-
Njaa yaenea Gaza kutokana na kuendelea mashambulizi ya utawala wa Kizayuni
Jun 25, 2024 04:14Mkuu wa Ofisi ya Habari ya Serikali ya Palestina katika Ukanda wa Gaza amesisitiza kuwa njaa inazidi kuongezeka katika keneo kila siku kufuatia kushtadi mashambulizi ya utawala wa Kizayuni dhidi ya wakazi wa ukanda huo.
-
Borrell: Hali ya mambo ya Gaza haielezeki kufuatia mashambulizi ya Israel
Jun 24, 2024 07:49Josep Borrel Mkuu wa Sera za Nje wa Umoja wa Ulaya amesema kuwa hali ya mambo katika Ukanda wa Gaza ambako Israel inaendeleza mashambulizi yake ya mauaji ya unati tangu Oktoba mwaka jana haielezeki.
-
HAMAS: Kuendelea kutambuliwa Palestina kutahitimisha unazi wa Kizayuni
Jun 22, 2024 07:49Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS sanjari na kukaribisha kwa mikono miwili na kupongeza hatua ya Armenia ya kulitambua rasmi taifa huru la Palestina, imesisitiza kuwa mwenendo huo wa mataifa ya dunia kuitambua Palestina kama nchi huru utapelekea kufikia ukingoni unazi wa Kizayuni.
-
Bagheri Kani: Mataifa ya eneo yachukue hatua za kukomesha mauaji ya kimbari Gaza
Jun 20, 2024 09:18Kaimu Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Iran amesema kuwa, hali ya eneo na maslahi ya mataifa ya eneo hili yanahitaji kutumia uwezo wao wote kusimamisha mauaji ya kimbari katika Ukanda wa Ghaza na kuwaunga mkono wananchi wanaodhulumiwa wa Palestina.
-
Umoja wa Mataifa: Vita vimeigeuza Gaza kuwa Jahanamu ya duniani
Jun 17, 2024 23:13Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amesema kuwa, vita vimeligeuza eneo la Ukanda wa Gaza kuwa Jahanamu ya duniani.
-
Jeshi la Yemen: Meli mbili zinazozama ni zawadi yetu ya Idi kwa muqawama wa Palestina
Jun 16, 2024 23:49Msemaji wa jeshi la Yemen ametangaza kuwa, meli mbili zinazozama ni zawadi ya Eid al-Adh'haa ya jeshi la Yemen kwa muqawama wa Palestina kutokana na kusimama kwao kidete.
-
Waziri Mkuu wa Uhispania ayataka mataifa ya Ulaya kuitambua rasmi Palestina
Jun 14, 2024 04:02Pedro Sanchez, Waziri Mkuu wa Uhispania ameyataka mataifa ya Ulaya kuitambua rasmi Palestina kama nchi na dola huru.
-
Alkhamisi, 13 Juni, 2024
Jun 12, 2024 22:41Leo ni Alkhamisi 6 Mfunguo Tatu Dhul-Hijja 1445 Hijria mwafaka na 13 Juni 2024 Miladia.
-
Walimwengu waandamana wakilaani mauaji ya kimbari ya Israel huko Gaza
Jun 12, 2024 03:52Maandamano ya kupinga na kulaani mauaji ya kimbari ya utawala ghasibu wa Kizayuni katika ukanda wa Gaza yanaendelea kufanyika katika nchi tofauti za dunia.
-
Msimamo wa Makundi ya Mapambano ya Palestina Kuhusu Azimio la UN
Jun 11, 2024 23:24Makundi ya mapambano ya Palestina yametoa mjibizo kwa hatua ya Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa ya kupitisha azimio lililopendekezwa na Marekani kuhusu matukio ya Ghaza kwa kusisitiza kuwa: azimio hilo linahitaji hakikisho la utekelezaji.