-
HAMAS: Tunajiandaa kwa mapambano ya kuzikomboa ardhi zote za Palestina
Jul 22, 2017 22:19Msemaji wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) ametangaza kuwa, harakati hiyo inajiandaa kwa ajili ya mapambano ya kuzikomboa ardhi zote za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu na utawala haramu wa Israel.
-
Jinai za Wazayuni katika Msikiti wa Al Aqsa, mwanzo wa Intifadha mpya Palestina
Jul 22, 2017 03:29Msemaji wa Brigedi ya Ezzedin Qassam, tawi la kijeshi la Harakati ya Hamas amesema hujuma ya utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya msikiti wa al Aqsa ni mwanzo wa mwamko mwingine (Intifadha) wa Wapalestina.
-
Wapalestina waandamana kulaani jinai za Wazayuni katika Masjidul Aqswa
Jul 16, 2017 10:41Kundi la Wapalestina na wawakilishi wa makundi ya Palestina leo Jumapili wamefanya maandamano kulaani jinai za mara kwa mara zinazofanywa na Wazayuni maghasibu dhidi ya Msikiti wa Aqsa, Kibla cha Kwanza cha Waislamu.
-
Iran yalaani utawala wa Kizayuni kwa kuufunga Msikiti wa Al Aqsa
Jul 16, 2017 02:09Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imelaani utawala wa Kizayuni wa Israel kwa kuufunga Msikiti wa Al Aqsa na kuzuia sala ya Ijumaa msikitini hapo na kuonya kuwa, hatua hizo zitakuwa na matokeo hatari sana.
-
Qatar yafichua nyaraka za uungaji mkono wa Saudia na Imarati kwa makundi ya al Qaida na Daesh huko Yemen
Jul 12, 2017 03:47Qatar imefichua nyaraka zinazoonyesha kuwa Saudi Arabia na Umoja wa Falme za Kiarabu (Imarati) zinawasaidia magaidi wa al Qaida na Daesh huko Yemen.
-
Wapalestina wapongeza hatua ya Afrika Kusini kupunguza uhusiano na Israel
Jul 09, 2017 09:34Wapalestina wamepongeza uamuzi wa hivi karibuni wa chama tawala cha Afrika Kusini ANC, ya kupunguza kiwango cha uhusiano wake na utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Mafanikio ya Wapalestina katika uga wa kimataifa
Jul 08, 2017 22:10Hatua ya Shirika la Elimu, Sayansi na Utamaduni la Umoja wa Mataifa (UNESCO) ya kuuweka mji wa al Khalil na Haram ya Nabii Ibrahim AS katika orodha ya turathi za dunia zilizoko kwenye hatari ya kuangamia, inaonesha kuendelea kupata Wapalesstina ushindi wa kimataifa wa kidiplomasia.
-
Hamas yataka Israel ishinikizwe ili iheshimu haki za Wapalestina
Jul 07, 2017 03:19Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS imetoa mwito wa kubanwa na kushinikizwa utawala haramu wa Israel ili uheshimu haki za wananchi madhulumu wa Palestina.
-
HAMAS: Uhusiano wetu na Iran ni imara
Jul 05, 2017 03:41Kiongozi mmoja muhimu wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS amesema kuwa harakati hiyo daima itaendelea kuishukuru Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kwa misaada yake kwa taifa la Palestina bila ya kutarajia malipo yoyote kutoka kwao.
-
Osama Hamdan: Utawala wa Kizayuni wa Israel ni tishio kwa usalama wa dunia
Jun 30, 2017 23:03Mjumbe wa ngazi za juu wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS amesisitiza kuwa, kadhia ya Palestina itapatiwa ufumbuzi tu kwa kusambaratishwa na kuangamizwa adui Mzayuni.