-
Alkhamisi 26 Oktoba, 2017
Oct 26, 2017 01:33Leo ni Alkhamisi tarehe 6 Safar 1439 Hijria sawa na Oktoba 26, 2017.
-
Alkhamisi 26 Oktoba, 2017
Oct 26, 2017 01:30Leo ni Alkhamisi tarehe 6 Safar 1439 Hijria sawa na Oktoba 26, 2017.
-
Mahakama ya Pakistan yamsomea rasmi mashtaka ya ufisadi Nawaz Sharif na familia yake
Oct 19, 2017 12:44Mahakama ya Pakistan leo imesikiliza rasmi kesi ya mashtaka ya ufisadi inayomkabili aliyekuwa waziri mkuu wa nchi hiyo Muhammad Nawaz Sharif na familia yake, ambayo inaweza kupelekea kiongozi huyo kuhukumiwa kifungo jela.
-
Jumapili, Oktoba 8, 2017
Oct 07, 2017 23:08Leo ni Jumapili tarehe 17 Mfunguo Nne Muharram 1439 Hijria, mwafaka na tarehe 8 Oktoba 2017 Miladia.
-
Rais Rouhani: Matatizo ya Mashariki ya Kati yakiwemo ya Afghanistan ni ya kutatuliwa kieneo
Sep 12, 2017 00:10Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, matatizo ya Mashariki ya Kati yakiwemo yale yanayoikabili Afghanistan yanaweza kupatiwa ufumbuzi kieneo na kwamba, katu matatizo hayo hayawezi kutatuliwa na maajinabi na madola kutoka nje ya eneo hili.
-
Waislamu Pakistan: Islamabad ijikomboe na utumwa na kuwa tegemezi kwa Marekani
Aug 29, 2017 10:26Katibu Mkuu wa Majlisi ya Umoja wa Waislamu katika jimbo la Sindh nchini Pakistan, ameionya serikali ya nchi hiyo kuwa macho na njama chafu za Marekani.
-
Kuongezeka harakati za kundi la Daesh (ISlS) nchini Pakistan
Aug 14, 2017 03:56Kundi la kigaidi na ukufurishaji la Daesh (lSlS) limetangaza kwamba limehusika na mripuko wa bomu katika mji wa Quetta nchini Pakistan.
-
Jumatatu 14 Agosti, 2017
Aug 13, 2017 23:01Leo ni Jumatatu tarehe 21 Dhulqaada 1438 Hijria inayosadifiana na tarehe 14 mwezi Agosti mwaka 2017.
-
Waziri Mkuu wa Pakistan ajiuzulu kufuatia uamuzi wa mahakama
Jul 28, 2017 09:41Waziri Mkuu wa Pakistan, Nawaz Sharif amejiuzulu wadhifa wake baada ya Mahakama ya Juu nchini humo kumuengua madarakani kutokana na kashfa ya ufisadi.
-
Binti wa miaka 17 abakwa kwa amri ya baraza la kijiji, kisa? Kaka yake kabaka
Jul 27, 2017 11:22Polisi ya Pakistan imeamuru kutiwa nguvuni wajumbe 20 wa Baraza la kijiji kimoja cha katikati mwa nchi hiyo baada ya wajumbe hao kutoa hukumu ya kubakwa na kunajisiwa binti mwenye umri wa miaka 17 ili kulipiza kisasi cha uhalifu kama huo uliofanywa na kaka yake.