-
Kuzinduliwa Ensaiklopidia kubwa kabisa ya historia ya Palestina kutauumbua utawala wa Kizayuni wa Israel
Jan 26, 2019 10:44Ensiakolopidia kubwa kabisa kuhusu historia ya Palestina inayoashiria maisha ya kisiasa, kiuchumi na kijamii ya watu wa Palestina kuanzia mwaka 1516 hadi mwaka 2018 imezinduliwa.
-
Russia yaamua kususia mkutano wa Marekani wa Warsaw
Jan 24, 2019 00:35Ikiwa ni katika fremu ya malengo yake inayoyafuatilia katika eneo la Mashariki ya Kati, Marekani ina mpango wa kuitisha mkutano hapo tarehe 13 na 14 mwezi ujao wa Februari huko Warsaw mji mkuu wa Poland chini ya anwani ya "Mkutano wa Amani na Usalama katika Mashariki ya Kati".
-
Palestina: Hatutaki tena msaada wowote wa Marekani
Jan 23, 2019 04:12Katibu wa Kamati ya Utendaji ya Harakati ya Ukombozi wa Palestina (PLO) amesema Wapalestina hawataki msaada wowote kutoka kwa Marekani, baada ya Washington kutangaza kuwa itapunguza kiwango cha msaada wake wa kibinadamu kwa wananchi wa Palestina.
-
Palestina yalaani chokochoko mpya za Israel dhidi ya Syria
Jan 22, 2019 04:03Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina (Hamas) na harakati ya Jihad al-Islami ya Palestina zimelaani mashambulizi mapya ya kichokozi ya utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Syria.
-
Palestina yakabidhiwa uenyekiti wa kundi la G77, Marekani yapinga
Jan 16, 2019 12:45Palestina imekabidhiwa uenyekiti wa kundi la nchi 77 yaani G-77 licha ya Marekani kupinga vikali uamuzi huo.
-
Askari katili wa Israel wamuua shahidi kwa risasi mwanamke wa Kipalestina
Jan 12, 2019 04:10Jeshi katili la utawala wa Kizayuni wa Israel limemuua shahidi kwa kumpiga risasi mwanamke wa Kipalestina katika Ukanda wa Gaza.
-
Israel yanyunyizia kemikali za sumu katika mashamba ya Wapalestina wa Gaza
Jan 11, 2019 23:24Katika kile kinachoonekana ni kushadidisha ukatili dhidi ya Wapalestina, utawala wa Kizayuni wa Israel umeripotiwa kunyunyizia kemikali za sumu katika mashamba ya kilimo ya Wapalestina wa Ukanda wa Gaza.
-
Walowezi wa Kizayuni wavamia tena Msikiti Mtakatifu wa al-Aqswa
Jan 11, 2019 00:43Makumi ya walowezi wa Kizayuni wamevamia tena Msikiti wa al-Aqswa wakisaidiwa na askari wa jeshi la utawala haramu wa Israel na kufanya vitendo vya kuuvunjia heshima msikiti huo mtakatifu na kibla cha kwanza cha Waislamu.
-
Mwaka 2019 na kujiondoka Marekani na Israel katika shirika la UNESCO
Jan 09, 2019 05:18Marekani na utawala wa Kizayuni wa Israel tarehe Mosi mwezi huu wa Januari 2019 zilijiondoa rasmi katika Shirika la Elimu, Sayansi na Utamaduni la Umoja wa Mataifa (UNESCO) zikilalamikia kile kilichotajwa ni mwelekeo wa jumuiya hiyo dhidi ya Israel.
-
HAMAS: Mahmoud Abbas anatekeleza kifungu cha mpango wa Trump wa 'Muamala wa Karne'
Jan 07, 2019 04:18Msemaji wa Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS amekosoa uamuzi wa serikali ya Mamlaka ya Ndani ya Palestina wa kuwaondoa askari na wafanyakazi wa mamlaka hiyo katika kivuko cha mpakani cha Rafah kwenye mpaka wa pamoja wa kusini mwa Ukanda wa Gaza na Misri.