Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Pakistan

  • Mashia wa Pakistan wailaumu serikali kwa kushindwa kudhibiti ugaidi

    Mashia wa Pakistan wailaumu serikali kwa kushindwa kudhibiti ugaidi

    Jul 21, 2017 03:04

    Kiongozi wa Waislamu wa Shia wa Pakistan ambaye pia ni mkuu wa harakati ya Mwamko wa Kiislamu nchini humo amesema kuwa ugaidi ni adui wa ubinaadamu na kamwe hauna mahusiano yoyote na dini.

  • Jumatano 5 Julai, 2017

    Jumatano 5 Julai, 2017

    Jul 04, 2017 23:34

    Leo ni Jumatano tarehe 110 Shawwal 1438 Hijria, inayosadifiana na tarehe 5 Julai 2017.

  • Malalamiko ya wananchi wa Pakistan dhidi ya kuendelea mashambulio ya kigaidi dhidi ya Mashia

    Malalamiko ya wananchi wa Pakistan dhidi ya kuendelea mashambulio ya kigaidi dhidi ya Mashia

    Jun 27, 2017 03:11

    Kufuatia kuendelea mashambulio ya kigaidi dhidi ya Waislamu wa madhehebu ya Ahlul-Baiti (Shia) katika mji wa Parachinar nchini Pakistan, wananchi wa nchi hiyo wakiwemo wa mji huo, Islamabad na miji mingine wamefanya maandamano na mikusanyiko ambapo sambamba na kulaani mashambulio hayo ya kigaidi wametoa wito wa kudhamiwa usalama Waislamu wa Kishia.

  • Maulama wa Suni Pakistan: Nchi yetu sio bustani ya Saudia na Marekani

    Maulama wa Suni Pakistan: Nchi yetu sio bustani ya Saudia na Marekani

    Jun 06, 2017 03:17

    Mkuu wa Baraza la Umoja wa Waislamu wa Kisuni nchini Pakistan amesema kuwa, nchi hiyo sio eneo la kijifaragua la Marekani na Saudi Arabia.

  • Jumapili Mei 28, 2017.

    Jumapili Mei 28, 2017.

    May 29, 2017 08:50

    Leo ni Jumapili tarehe Pili Ramadhan 1438 Hijria, mwafaka na tarehe 28 Mei 2017 Miladia.

  • Waislamu Pakistan: Mkutano wa Riyadh na Trump ulikuwa wa kupanga njama chafu dhidi ya Uislamu

    Waislamu Pakistan: Mkutano wa Riyadh na Trump ulikuwa wa kupanga njama chafu dhidi ya Uislamu

    May 23, 2017 10:52

    Kiongozi wa Jumuiya ya 'Ahlu Hurm' ya nchini Pakistan amekosoa vikali safari ya Rais Donald Trump wa Marekani nchini Saudia na kikao cha hivi karibuni katika mji mkuu wa nchi hiyo Riyadh, na kusema kuwa kikao hicho kimebainisha wazi kwamba baadhi ya nchi hazifungamani na mafundisho ya dini ya Uislamu, bali zinafungamana na dini ambayo msemaji wake ni Rais Trump.

  • Abdolreza Rahmani Fazli: Pakistan imeahidi kudumisha usalama katika mipaka yake na Iran

    Abdolreza Rahmani Fazli: Pakistan imeahidi kudumisha usalama katika mipaka yake na Iran

    May 06, 2017 09:02

    Waziri wa Mambo ya Ndani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, Pakistan imeahidi kudumisha amani na usalama katika mipaka yake na Iran kwa shabaha ya kuzuia harakati za makundi ya kigaidi katika maeneo hayo.

  • Iran ina haki ya kujibu jinai ya magaidi walioua askari wa mpakani

    Iran ina haki ya kujibu jinai ya magaidi walioua askari wa mpakani

    Apr 29, 2017 03:08

    Waziri wa Ulinzi wa Iran Brigedia Jenerali Hussein Dehqan amesema Jamhuri ya Kiislamu ina haki ya kutoa jibu kali kwa jinai ya magaidi ambao waliwaua askari wa kulinda mpaka katika eneo la kusini mashariki katika mpaka wa Iran na Pakistan.

  • Kongamano la kimataifa kwa ajili ya kupambana na ugaidi lafanyika Pakistan

    Kongamano la kimataifa kwa ajili ya kupambana na ugaidi lafanyika Pakistan

    Apr 15, 2017 23:44

    Kongamano la pili la kimataifa lililopewa jina la 'Ujumbe wa Uislamu' kwa ajili ya kupambana na ugaidi, kufurutu mipaka na ukatili unaotokana na tofauti, limefanyika nchini Pakistan kwa kuhudhuriwa na maelfu ya maulama wa ndani na nje ya nchi hiyo.

  • Wapakistan waandamana kulaani mashambulizi ya US na Saudia dhidi ya Syria na Yemen

    Wapakistan waandamana kulaani mashambulizi ya US na Saudia dhidi ya Syria na Yemen

    Apr 12, 2017 09:34

    Maelfu ya Wapakistan wameandamana mbele ya kituo cha waandishi wa habari mjini Islamabad, mji mkuu wa nchi hiyo katika kulaani ushirikiano wa Marekani na Saudia wa kufanya mashambulizi nchini Syria na Yemen na kuyataja mashambulizi hayo kuwa ni jinai ya kivita.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS