-
Ayatullah Araki asisitiza kuimarishwa uhusiano wa nchi za Kiislamu
May 17, 2017 23:05Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Kimataifa ya Kukurubisha Pamoja Madhehebu za Kiislamu amesema kuwa, nchi za Shirikisho la Urusi zinaweza kuwa na nafasi muhimu katika Mashariki ya Kati na ulimwenguni kwa ujumla katika kukuza uhusiano wa nchi za Kiislamu na vilevile kuinua kiwango chao cha nafasi ya kisiasa na kiuchumi duniani.
-
Chama cha Leba cha UK kuitambua Palestina kikiingia madarakani
May 16, 2017 23:09Chama cha Leba cha Uingereza kimesema kitaitambua Palestina iwapo kitaibuka mshindi katika uchaguzi wa Juni 8 nchini humo.
-
Jumatano, Mei 17, 2017
May 16, 2017 22:00Leo ni Jumatano tarehe 20 Shaaban 1438 Hijria mwafaka na tarehe 17 Mei mwaka 2017 Miladia.
-
Makamu wa Rais Afrika Kusini asusia kula kuwaunga mkono Wapalestina waliogoma kula
May 15, 2017 09:40Makamu wa rais wa Afrika Kusini na mawaziri wengine nchini humo wamesusia chakula kama njia ya kuonyesha kufungamana kwao na Wapalestina waliogoma kula katika jela za kuogofya za utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Ulimwengu Wachukizwa na Utawala wa Kizayuni katika Siku ya Nakba
May 14, 2017 02:59Huku dunia ikikaribia kukumbuka mwaka wa 69 wa kukaliwa kwa mabavu ardhi za Palestina na baada ya hapo kuasisiwa utawala bandia wa Israel, siku ambayo Wapalestina wanaitaja kuwa siku ya Nakba yaani nakama au maafa, walimwengu wanashuhudia wimbi jipya la kimataifa la kuchikizwa na utawala wa Kizayuni na ongezeko la uungaji mkono kwa Wapalestina.
-
Wapalestina waadhimisha Siku ya Nakaba chini ya anga ya mgomo wa kula
May 14, 2017 02:44Wapalestina kote duniani wanaadhimisha Siku ya Nakba hii leo, kwa mnasaba wa kutimia mwaka wa 69 tangu ulipoundwa utawala bandia na haramu wa Israel mwaka 1948.
-
Wafanyakazi wa Norway wasusia bidhaa za utawala wa Israel
May 13, 2017 09:05Jumuiya kubwa zaidi ya wafanyakazi Norway imetangaza kususia bidhaa za utawala wa Kizayuni wa Israel kulalamikia ukandamizaji unaofanya na utawala huo dhidi ya Wapalestina.
-
Hania asifu juhudi za mateka wa Kipalestina za kukomboa Palestina
May 13, 2017 02:56Mkuu mpya wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS amesifu juhudi za mateka wa Kipalestina za kukomboa ardhi za Palestina na kusisitiza kwamba, kamwe Hamas na wananchi wa taifa hilo madhulumu hawatawasahau.
-
Putin: Uhusiano na Palestina ni muhimu kwa Russia
May 11, 2017 22:41Rais Vladimir Putin wa Russia ameonana na Mahmoud Abbas, Rais wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina na kusema kuwa, nchi yake inalipa umuhimu suala la kuimarisha uhusiano wake na Palestina.
-
Makumi ya Wasudan watangaza himaya yao kwa mateka wa Palestina
May 11, 2017 02:52Makumi ya wananchi wa Sudan wameandamana na kukusanyika katika makao makuu ya Umoja wa Mataifa katika mji mkuu wa nchi hiyo Khartoum na kutangaza himaya na uungaji mkono wao kwa mateka wa Kipalestina.