-
Mufti wa Syria: Ushindi wa nchi yetu ni ushindi wa Palestina
Oct 06, 2018 11:43Mufti Mkuu wa Syria, Sheikh Ahmad Badreddin Hassoun amesema kuwa ushindi wa Syria dhidi ya ugaidi ni ushindi wa Palestina.
-
Naibu Waziri wa zamani wa US: Serikali ya Trump haitaki mkataba wowote wa kimataifa
Oct 04, 2018 03:43Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa zamani wa Marekani Wendy Sherman amekosoa hatua ya serikali ya nchi hiyo ya kujitoa kwenye Mkataba wa Uhusiano Mwema wa mwaka 1955 iliyosaini baina yake na Iran na kueleza kwamba si kitu cha ajabu kwa serikali isiyopenda kuheshimu makubaliano yoyote ya kimataifa kuchukua hatua hiyo.
-
Israel yakerwa baada ya Madrid kumuenzi mwanaharakati wa Palestina
Sep 30, 2018 23:09Utawala wa Kizayuni wa Israel umeghadhabishwa mno na hatua ya klabu mashuhuri ya soka ya Uhispania ya Real Madrid kumuenzi kwa kumtunuku jezi nambari 9 Ahed Tamimi, binti mwanamapambano wa Kipalestina.
-
Hatua ya Wapalestina kuishitaki Marekani katika Mahakama ya Uadilifu ya The Hague
Sep 30, 2018 23:06Kwa mujibu wa tangazo la Mahakama ya Uadilifu ya The Hague yenye makao yake nchini Uholanzi, serikali ya Mamlaka ya Ndani ya Palestina, sambamba na kuashiria hatua ya Marekani ya kuhamisha ubalozi wake kutoka Tel Aviv, Israel kwenda Quds inayokaliwa kwa mabavu, imeishitaki Washington katika mahakama hiyo.
-
Palestina yaishtaki Marekani ICJ kwa kuuhamishia ubalozi wake Quds
Sep 29, 2018 04:47Palestina imewasilisha faili la malalamiko dhidi ya Marekani katika Mahakama ya Kimataifa ya Uadilifu (ICJ), ikitaka kuangaliwa upya hatua ya Washington ya kuuhamishia ubalozi wake wa Israel katika mji mtukufu wa Quds, kutoka Tel Aviv.
-
Jeshi la Israel laendeleza ukatili wake, laua Wapalestina 7 Gaza
Sep 29, 2018 04:43Kwa akali Wapalestina saba wameuawa shahidi huku wengine zaidi ya 500 wakijeruhiwa baada ya jeshi la Israel kuwamiminia risasi na kuvurumishia mabomu ya kutoa machozi waandamanaji wa Kipalestina katika Ukanda wa Gaza.
-
Ziyad Al-Nakhalah achaguliwa Katibu Mkuu mpya wa Jihadul-Islami ya Palestina
Sep 28, 2018 23:15Harakati ya Jihadul-Islami ya Palestina imetangaza kuwa katika uchaguzi wa ofisi ya kisiasa ya harakati hiyo, Ziyad Al-Nakhalah amechaguliwa kuwa Katibu Mkuu mpya, nafasi iliyokuwa ikishikiliwa na Dakta Ramadhan Abdullah Shalah.
-
Stratijia ya Wapalestina kwa ajili ya kukabiliana na "Muamala wa Karne"
Sep 27, 2018 22:52Vyama na makundi ya mapambano ya ukombozi wa Palestina Jumatano iliyopita yaliandika na kutayarisha mpango wa "Uokovu wa Taifa" kwa ajili ya kukabiliana na kile kilichopewa jina la "Muamala wa Karne" uliotayarishwa na Marekani kwa shabaha ya kumaliza kabisa kadhia ya Palestina.
-
Afrika Kusini yakanusha taarifa za kurejea tena balozi wake mjini Tel Aviv
Sep 26, 2018 23:30Serikali ya Afrika Kusini imekanusha taarifa zilizoenea kwamba, imemrejesha huko Tel Aviv balozi wake ambaye ilimwita nyumbani mwezi Mei mwaka huu.
-
Ismail Hania ataka kuhitimishwa masaibu na machungu ya taifa la Palestina
Sep 26, 2018 23:29Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) ameyataka mataifa ya dunia, kufanya hima kwa ajili ya kuhitimisha masaibu na machungu wanayokabiliwa nayo wananchi madhulumu wa Palestina.