Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Palestina

  • Wasiwasi wa Washington juu ya ushawishi wa Iran kati ya watetezi wa Palestina huko Marekani

    Wasiwasi wa Washington juu ya ushawishi wa Iran kati ya watetezi wa Palestina huko Marekani

    Jul 12, 2024 07:11

    Harakati ya wanafunzi wa vyuo vikuu nchini Marekani iliyotikisa maeneo yote ya hiyo na kusababisha mamia ya maandamano, mikusanyiko na migomo katika vyuo vikuu kulalamikia jinai na uhalifu wa Israel hususan mauaji ya kimbari ya watu wa Gaza imekabiliwa na hasira kali ya serikali ya Washington.

  • Katibu Mkuu wa Hizbullah asisitiza kuendelezwa uungaji mkono kwa watu wa Palestina

    Katibu Mkuu wa Hizbullah asisitiza kuendelezwa uungaji mkono kwa watu wa Palestina

    Jul 10, 2024 09:00

    Katibu Mkuu wa harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesisitiza kuwa, mapambano ya kuunga mkono watu wa Ukanda wa Gaza yataendelea hadi kutimizwa malengo ya wananchi wa Palestina na ya wanamapambano wa ukombozi.

  • Rais wa Bolivia: Mapambano ya Wapalestina ni ya kupigania kurejesha ardhi yao

    Rais wa Bolivia: Mapambano ya Wapalestina ni ya kupigania kurejesha ardhi yao

    Jul 09, 2024 22:56

    Rais wa Bolivia amesema kuwa, mapambano ya Wapalestina dhidi ya utawala wa Kizayuni kutaka kurejesha ardhi zao zilizoporwa ni haki  ya taifa la Palestina.

  • Lancet: Wapalestina waliouawa Gaza wanapindukia 186,000

    Lancet: Wapalestina waliouawa Gaza wanapindukia 186,000

    Jul 09, 2024 03:35

    Jarida mashuhuri la masuala ya tiba na afya la The Lancet la Uingereza limeripoti kuwa, yumkini idadi halisi ya Wapalestina waliouawa shahidi katika mashambulizi ya utawala wa Kizayuni wa Israel katika Ukanda wa Gaza inazidi watu 186,000.

  • Wanahabari 5 ni miongoni mwa Wapalestina 29 waliouawa Gaza

    Wanahabari 5 ni miongoni mwa Wapalestina 29 waliouawa Gaza

    Jul 06, 2024 07:50

    Wizara ya Afya ya Ukanda wa Gaza imesema waandishi wa habari watano ni miongoni mwa Wapalestina 29 waliouawa shahidi ndani ya saa 24 zilizopita na wanajeshi makatili wa Israel katika eneo hilo la Palestina linalokaliwa kwa mabavu na utawala wa Kizayuni.

  • Israel yaendelea kumwaga damu za Wapalestina Jenin, Jabalia

    Israel yaendelea kumwaga damu za Wapalestina Jenin, Jabalia

    Jul 05, 2024 23:07

    Wakazi watano wa mji wa Jenin ni miongoni mwa makumi ya Wapalestina waliouawa shahidi kwa kupigwa risasi na kushambuliwa kwa mabomu na jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel katika maeneo mbali mbali ya Palestina jana Ijumaa.

  • Bendera za Israel, US zachomwa moto Brazil katika maandamano ya kuiunga mkono Palestina

    Bendera za Israel, US zachomwa moto Brazil katika maandamano ya kuiunga mkono Palestina

    Jul 02, 2024 02:42

    Wananchi wenye hasira wa Brazil wamechoma moto bendera za Israel, Marekani na Umoja wa Ulaya wakati wa maandamano ya kuunga mkono Palestina na kupinga mauaji ya kimbari yanayoendelea kufanywa na utawala wa Kizayuni katika Ukanda wa Gaza.

  • Sayyid Nasrullah: Kukombolewa Palestina ndio ushindi wa mwisho

    Sayyid Nasrullah: Kukombolewa Palestina ndio ushindi wa mwisho

    Jun 29, 2024 22:44

    Katibu Mkuu wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon amesema kuwa, ushindi wa mwisho ni kukombolewa Palestina na kuondolewa eneo la Asia Magharibi kutoka katika udhibiti utawala wa Marekani.

  • Erdogan: Nchi za Magharibi zimekuwa mateka wa mtu kichaa kama Netanyahu

    Erdogan: Nchi za Magharibi zimekuwa mateka wa mtu kichaa kama Netanyahu

    Jun 26, 2024 23:28

    Rais wa Uturuki, Recep Tayyip Erdogan alisema jana Jumatano kwamba nchi yake inasimama bega kwa bega na Lebanon kutokana na mvutano unaozidi kuongezeka na utawala wa Kizayuni wa Israel, na amezitaka pande za kikanda kumuunga mkono katika msimamo huo.

  • CAIR: Dunia ina wajibu wa kukomesha mauaji ya watoto Gaza

    CAIR: Dunia ina wajibu wa kukomesha mauaji ya watoto Gaza

    Jun 25, 2024 22:48

    Kundi la kutetea haki za Waislamu na kiraia nchini Marekani limeeleza kusitikishwa na hali mbaya ya watoto katika Ukanda wa Gaza, na kusisitiza kuwa jamii ya kimataifa na wajibu wa kusimamisha mauaji ya watoto Gaza.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS