Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Palestina

  • UNRWA yazindua mfuko wa kimataifa baada ya Marekani kuipungizia misaada

    UNRWA yazindua mfuko wa kimataifa baada ya Marekani kuipungizia misaada

    Jan 23, 2018 04:24

    Shirika la Kuhudumia Wakimbizi wa Kipalestina la Umoja wa Mataifa UNRWA limezindua mfuko wa kimataifa utakaoisaidia taasisi hiyo kutekeleza majukumu yake baada ya Marekani kuipunguzia misaada.

  • Abbas autaka Umoja wa Ulaya kutambua rasmi nchi huru ya Palestina

    Abbas autaka Umoja wa Ulaya kutambua rasmi nchi huru ya Palestina

    Jan 22, 2018 22:59

    Rais wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina ameutaka Umoja wa Ulaya (EU) kuharakisha suala la kuitambua rasmi nchi huru ya Palestina.

  • Jumuiya ya Wafanyakazi Tunisia: Badala ya maneno matupu, malengo ya Palestina yaungwe mkono kivitendo

    Jumuiya ya Wafanyakazi Tunisia: Badala ya maneno matupu, malengo ya Palestina yaungwe mkono kivitendo

    Jan 21, 2018 11:13

    Jumuiya ya wafanyakazi nchini Tunisia imetaka kuhitimishwa utoaji sha'ar na miito ya shime katika kuunga mkono malengo matukufu ya Palestina na badala ya kutoa hotuba na taarifa zichukuliwe hatua za kivitendo kuhusiana na suala hilo.

  • Barua ya Ismail Hania kwa Kiongozi Muadhamu; Iran muungaji mkono pekee wa kweli wa Palestina

    Barua ya Ismail Hania kwa Kiongozi Muadhamu; Iran muungaji mkono pekee wa kweli wa Palestina

    Jan 19, 2018 04:46

    Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS amemuandikia barua Ayatullah Sayyid Ali Khamenei, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu akipongeza na kuthamini uungaji mkono wa taifa la Iran na miongozo ya Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu kwa harakati ya muqawama.

  • Mkutano wa al-Azhar: Baytul-Muqaddas ni mji mkuu wa milele wa Palestina

    Mkutano wa al-Azhar: Baytul-Muqaddas ni mji mkuu wa milele wa Palestina

    Jan 19, 2018 00:44

    Washiriki wa mkutano wa kimataifa wa kuunga mkono Quds uliofanyika katika Chuo Kikuu cha al-Azhar huko Cairo Misri umesisitiza umuhimu wa kutangazwa Baytul-Muqaddas kuwa mji mkuu wa milele wa Palestina.

  • Abbas: Quds inaweza kuwa lango la amani au vita, Trump achague

    Abbas: Quds inaweza kuwa lango la amani au vita, Trump achague

    Jan 17, 2018 23:03

    Rais wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina, Mahmoud Abbas amesema mji wa Baitul Muqaddad unaweza kuwa lango la kupatikana amani au kuibua vita, na Marekani ina khiari ya kuchagua njia inayoitaka.

  • Marekani yakosolewa kwa kuipunguzia msaada UNRWA

    Marekani yakosolewa kwa kuipunguzia msaada UNRWA

    Jan 17, 2018 11:33

    Shirika la Umoja wa Mataifa la kuwashughulikia wakimbizi wa Kipalestina limekosoa vikali hatua ya Marekani ya kuipunguzia msaada tasisi hiyo kwa zaidi ya asilimia 50.

  • Israel yaunga mkono rasmi ugaidi

    Israel yaunga mkono rasmi ugaidi

    Jan 14, 2018 10:31

    Mkuu wa kamati ya kushughulikia suala la mateka na Wapalestina wanaoachiliwa huru amesema kuwa, utawala wa Kizayuni unawasaidia kifedha Wazayuni wanaofanya jinai dhidi ya wananchi wa Palestina.

  • Spika wa Baraza la Wawakilishi Indonesia: Quds daima itaendelea kuwa ni mali ya Palestina

    Spika wa Baraza la Wawakilishi Indonesia: Quds daima itaendelea kuwa ni mali ya Palestina

    Jan 14, 2018 01:06

    Kaimu Spika wa Baraza la Wawakilishi la Indonesia amesisitiza udharura wa kuchukuliwa hatua za kurejesha haki za taifa la Palestina na kusema bayana kwamba, daima Beitul-Muqaddas itaendelea kuwa mali ya Palestina.

  • Kazem Jalali: Palestina inapaswa kubakia kuwa kadhia muhimu zaidi katika jumuiya ya mabunge ya OIC

    Kazem Jalali: Palestina inapaswa kubakia kuwa kadhia muhimu zaidi katika jumuiya ya mabunge ya OIC

    Jan 13, 2018 10:45

    Mkuu wa mkutano wa 39 wa Kamati ya Utendaji Jumuiya ya Mabunge ya Nchi za Kiislamu wanachama wa Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC) amesisitiza kuwa, kadhia ya Palestina inapaswa kuwa suala linalopewa kipaumbele zaidi katika utendaji wa Jumuiya ya Mabunge ya Nchi za Kiislamu.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS