Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Palestina

  • Palestina yaishukuru Iran kutokana na misimamo yake chanya katika kutetea taifa hilo

    Palestina yaishukuru Iran kutokana na misimamo yake chanya katika kutetea taifa hilo

    Feb 11, 2020 04:05

    Balozi wa Palestina mjini tehran amepongeza misimamo imara na tukufu ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kuhusu haki za taifa hilo hususan msimamo wake wa kupinga mpango wa Marekani wa Muamala wa Karne.

  • Wawakilishi 107 wa Kongresi ya Marekani wapinga mpango wa

    Wawakilishi 107 wa Kongresi ya Marekani wapinga mpango wa "Muamala wa Karne" wa Trump

    Feb 08, 2020 23:07

    Hatua ya Rais Donald Trump wa Marekani ya kuzindua mpango kwa jina la 'Muamala wa Karne' tarehe 28 Januari mwaka huu ambao umewasilishwa eti kwa ajili ya kutatua mzozo wa muda mrefu kati ya Wapalestina na utawala wa Kizayuni, umepingwa vikali ndani na nje ya Marekani.

  • Ijumaa tarehe 7 Februari 2020

    Ijumaa tarehe 7 Februari 2020

    Feb 06, 2020 21:41

    Leo ni Ijumaa tarehe 12 Jamadithani 1441 Hijria sawa na Februari 7 mwaka 2020.

  • Mhadhiri wa Chuo Kikuu Marekani: Muqawama, njia pekee ya wananchi wa Palestina

    Mhadhiri wa Chuo Kikuu Marekani: Muqawama, njia pekee ya wananchi wa Palestina

    Feb 05, 2020 21:49

    Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Princeton nchini Marekani amesema kuwa mpango wa Marekani na Wayuni kwa jina la Muamala wa Karne umekiuka haki za kimsingi za wananchi wa Palestina na kwamba njia pekee ya wao kuupinga ni kuendesha mapambano.

  • Baraza la Usalama lalaani Mpango wa Israel wa kuteka ardhi za Palestina

    Baraza la Usalama lalaani Mpango wa Israel wa kuteka ardhi za Palestina

    Feb 05, 2020 04:23

    Baraza la Usalama lalaani Mpango wa Israel wa kuteka ardhi za Palestina

  • EU yapinga njama za Trump dhidi ya Wapalestina

    EU yapinga njama za Trump dhidi ya Wapalestina

    Feb 05, 2020 01:16

    Umoja wa Ulaya umepinga mpango uliopendekezwa na Rais Donald Trump wa Marekani ambao unakandamiza haki za taifa la Palestina uliopewa jina la "Muamala wa Karne" ukisisitiza kuwa, mpango huo unakanyaga sheria za kimataifa.

  • Jumuiya ya Maulama wa Palestina yaharamisha kushirikiana na

    Jumuiya ya Maulama wa Palestina yaharamisha kushirikiana na "Muamala wa Karne"

    Feb 02, 2020 09:48

    Jumuiya ya Wanazuoni wa Kiislamu wa Palestina imetangaza kuwa, ni haramu kushiriki katika utekelezaji wa mpango wa kibaguzi uliopendekezwa na Marekani na Wazayuni kwa ajili ya kadhia ya Palestina.

  • Arab League yapinga

    Arab League yapinga "Muamala wa Karne", yatoa onyo kali kwa Israel

    Feb 02, 2020 07:28

    Mawaziri wa Mambo ya Nje wa nchi wanachama katika Jumuiya ya Nchi za Kiarabu (Arab League) wamepinga mpango eti wa amani uliopendekelezwa na Marekani kwa ajili ya mgogoro wa Wapalestina na utawala wa kizayuni wa Israel maarufu kwa jina la "Muamala wa Karne".

  • Rouhani: Muamala wa Karne ni muamala wa fedheha na chuki

    Rouhani: Muamala wa Karne ni muamala wa fedheha na chuki

    Feb 02, 2020 04:08

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameutaja 'Muamala wa Karne' kama mpango wa Marekani wa kufedhehesha, aibu na wenye kuchukiza.

  • Kikosi cha Quds cha IRGC kuendelea kuwaunga mkono Wapalestina

    Kikosi cha Quds cha IRGC kuendelea kuwaunga mkono Wapalestina

    Feb 02, 2020 03:58

    Kamanda mpya wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) amesema Jamhuri ya Kiislamu ya Iran itaendelea kuwaunga mkono Wapalestina na kuhakikisha kuwa ndoto zao za kuwa taifa huru zinafanikiwa.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS