioni 130 wanaokabiliwa na njaa duniani

    Jul 31, 2020 03:26

    Taasisi ya Ujerumani inayotoa misaada kwa watu wanaokabiliwa na njaa imetangaza kuwa janga la corona litazidisha watu kati ya milioni 80 hadi 130 kwenye idadi ya watu wanaosumbuliwsa na njaa duniani.

  • IGAD: Watu wasiopungua milioni 27 Afrika Mashariki wanakabiliwa na uhaba wa chakula

    IGAD: Watu wasiopungua milioni 27 Afrika Mashariki wanakabiliwa na uhaba wa chakula

    Jun 04, 2020 21:56

    Shirika la Maendeleo la Kiserikali la Nchi za Mashariki mwa Afrika (IGAD) limetangaza kuwa watu wasiopungua milioni 27.6 walikuwa wakikabiliwa na uhaba wa chakula katika eneo la Afrika Mashariki mwaka jana, kabla ya kuibuka janga la COVID-19.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS