Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Palestina

  • Saudia ipo tayari 'kuitoa kafara' Palestina ili kuimarisha uhusiano na Israel

    Saudia ipo tayari 'kuitoa kafara' Palestina ili kuimarisha uhusiano na Israel

    Nov 26, 2017 23:33

    Mshauri wa zamani wa Waziri Mkuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel amesema utawala wa Aal-Saud wa Saudi Arabia uko tayari 'kuitoa kafara' Palestina kwa lengo la kuimarisha uhusiano wake na Tel Aviv.

  • Tamko la mwisho la kikao cha kimataifa cha wapenzi wa Ahlul Bayt AS mjini Tehran

    Tamko la mwisho la kikao cha kimataifa cha wapenzi wa Ahlul Bayt AS mjini Tehran

    Nov 24, 2017 00:46

    Washiriki wa kikao cha kimataifa cha wapenzi wa Ahlul Bayt wa kizazi kitoharifu cha Bwana Mtume Muhammad SAW kilichofanyika hapa mjini Tehran, wamemaliza kikao chao cha siku mbili kwa kutoa tamko lenye vipengee 10 na ndani yake kusisitizia umuhimu wa Palestina na udharura wa kukombolewa Quds tukufu.

  • Hamas: Kitu pekee kinachoitia kiwewe Israel ni nguvu za kijeshi za Iran na muqawama

    Hamas: Kitu pekee kinachoitia kiwewe Israel ni nguvu za kijeshi za Iran na muqawama

    Nov 23, 2017 04:00

    Mkuu wa zamani wa ofisi ya kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS amesema kuwa, hali hivi sasa imekuwa mbaya kiasi kwamba baadhi ya tawala za Kiarabu hazioni haya tena kuifanya muhanga kadhia ya Palesitna kwa ajili ya kulinda tawala zao.

  • Alkhamisi 23 Novemba, 2017

    Alkhamisi 23 Novemba, 2017

    Nov 23, 2017 01:06

    Leo ni Alkhamisi tarehe 4 Mfunguo Sita Rabiul Awwal 1439 Hijria sawa na tarehe 23 Novemba 2017.

  • Hamas yasisitiza hatima ya pamoja ya muqawama wa Palestina na Hizbullah

    Hamas yasisitiza hatima ya pamoja ya muqawama wa Palestina na Hizbullah

    Nov 20, 2017 10:38

    Naibu Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) amesema katika radiamali yake kwa taarifa ya karibuni ya Jumuiya ya Nchi za Kiarabu (Arab League) dhidi ya chama cha Hizbullah kuwa hatima ya muqawama wa Palestina na Harakati ya Hizbullah ya Lebanon imefungamana pamoja.

  • Bin Salman amshinikiza Abbas akubali mpango wa Trump wa mapatano na Israel

    Bin Salman amshinikiza Abbas akubali mpango wa Trump wa mapatano na Israel

    Nov 14, 2017 12:22

    Gazeti la Times la Uingereza limefichua kuwa, katika jitihada mpya za kutaka kubadili ramani ya kisiasa ya Mashariki ya Kati kwa maslahi ya Marekani na Israel, Mrithi wa Kiti cha Ufalme wa Saudi Arabia, Muhammad bin Salman anamshinikiza Rais wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina, Mahmoud Abbas ili akubaliane na mpango mpya wa eti amani ya Mashariki ya Kati uliobuniwa na timu ya Rais Donald Trump wa Marekani.

  • Wapalestina wakabiliana mara 290 na Wazayuni mwezi Oktoba 2017

    Wapalestina wakabiliana mara 290 na Wazayuni mwezi Oktoba 2017

    Nov 05, 2017 00:06

    Wapalestina wanaoishi katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan na Quds tukufu wamekabiliana mara 290 na Wazayuni katika mwezi uliopita wa Oktoba.

  • Taarifa ya mwisho ya kongamano la kimataifa la Umoja wa Wanazuoni wa Mapambano

    Taarifa ya mwisho ya kongamano la kimataifa la Umoja wa Wanazuoni wa Mapambano

    Nov 03, 2017 23:10

    Kikao cha pili cha kimataifa cha Umoja wa Kimataifa wa Wanazuoni wa Mapambano kimemalizika huko Beirut mji mkuu wa Lebanon kwa kutoa taarifa inayotetea na kuunga mkono Suasla la Palestina.

  • Richard Falk wa UN: Kurejea amani Palestina ni sharti kwanza ufutwe utawala wa kibaguzi wa Israel

    Richard Falk wa UN: Kurejea amani Palestina ni sharti kwanza ufutwe utawala wa kibaguzi wa Israel

    Nov 03, 2017 03:58

    Ripota maalumu wa zamani wa Umoja wa Mataifa katika Masuala ya Ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu sambamba na kuashiria kuwa, umoja huo hauna haki ya kuainisha mustakbali wa taifa la Palestina, amesema kuwa ili kurejea usalama na amani katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu, ni sharti kwanza kuondoshwa utawala wa kibaguzi wa Israel ambao unazikalia kwa mabavu ardhi za Wapalestina.

  • Hizbullah: Muqawama ndilo chaguo la pekee la Wapalestina

    Hizbullah: Muqawama ndilo chaguo la pekee la Wapalestina

    Nov 02, 2017 04:27

    Afisa wa ngazi ya juu wa harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesema kuna haja ya kuendeleza mapambano dhidi ya utawala wa Kizayuni wa Israel na kusisitiza kuwa Wapalestina hawana chaguo jingine ghairi ya muqawama.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS