-
Rais mteule wa Brazil akosolewa kwa kutaka kuuhamishia ubalozi wa nchi yake Quds
Nov 02, 2018 04:34Rais mteule wa Brazil amekosolewa vikali ndani na nje ya nchi kwa kusema kuwa nchi hiyo inatathmini mpango wa kuuhamishia ubalozi wake mjini Quds tukufu inayokaliwa kwa mabavu na utawala ghasibu wa Israel kutoka Tel Aviv.
-
Siasa zisizo na mantiki za Oman, Muscat yafuata mkumbo na kusombwa na njama ya "Muamala wa Karne"
Nov 02, 2018 02:53Waziri wa Mambo ya Nje wa Oman amekutana na kufanya mazungumzo na Rais wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina Mahmoud Abbas huko Ramallah katika Ukingo wa Magharibi mwa Mto Jordan.
-
PLO yapiga kura kutaka kusimamishwa uamuzi wa kuitambua Israel na kuhitimishwa makubaliano yote ya pande mbili
Oct 30, 2018 03:52Baraza Kuu la Harakati ya Ukombozi wa Palestina PLO limepiga kura kupitisha uamuzi wa kusimamisha kuitambua rasmi Israel na kuhitimisha makubaliano yote iliyofikia harakati hiyo na Tel Aviv hadi utawala huo wa Kizayuni utakapoitambua nchi ya Palestina kulingana na mipaka ya mwaka 1967, na kuitambua Baitul Muqaddas Mashariki kuwa mji mkuu wa nchi hiyo.
-
Jeshi la Israel laendeleza ukatili wake, laua Wapalestina 5 Ghaza
Oct 27, 2018 02:22Kwa akali Wapalestina watano wameuawa shahidi huku mamia ya wengine wakijeruhiwa baada ya jeshi la Israel kuwamiminia risasi na kuvurumishia mabomu ya kutoa machozi waandamanaji wa Kipalestina katika Ukanda wa Ghaza.
-
Wazayuni waendelea kuiba viungo vya miili ya watoto Wapalestina
Oct 21, 2018 11:03Kwa mara nyingine tena utawala haramu wa Israel umetuhumiwa kuiba viungo vya miili ya watoto wa Kipalestina.
-
Katibu Mkuu wa zamani wa Arab League: Kadhia ya Palestina haiwezi kuzimwa
Oct 20, 2018 23:06Katibu Mkuu wa zamani wa Jumuiya ya Nchi za Kiarabu amesisitiza kuwa, kadhia ya Palestina haiwezi kufutika kamwe na kwamba ni jambo lisiloyumkinika kabisa kuwahamishia Wapalestina katika jangwa la Sinai.
-
'Israel inahaha mbele ya uwezo mkubwa wa kijeshi wa Hizbullah ya Lebanon'
Oct 19, 2018 21:39Mjumbe wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Kidemokrasia kwa ajili ya Ukombozi wa Palestina amesema kuwa, utawala haramu wa Kizayuni unahaha hivi sasa kutokana na uwezo mkubwa wa kijeshi wa Hizbullah ya Lebanon na hauthubutu kuanzisha vita vingine.
-
Arab League yaitaka jamii ya kimataifa iisaidie Palestina
Oct 14, 2018 03:34Jumuiya ya Nchi za Kiarabu imelaani kushtadi wimbi la mauaji na jinai za kutisha dhidi ya Wapalestina zinazofanywa na utawala wa Kizayuni wa Israel, huku ikiitaka jamii ya kimataifa kuchukua hatua za dharura kukabiliana na jinai hizo.
-
Israel yaazimia kuwabana zaidi wafungwa wa Kipalestina
Oct 12, 2018 04:12Utawala wa Kizayuni wa Israel unatazamiwa kushadidisha mateso na kuwawekea mbinyo zaidi wafungwa wa Kipalestina unaowazuilia katika jela zake za kuogofya.
-
Jumatatu, Oktoba 8, 2018
Oct 07, 2018 23:02Leo ni Jumatatu tarehe 28 Mfunguo Nne Muharram 1440 Hijria sawa na Oktoba 8, mwaka 2018 Milaadia.