-
Israel: Tutampa Trump ushahidi wa kuhusika Obama na azimio la UNSC
Dec 27, 2016 07:49Utawala wa Kizayuni wa Israel umedai kuwa una ushahidi madhubuti unaothibitisha kuwa Rais wa Marekani Barack Obama alihusika kikamilifu na kupitishwa katika Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa azimio dhidi ya ujenzi wa vitongoji vya walowezi wa Kizayuni; na kwamba nyaraka na ushahidi huo utampatia rais mteule wa Marekani tu Donald Trump.
-
Mchambuzi: Hatua ya Marekani UN ni ulipizaji kisasi wa Obama dhidi ya Netanyahu
Dec 24, 2016 15:42Norman Finkelstein, mwanaharakati na mtaalamu wa Sayansi ya Siasa wa New York, Marekani amesema, Rais wa nchi hiyo Barack Obama alitaka kulipiza kisasi binafsi kwa Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu kupitia uamuzi wa kutopiga kura ya kupinga azimio dhidi ya utawala huo wa Kizayuni katika Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa.
-
"Obama atasaini mpango wa kurefusha vikwazo dhidi ya Iran"
Dec 03, 2016 04:24Baada ya Seneti ya Marekani kupitisha mpango wa kurefusha vikwazo dhidi ya Iran, afisa mmoja mwandamizi katika Ikulu ya Marekani (White House) amesema Rais wa nchi hiyo Barack Obama anatazamiwa kusaini mpango huo na kuwa sheria.
-
Kupasishwa na Seneti ya Marekani muswada wa kurefusha vikwazo dhidi ya Iran
Dec 03, 2016 04:23Wajumbe wa Baraza la Seneti la Marekani wamepitisha muswada wa kurefusha kwa muda wa miaka 10 mingine Sheria ya Vikwazo Dhidi ya Iran (ISA).
-
Marekani yaendeleza siasa za uhasama dhidi ya Iran
Nov 06, 2016 02:46Tangu mwaka 1979 wakati zilipofichuliwa nyaraka za harakati za siri za ujasusi wa Marekani nchini Iran katika uliokuwa ubalozi wa nchi hiyo mjini Tehran, rais wa nchi hiyo alitangaza hali ya hatari dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu.
-
Kukiri Obama kuwepo ubaguzi na tofauti za kitabaka nchini Marekani
May 09, 2016 07:58Rais Barack Obama wa Marekani amekiri kuwa kungali kuna ubaguzi wa rangi na tofauti za kitabaka ndani ya jamii ya nchi hiyo na kutaka zichukuliwe hatua muhimu kukabiliana na suala hilo.
-
Obama: Mienendo na rekodi ya Trump ichunguzwe
May 07, 2016 07:26Rais Barack Obama wa Marekani ametoa wito wa kutathminiwa na kuchunguzwa mienendo ya sasa na ya huko nyuma ya Donald Trump, mwanasiasa anayetaka kuchaguliwa kuwania urais nchini humo kupitia chama cha Republican.
-
Saudia yahusishwa na hujuma za 9/11, Obama aitetea
Apr 20, 2016 02:49Saudi Arabia imehusishwa na hujuma za kigaidi za Septemba 2001 nchini Marekani lakini pamoja na hayo Rais Barack Obama wa nchi hiyo amelaani mswada wa sharia unaotaka watawala wa Saudia wawajibishwe.
-
Obama: Kosa baya zaidi nililowahi kufanya ni kuhusu Libya
Apr 11, 2016 12:39Rais Barack Obama wa Marekani amesema: "Kosa baya zaidi katika urais wangu ni kukosa mpango wowote kwa ajili ya zama za baada ya kumuangusha Muammar Gaddafi nchini Libya."
-
Obama: Ni kweli ‘drones’ zetu zimeua raia wasio na hatia
Apr 02, 2016 07:49Rais Barack Obama wa Marekani amekiri kuwa ndege zisizo na rubani za nchi hiyo zimeua idadi kubwa ya raia wasio na hatia katika nchi mbali mbali duniani na hususan za Kiislamu.