Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Palestina

  • Hamas: Waziri wa Mambo ya Nje wa Bahrain ameisaliti Palestina

    Hamas: Waziri wa Mambo ya Nje wa Bahrain ameisaliti Palestina

    Jul 20, 2019 03:17

    Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS imekosoa vikali kitendo cha Waziri wa Mambo ya Nje wa Bahrain, Khalid bin Ahmad bin Muhammad Aal Khalifa cha kukukata na kufanya mazungumzo hadharani na mwenzake wa utawala haramu wa Israel, Israel Katz nchini Marekani.

  • Hamas yataka kususiwa sarafu dola ya Marekani

    Hamas yataka kususiwa sarafu dola ya Marekani

    Jul 18, 2019 22:03

    Musa Abu Marzouq mjumbe wa ngazi ya juu wa Idara ya Siasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) ametoa wito wa kususiwa sarafu ya dola ya Marekani.

  • Mousa Abu Marzook: Jeuri ya Marekani mkabala na Iran haikubaliki

    Mousa Abu Marzook: Jeuri ya Marekani mkabala na Iran haikubaliki

    Jul 18, 2019 09:20

    Mousa Mohammed Abu Marzook, kiongozi mwandamizi wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) amesisitiza juu ya uhusiano mzuri wa harakati hiyo na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na kubainisha kwamba, HAMAS haikubaliani na ujeuri wa Washington katika kuamiliana na Tehran.

  • Wapalestina wataka umoja wa kitaifa ili kukabiliana na mpango wa 'Muamala wa Karne'

    Wapalestina wataka umoja wa kitaifa ili kukabiliana na mpango wa 'Muamala wa Karne'

    Jul 07, 2019 07:10

    Viongozi wa harakati za mapambano ya Palestina wamesisitiza juu ya udharura wa kuweko umoja wa kitaifa huko Palestina ili kukabiliana na mpango uliojaa njama wa Muamala wa Karne.

  • Hamas yaapa kudumaza mpango wa Trump wa

    Hamas yaapa kudumaza mpango wa Trump wa "Muamala wa Karne"

    Jul 06, 2019 21:54

    Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) imesema kuwa itaendeleza harakati za kupinga mpango eti wa amani uliozusha makelele mengi wa Rais Donald Trump wa Marekani baina ya utawala haramu wa Israel na Wapalestina uliopewa jina la "Muamala wa Karne"

  • HAMAS: Kujiuzulu maafisa wa kijeshi wa Israel ni ishara ya nguvu ya muqawama

    HAMAS: Kujiuzulu maafisa wa kijeshi wa Israel ni ishara ya nguvu ya muqawama

    Jul 06, 2019 03:45

    Msemaji wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS amesema kuwa, kujiuzulu mkuu wa kitengo cha operesheni cha Shirika la Kiintelijensia la Israel ni jambo linalobainisha juu ya kuchanganyikiwa adui Mzayuni na kuweka wazi nguvu kubwa ya muqawama wa Palestina.

  • Mpango wa Muamala wa Karne, Palestina yakataa upatanishi wa Marekani

    Mpango wa Muamala wa Karne, Palestina yakataa upatanishi wa Marekani

    Jul 05, 2019 02:36

    Wiki mbili tu baada ya mkutano wa utangulizi wa kutekeleza mpango uliopewa jina la "Muamala wa Karne" huko Manama nchini Bahrain, Rais wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina amesema kuwa, Palestina haikubali upatanishi wa Marekani katika kadhia ya Palestina.

  • Abbas apinga upatanishi wa Marekani katika mgogoro wa Palestina

    Abbas apinga upatanishi wa Marekani katika mgogoro wa Palestina

    Jul 04, 2019 02:14

    Rais wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina amesema kuwa Palestina haiwezi kukubali upatanishi wa Marekani kati yake na utawala haramu wa Israel.

  • Alkhamisi, 04 Julai, 2019

    Alkhamisi, 04 Julai, 2019

    Jul 03, 2019 22:16

    Leo ni Alkhamisi tarehe Mosi Mfunguuo Pili Dhulqaada 1440 Hijria sawa na 4 Julai mwaka 2019.

  • Harakati ya Fat-h yapendekeza kufanyika uchaguzi na kuundwa serikali ya Palestina

    Harakati ya Fat-h yapendekeza kufanyika uchaguzi na kuundwa serikali ya Palestina

    Jul 02, 2019 08:07

    Mshauri wa Rais wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina amesema kuwa Harakati ya Fat-h imetoa pendekezo kwa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) la kufanyika uchaguzi na kuundwa serikali ya umoja wa kitaifa.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS