-
Wapalestina wa Gaza wasusia kula kuwaunga mkono wafungwa wa Kipalestina
Apr 28, 2017 03:22Wananchi wa Palestina katika Ukanda wa Gaza wamesusia kula chakula ili kuonyesha uungaji mkono wao kwa wafungwa wa Kipalestina ambao wanadhalilishwa katika jela na magereza ya utawala haramu wa Israel.
-
Arab League yautaka Msalaba Mwekundu kutetea wafungwa wa Palestina
Apr 27, 2017 03:44Jumuiya ya Nchi za Kiarabu zimelitaka shirika la Msalama Mwekundu kuwaunga mkono na kusimama na wafungwa wa Palestina sambamba na kusaidia kukomeshwa jinai dhidi yao wanazofanyiwa na utawala haramu wa Israe.
-
Nchi za Kiislamu zatakiwa kuwaunga mkono wafungwa wa Palestina
Apr 26, 2017 22:16Balozi wa Palestina mjini Tehran amesema Palestina itaweza kusaidika iwapo kutakuwa na umoja katika ulimwengu wa Kiislamu huku akitoa wito kwa nchi za Kiislamu kuwaunga mkono wafungwa wa Palestina.
-
Marwan Al-Barghuthi ayaandikia barua mabunge ya dunia kuomba uungaji mkono kwa wafungwa wa Palestina
Apr 25, 2017 22:02Marwan Al-Barghuthi, Mpalestina anayesusia kula ambaye anashikiliwa kwenye gereza la utawala wa Kizayuni wa Israel ameyaandikia barua mabunge ya dunia akiyaomba yawaunge mkono Wapalestina wanaoshikiliwa kwenye magereza ya utawala huo haramu.
-
Wazayuni waendelea kuwanyanyasa Wapalestina
Apr 18, 2017 03:40Wimbi la unyanyasaji dhidi ya viongozi wa mateka wa Kipalestina katika jela za kutisha za Israel limeendelea kwa wanajeshi wa utawala huo dhalimu kuwahamishia mateka wa Palestina wanaogoma kula katika jela ya kuogofya ya Jalama ya Kizayuni.
-
Wapalestina 400 wakamatwa kwa kutumia Facebook kupinga Israel
Apr 16, 2017 22:24Utawala wa Kizayuni wa Israel umewakamata Wapalestina 400 kwa sababu ya kuandika maneno yaliyo dhidi ya utawala huo katika mtandao wa kijamii wa Facebook.
-
Israel iliteka nyara Wapalestina 500 mwezi Machi
Apr 11, 2017 02:01Utawala wa Kizayuni wa Israel uliwateka nyara Wapalestina 509 katika Ukanda wa Ghaza, Ukingo wa Magharibi na Quds Tukufu mwezi uliopita wa Machi.
-
Jumuiya ya Wafanyakazi Norway yataka kutambuliwa rasmi nchi ya Palestina
Apr 08, 2017 22:10Jumuiya ya Wafanyakazi nchini Norway imetoa wito wa katambulwia rasmi nchi huru ya Palestina.
-
Brazil yalaani ujenzi mpya wa nyumba za Mayahudi Ukingo wa Magharibi
Apr 05, 2017 03:17Brazil imelaani uamuzi uliopasishwa hivi karibuni na baraza la mawaziri la utawala wa Kizayuni wa Israel wa kuidhinisha ujenzi wa vitongoji vipya vya walowezi wa Kiyahudi katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan, huko Palestina inayokaliwa kwa mabavu.
-
EU: Hatutohamishia balozi zetu Quds tukufu kutoka Tel Aviv
Apr 04, 2017 11:21Katika hali ambayo Marekani imezungumzia mpango wa kuhamishia ubalozi wake ulioko Israel kutoka Tel Aviv na kuupeleka katika mji wa Quds tukufu huko Palestina inayokaliwa kwa mabavu, Umoja wa Ulaya umesema nchi wanachama wake hazitofuata sera hizo za Washington.