Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Palestina

  • Khalid Mash'al asisitizia kuendelezwa mapambano ya Wapalestina dhidi ya Israel

    Khalid Mash'al asisitizia kuendelezwa mapambano ya Wapalestina dhidi ya Israel

    May 03, 2017 21:51

    Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS ametangaza kuwa, mapambano na muqawama wa wananchi wa Wapalestina dhidi ya utawala wa Kizayuni wa Israel utaendelea madhali kuna uvamizi na kunaendelea ujenzi wa vitongoji vya walowezi wa Kizayuni huko Palestina.

  • Hizbullah yakosoa kimya cha nchi za Kiarabu juu ya Wafungwa wa Palestina

    Hizbullah yakosoa kimya cha nchi za Kiarabu juu ya Wafungwa wa Palestina

    May 03, 2017 02:31

    Katibu Mkuu wa Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon amekosoa vikali hatua ya nchi za Kiarabu kufumbia macho masaibu yanayowakabili mamia ya wafungwa wa Palestina ambao kwa sasa wamesusia kula chakula katika jela za utawala haramu wa Israel.

  • Wamorocco waandamana kuwaunga mkono Wapalestina wanaosusia kula

    Wamorocco waandamana kuwaunga mkono Wapalestina wanaosusia kula

    May 02, 2017 23:15

    Wananchi wa Morocco wamefanya maandaamano katika mji mkuu wa nchi hiyo Rabat, kuonyesha uungaji mkono wao kwa wafungwa wa Kipalestina ambao wanadhalilishwa katika jela na magereza ya utawala haramu wa Israel.

  • Israel yaanza tena ujenzi wa ukuta wa kibaguzi Ukingo wa Magharibi

    Israel yaanza tena ujenzi wa ukuta wa kibaguzi Ukingo wa Magharibi

    Apr 30, 2017 03:08

    Utawala haramu wa Israel umeanza tena ujenzi tata wa ukuta wa kibaguzi unaotenganisha Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan na mji wa Beit Lahm.

  • Wapalestina wa Gaza wasusia kula kuwaunga mkono wafungwa wa Kipalestina

    Wapalestina wa Gaza wasusia kula kuwaunga mkono wafungwa wa Kipalestina

    Apr 28, 2017 03:22

    Wananchi wa Palestina katika Ukanda wa Gaza wamesusia kula chakula ili kuonyesha uungaji mkono wao kwa wafungwa wa Kipalestina ambao wanadhalilishwa katika jela na magereza ya utawala haramu wa Israel.

  • Arab League yautaka Msalaba Mwekundu kutetea wafungwa wa Palestina

    Arab League yautaka Msalaba Mwekundu kutetea wafungwa wa Palestina

    Apr 27, 2017 03:44

    Jumuiya ya Nchi za Kiarabu zimelitaka shirika la Msalama Mwekundu kuwaunga mkono na kusimama na wafungwa wa Palestina sambamba na kusaidia kukomeshwa jinai dhidi yao wanazofanyiwa na utawala haramu wa Israe.

  • Nchi za Kiislamu zatakiwa kuwaunga mkono wafungwa wa Palestina

    Nchi za Kiislamu zatakiwa kuwaunga mkono wafungwa wa Palestina

    Apr 26, 2017 22:16

    Balozi wa Palestina mjini Tehran amesema Palestina itaweza kusaidika iwapo kutakuwa na umoja katika ulimwengu wa Kiislamu huku akitoa wito kwa nchi za Kiislamu kuwaunga mkono wafungwa wa Palestina.

  • Marwan Al-Barghuthi ayaandikia barua mabunge ya dunia kuomba uungaji mkono kwa wafungwa wa Palestina

    Marwan Al-Barghuthi ayaandikia barua mabunge ya dunia kuomba uungaji mkono kwa wafungwa wa Palestina

    Apr 25, 2017 22:02

    Marwan Al-Barghuthi, Mpalestina anayesusia kula ambaye anashikiliwa kwenye gereza la utawala wa Kizayuni wa Israel ameyaandikia barua mabunge ya dunia akiyaomba yawaunge mkono Wapalestina wanaoshikiliwa kwenye magereza ya utawala huo haramu.

  • Wazayuni waendelea kuwanyanyasa Wapalestina

    Wazayuni waendelea kuwanyanyasa Wapalestina

    Apr 18, 2017 03:40

    Wimbi la unyanyasaji dhidi ya viongozi wa mateka wa Kipalestina katika jela za kutisha za Israel limeendelea kwa wanajeshi wa utawala huo dhalimu kuwahamishia mateka wa Palestina wanaogoma kula katika jela ya kuogofya ya Jalama ya Kizayuni.

  • Wapalestina 400 wakamatwa kwa kutumia Facebook kupinga Israel

    Wapalestina 400 wakamatwa kwa kutumia Facebook kupinga Israel

    Apr 16, 2017 22:24

    Utawala wa Kizayuni wa Israel umewakamata Wapalestina 400 kwa sababu ya kuandika maneno yaliyo dhidi ya utawala huo katika mtandao wa kijamii wa Facebook.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS