-
Balozi mdogo wa Pakistan Tehran aitwa katika Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran
Jan 18, 2024 09:28Balozi mdogo wa Pakistan mjini Tehran ameitwa katika Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran kufuatia mlipuko uliotokea leo asubuhi katika kijiji cha mpakani katika mkoa wa Sistan na Baluchistan hapa nchini.
-
Kundi la kigadi la Jaishu Dhulm lakiri kushambuliwa ngome zake Pakistan
Jan 17, 2024 08:05Kundi la kigaidi la Jaishu Dhulm limetangaza kuwa ngome zake zimelengwa na kushambuliwa kwa makombora usiku wa kuamkia leo katika mpaka wa Iran na Pakistan.
-
Islamabad yaituhumu Kabul sambamba na kufanyika juhudi za kupunguza mivutano
Jan 13, 2024 06:26Sambamba na kufanyika safari ya Mkuu wa chama cha Jamiat Ulamae Pakistan na mazungumzo yake na maafisa wakuu wa kundi la Taliban la Afghanistan kwa lengo la kupunguza mivutano, Waziri Mkuu wa Serikali ya Mpito ya Pakistan kwa mara nyingine tena amedai kuwa ardhi ya Afghanistan inatumiwa na maadui dhidi ya Pakistan.
-
Maafisa 5 wa polisi wauawa katika mripuko Pakistan
Jan 08, 2024 12:21Maafisa wa polisi wasiopungua watano wameuawa na karibu wengine 24 kujeruhiwa baada ya gari yao kukumbwa na mripuko wakati wakiimarisha ulinzi katika zoezi la utoaji chanjo za polio huko kaskazini magharibi mwa Pakistan.
-
Azma ya Tehran na Islamabad ya kuimarisha uhusiano wao katika nyuga mbalimbali
Jan 01, 2024 08:00Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Pakistan ameeleza kuridhishwa kwake na mwenendo unaokua wa uhusiano kati ya nchi yake na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Ahmad Vahidi: Makundi ya kigaidi yanaungwa mkono na utawala wa Kizayuni
Dec 17, 2023 07:56Waziri wa Mambo ya Ndani wa Iran amesema kuwa, makundi ya kigaidi yanayotaka kuvuruga amani, usalama na umoja wa wananchi wa mkoa wa Sistan na Baluchistan nchini Iran yanaungwa mkono na utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Kulaaniwa kimataifa veto ya Marekani dhidi ya azimio la Baraza la Usalama la kusitisha vita vya Gaza
Dec 11, 2023 02:48Kitendo cha kinyama na cha kijinai cha Marekani cha kulipigia kura ya veto azimio la kusitisha vita Gaza katika Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kimeendelea kulaaniwa kimataifa.
-
Kubadilika kikamilifu sera za nje za Pakistan mkabala wa Taliban ya Afghanistan
Nov 19, 2023 02:32Waziri Mkuu wa Pakistan amesema katika matamshi nadra na ya aina yake kuwahi kutolewa kuhusu mivutano ya karibuni kati ya nchi hiyo na utawala wa Taliban ya Afghanistan kuwa uhusiano wa nchi mbili hizo utaboreka pale serikali halali itakapoingia madarakani huko Afghanistan.
-
Pakistan haiiungi mkono tena serikali ya Taliban katika ngazi ya kimataifa
Nov 11, 2023 13:47Kufuatia kuongezeka mivutano katika uhusiano wa Kabul na Islamabad, gazeti moja la Pakistan limeandika kuwa serikali ya nchi hiyo haiiungi mkono tena serikali ya Taliban ya Afghanistan katika ngazi ya kimataifa.
-
Kushtadi mashambulizi ya kigaidi huko Pakistan; sababu na taathira zake
Nov 04, 2023 11:42Kitengo cha Mahusiano ya Umma cha Jeshi la Pakistan kimetangaza kuwa vikosi vya jeshi hilo vimesambaratisha shambulio la kigaidi la leo asubuhi katika kambi ya kikosi cha jeshi la anga katika mji wa Mianwali katika jimbo la Punjab. Wavamizi watatu wameuwa na magaidi kadhaa wamekimbia eneo la tukio.