-
Ripota wa UN: Israel ni mvamizi mbaya zaidi katika historia
Mar 21, 2017 22:45Ripota maalumu wa Umoja wa Mataifa katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu amesema kuwa uvamizi wa Israel dhidi ya Palestina ulioanza zaidi ya miongo sita iliyopita ndio mbaya na machafu zaidi duniani.
-
Rais wa Misri akutana na kufanya mazungumzo na Rais wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina, Cairo katika anga ya hitilafu
Mar 21, 2017 04:04Rais wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina, Mahmoud Abbas amekutana na kufanya mazungumzo na Rais Abdel Fattah el-Sisi wa Misri huko mjini Cairo, huku kukiwepo na tofauti baina yao.
-
Wapalestina waandamana kulaani ukatili wa Israel
Mar 19, 2017 00:56Mamia ya Wapalestina wameshiriki katika mazishi ya kiijana aliyeuawa kwa kupigwa risasia na vikosi vya utawala wa Kizayuni wa Israel katika mji wa Al Khalil huko Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan.
-
Katibu Mtendaji wa ESCWA ajiuzulu baada ya UN kufuta ripoti inayoitambua Israel kuwa ni utawala wa Apartheid
Mar 17, 2017 23:19Msaidizi wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa na Katibu Mtendaji wa Kamati ya Kiuchumi na Kijamii ya Asia Magharibi katika Umoja wa Mataifa (ESCWA) amejizulu wadhifa wake baada ya Katibu Mkuu wa UN, Antonio Guterres kutoa amri ya kufutwa ripoti ya kamati hiyo inayoutambua utawala wa Kizayuni wa Israel kuwa ni utawala wa kibaguzi, Apartheid.
-
Wapalestina waushitaki utawala haramu wa Israel katika mahakama ya ICC
Mar 17, 2017 23:18Mwenyekiti wa Kituo cha Haki za Binadamu cha Palestina Radhi al Surani amesema kuwa kutuo hicho kimewasilisha mashtaka sita dhidi ya utawala haramu wa Isarel katika Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC).
-
Afrika Kusini yaunga mkono mpango wa kuasisiwa nchi huru ya Palestina
Mar 17, 2017 13:08Afrika Kusini imesisitiza kuwa inaunga mkono suala la kuasisiwa nchi huru ya Palestina ili kuhitimisha mzozo wa Mashariki ya Kati.
-
Kuwa mwanachama Palestina wa Jumuiya ya Nchi za Caribbean
Mar 12, 2017 23:09Palestina imekuwa "Mwanachama Mtazamaji" wa Jumuiya ya Nchi za Carribean (ACS). Katika kikao cha Baraza la Mawaziri wa nchi wanachama wa jumuiya ya nchi za eneo la Caribbean kilichofanyika siku ya Jumamosi katika mji mkuu wa Cuba, Havana, Palestina imetangazwa kuwa nchi mwanachama mtazamaji wa jumuiya hiyo.
-
Wapalestina waandamana kupinga marufuku ya adhana Quds tukufu
Mar 12, 2017 03:52Maelfu ya wananchi wa Palestina inayokaliwa kwa mabavu wamefanya maandamano kulaani sheria iliyopasishwa hivi karibuni na Bunge la Israel ya kupiga marufuku adhana katika mji mtakatifu wa Quds.
-
Vipaza Sauti vya adhana katika nyumba Wapalestina kupinga amri ya Israel
Mar 11, 2017 23:31Idadi kubwa ya Wapalestina wameweka vipaza sauti vya adhana katika paa za nyumba zao kama njia ya kuonyesha upinzani wao kwa sheria ya Bunge la utawala wa Kizayuni wa Israel kupiga marufuku ya adhana katika mji wa Quds na Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan.
-
Hamas yalaani muswada wa sheria ya Israel wa kuzima adhana Quds
Mar 11, 2017 02:52Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina Hamas imekosoa vikali muswada wa sheria uliopasishwa hivi karibuni na Bunge la utawala wa Kizayuni wa Israel, unaopania kupiga marufuku kusomwa adhana katika misikiti ya Quds tukufu.