-
Kuunga mkono Palestina; Sera thabiti ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran + Video
Dec 24, 2018 04:07Ujumbe wa wabunge wa Palestina ukiongozwa na Mahmoud Al Zahar Mkuu wa Mrengo wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina, Hamas, katika bunge, ambaye pia ni mwanachama wa Ofisi ya Kisiasa ya Hamas, uko mjini Tehran kwa lengo la kufanya mazungumzo na wakuu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Az-Zahar: Muqawama utaendelea mpaka utawala wa Kizayuni uangamizwe kikamilifu
Dec 23, 2018 23:19Mkuu wa mrengo wa Muqawama katika Bunge la Palestina, ameashiria mchango na nafasi ya Palestina katika mhimili wa Muqawama na kusisitiza kwamba: Inapasa uwepo uratibu kati ya muqawama wa Palestina, Syria na Lebanon ili kuangamizwa kwa Israel kuthibiti kikamilifu.
-
Zarif: Kuiunga mkono Palestina ni katika siasa kuu za Jamhuri ya Kiislamu ya Iran
Dec 23, 2018 11:51Waziri wa Mambo ya Nje Mohammad Javad Zarif amesema: Kuiunga mkono Palestina ni katika siasa kuu na za msingi za Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Bunge la Palestina latupilia mbali uamuzi wa kulivunja uliotolewa na mahakama
Dec 23, 2018 11:51Naibu Spika wa Bunge la Palestina amesisitiza kuwa bunge hilo linapinga hukumu iliyotolewa na mahakama ya katiba ya serikali ya Mamlaka ya Ndani ya Palestina ya kuamuru bunge hilo livunjwe.
-
Hamas yalaani azma ya Abbas ya kulivunja Bunge la Palestina
Dec 23, 2018 03:47Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina (Hamas) imekosoa vikali mpango wa Rais wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina, Mahoud Abbas wa kulivunja Bunge, ikisisitiza kuwa kitendo hicho hakitakuwa na matokeo mengine ghairi ya kushadidisha migawanyiko miongoni mwa makundi ya Palestina.
-
Larijani: Walimwengu wajulishwe kuhusu jinai za utawala wa Kizayuni
Dec 22, 2018 21:40Ali Larijani Spika wa Bunge la Iran, Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu, amesema kuna haja ya kuwafahamisha walimwengu kuwa jinai zinazofanywa na utawala wa Kizayuni wa Israel ndio sababu ya kuunga mkono malengo matukufu ya Wapalestina.
-
Wanajeshi wa Israel wameua watoto 54 Wapalestina
Dec 20, 2018 01:13Wanajeshi wa utawala haramu wa Israel wameua watoto 54 Wapalestina katika mwaka huu wa 2018 unaomalizika.
-
Palestina yazitaka nchi za Kiarabu na Kiislamu zikate uhusiano wao na Australia
Dec 19, 2018 11:47Mamlaka ya Ndani ya Palestina imekataa msaada wa dola milioni 10 iliyopatiwa na Australia na kuzitaka nchi za Kiarabu na Kiislamu zikate uhusiano wao na nchi hiyo kutokana na uamuzi wake wa kuitambua Quds kama mji mkuu wa utawala haramu wa Israel.
-
Palestina inahitaji dola milioni 350 za misaada ya kibinadamu: OCHA
Dec 18, 2018 03:25Wapalestina ambao ardhi zao zinakaliwa kwa mabavu na utawala haramu wa Isarel wanahitaji msaada wa dola milioni 350 mwaka 2019 kwa ajili ya huduma za kimsingi kama chakula, ulinzi, huduma za afya, malazi, maji na usafi.
-
PLO yawataka Wapalestina kupambana na wanajeshi wa Israel
Dec 14, 2018 00:53Chama cha Ukombozi wa Palestina PLO kimewataka wananchi wa Palestina kutokubali kudhalilishwa na wasimame imara kupambana na wanajeshi wa utawala wa Kizayuni wa Israel.