-
Jeshi la Israel laua na kuwateka nyara vijana wa Palestina
Dec 04, 2018 11:07Wanajeshi katili wa utawala wa Kizayuni wa Israel wamemfyatulia risasi na kumuua shahidi kijana wa Kipalestina aliyekuwa na umri wa miaka 22, katika hujuma ya leo asubuhi katika mji wa Tulkarem, Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan.
-
Jumatatu, 3 Disemba, 2018
Dec 02, 2018 21:35Leo ni Jumatatu tarehe 25 Mfunguo Sita Rabiul Awwal 1440 Hijria sawa na Disemba 3 mwaka 2018.
-
Maazimio 15 dhidi ya Israel katika Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa katika kipindi cha wiki mbili
Dec 02, 2018 04:07Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa mnamo Novemba 30 lilipitisha maazimio 6 dhidi ya utawala wa Israel kwa lengo la kuunga mkono Palestine.
-
Mapitio ya Mkutano wa 32 wa Kimataifa wa Umoja wa Kiislamu
Dec 01, 2018 06:58Assalamu Alaykum msikilizaji mpenzi wa Radio Tehran popote pale ulipo wakati huu na karibu kusikiliza kipindi hiki maalumu cha Mapitio ya Mkutano wa 32 wa Kimataifa wa Umoja wa Kiislamu uliofanyika hapa mjini Tehran kuanzia tarehe 24 hadi 26 Novemba 2018, kwa mnasaba wa Wiki ya Umoja ya maadhimisho ya kuzaliwa Kiongozi na Muunganishi wa Umma wa Kiislamu, Bwana Mtume Muhammad SAW. Endelea basi kuwa pamoja nami kuanzia awali hadi tamati ya mazungumzo yetu.
-
Kufanyika "Maandamano ya Kurejea" Gaza kwa anuani ya "Mshikamano na Wananchi wa Palestina"
Dec 01, 2018 04:48Eneo la Ukanda wa Gaza limeshuhudia Ijumaa ya 36 ya Maandamano ya Haki ya Kurejea katika maeneo ya mpakani mwa Ukanda huo kwa anuani ya "Ijumaa ya Mshikamano wa Kimataifa na Wananchi wa Palestina."
-
HAMAS: Kuwa na uhusiano wa kawaida na Israel ni jinai na uhaini
Dec 01, 2018 04:42Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS imetangaza kuwa, hatua ya baadhi ya nchi za Kiarabu ya kutaka kuwa na uhusiano wa kawaida na utawala haramu wa Israel ni jinai.
-
Mwenyekiti wa Baraza Kuu la UN: Wapalestina wanaendelea kuuawa, kuteseka
Nov 29, 2018 08:44Mwenyekiti wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa amesema kuwa, mauaji na mateso ya Wapalestina sasa vimekuwa jambo la kawaida la kila siku lakini inasikitisha kuona kuwa, baadhi ya vyombo vya habari vimepuuza suala hilo.
-
Umoja wa Mataifa wapinga ujenzi wa vitongoji vya Wazayuni katika ardhi za Wapalestina
Nov 29, 2018 04:14Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amekosoa ujenzi wa vitongoji haramu vya walowezi wa Kizayuni katika ardhi za Palestina zilizokaliwa kwa mabavu 1967 na kusema kuwa, hii leo mioyo yetu imezidiwa na machungu na maumivu kutokana na masaibu na mashaka ya wananchi wa ukanda wa Gaza.
-
Haniya: Malengo ya Palestina ni suala la umma wote wa Kiislamu
Nov 24, 2018 10:13Kiongozi wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina, Hamas, amehutubu katika Kongamano la Kimataifa la Umoja wa Kiislamu mjini Tehran na kusema: "Utawala wa Kizayuni ni adui mkuu wa Umma wa Kiislamu."
-
Makubaliano ya usitishaji vita yamfanya Waziri wa Vita wa Israel ajiuzulu
Nov 14, 2018 11:05Waziri wa Vita wa utawala wa Kizayuni wa Israel, Avigdor Liberman ametangaza kujiuzulu wadhifa wake eti kulalamikia hatua ya harakati za mapambano za Palestina ikiwemo Hamas kufikia makubaliano ya kusitisha vita na utawala huo dhalimu katika Ukanda wa Gaza kupitia upatanishi wa Misri.