Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Palestina

  • Pezeshkian: Iran itaendelea kuunga mkono Muqawama wa Palestina

    Pezeshkian: Iran itaendelea kuunga mkono Muqawama wa Palestina

    Sep 03, 2024 23:34

    Rais wa Iran, Masoud Pezeshkian amesema kuwa, serikali yake iko tayari kutoa uungaji mkono usiotetereka kwa ajili ya mapambano ya mataifa yote yanayodhulumiwa duniani kote, hususan Muqawama wa Palestina dhidi ya utawala ghasibu wa Israel.

  • Waziri Mkuu wa Senegal ataka kutengwa, kususiwa Israel

    Waziri Mkuu wa Senegal ataka kutengwa, kususiwa Israel

    Sep 01, 2024 03:14

    Waziri Mkuu wa Senegal, Ousmane Sonko ameziasa nchi za Kiislamu kuususia utawala wa Israel na kuzidisha mashinikizo ya kulitenga dola hilo la Kizayuni.

  • Waisraeli 3 waangamizwa katika operesheni ya kulipiza kisasi karibu na al-Khalil

    Waisraeli 3 waangamizwa katika operesheni ya kulipiza kisasi karibu na al-Khalil

    Sep 01, 2024 03:10

    Kwa uchache askari polisi wawili wa Israel na mlowezi mmoja wa Kizayuni wameangamizwa katika operesheni ya kulipiza kisasi karibu na mji wa al-Khalil, katika eneo la Palestina la Ukingo wa Magharibi.

  • Watengenezaji filamu wa Palestina walalamikia msimamo usio wa kibinadamu na wa kibaguzi wa Holywood

    Watengenezaji filamu wa Palestina walalamikia msimamo usio wa kibinadamu na wa kibaguzi wa Holywood

    Aug 29, 2024 23:11

    Watengenezaji filamu wa Kipalestina wamesaini barua ya wazi wakipinga na kulalamika msimamo usio wa kibinadamu na wa kibaguzi wa Holywood.

  • Wanachuo wanaoitetea Palestina 'wakaribisha' kujiuzulu Rais wa Chuo Kikuu cha Columbia

    Wanachuo wanaoitetea Palestina 'wakaribisha' kujiuzulu Rais wa Chuo Kikuu cha Columbia

    Aug 15, 2024 04:25

    Rais wa Chuo Kikuu cha Columbia Minouche Shafik alitangaza kujiuzulu jana Jumatano, takriban miezi minne baada ya chuo hicho kushuhudia maandamano ya wananchuo waliokuwa wakilalamikia vita vya mauaji ya kimbari vya utawala wa Israel huko Gaza.

  • Hali ya kutisha ya zama za mwisho huko Gaza

    Hali ya kutisha ya zama za mwisho huko Gaza

    Aug 15, 2024 01:05

    Huku nchi za Magharibi zikiunga mkono jinai zinazoongezeka kila siku za utawala wa Kizayuni dhidi ya Wapalestina hasa katika kuwalazimisha watu wa Gaza kuyahama makazi yao, weledi wa mambo wanasema wigo wa jinai hizo unaweza kuzikumba nchi hizo pia baada ya muda usio mrefu.

  • HAMAS: Hatutashiriki mazungumzo ya usitishaji vita Doha

    HAMAS: Hatutashiriki mazungumzo ya usitishaji vita Doha

    Aug 14, 2024 23:15

    Afisa mwandamizi wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) amesema wawakilishi wa harakati hiyo ya muqawama hawatashiriki mazungumzo ya leo ya usitishaji vita yanayotazamiwa kufanyika Doha, mji mkuu wa Qatar.

  • Japan yasema itaitambua Palestina kwa 'njia kamilifu'

    Japan yasema itaitambua Palestina kwa 'njia kamilifu'

    Aug 14, 2024 23:15

    Serikali ya Japan imesisitiza kwa mara nyingine tena kuwa, inatathmini suala la kulitambua rasmi taifa huru la Palestina.

  • HAMAS: OIC na Arab League zifanye mkutano haraka ili kusimamisha mauaji ya kimbari ya Ghaza

    HAMAS: OIC na Arab League zifanye mkutano haraka ili kusimamisha mauaji ya kimbari ya Ghaza

    Aug 12, 2024 07:48

    Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS imetoa wito kwa Jumuiya ya Nchi za Kiarabu na Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC) zifanye mkutano wa dharura wa kuchukua hatua dhidi ya mauaji ya kimbari yanayoendelea kufanywa na Israel katika Ukanda wa Ghaza.

  • Makamu wa Kwanza wa Rais wa Iran: Taasisi za kimataifa ni washirika katika jinai za utawala wa Kizayuni

    Makamu wa Kwanza wa Rais wa Iran: Taasisi za kimataifa ni washirika katika jinai za utawala wa Kizayuni

    Aug 11, 2024 07:57

    Makamu wa Kwanza wa Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa taasisi za kimataifa zinashiriki katika jinai za utawala wa Kizayuni.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS