-
Taasisi ya utafiti Ujerumani yamfuta kazi profesa kwa kuitetea Palestina
Feb 12, 2024 01:08Taasisi moja mashuhuri ya utafiti nchini Ujerumani imempiga kalamu nyekundu profesa wa anthropolojia anayeiunga mkono Palestina, baada ya msomi huyo kukosoa mashambulizi yanayoendelea kufanywa na utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Wapalestina wa Ukanda wa Gaza.
-
Raisi: Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ndiyo kinara wa mapambano dhidi ya ugaidi na kutetea haki za binadamu
Feb 11, 2024 08:42Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema: Jamhuri ya Kiislamu ndiyo kinara wa mapambano dhidi ya ugaidi na kutetea haki za binadamu.
-
Iran yaonya kuhusu uungaji mkono wa Marekani kwa jinai za Israel
Feb 09, 2024 23:43Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran ameionya vikali Marekani dhidi ya kuendelea kuiunga mkono Israel na Waziri Mkuu wa utawala wa Kizayuni, Benjamin Netanyahu.
-
Mkutano wa mawaziri wa Kiarabu Riyadh wataka kuhitimishwa vita vya Gaza
Feb 09, 2024 09:04Mawaziri wa Mashauri ya Kigeni wa mataifa matano ya Kiarabu walmekutana Riyadh mji mkuu wa Saudi Arabia na kuutoa mwito wa kusitishwa vita huko Gaza.
-
Nicaragua yazishtaki ICJ Ujerumani, UK, Uholanzi na Canada kwa kuisaidia Israel katika mauaji ya kimbari ya Wapalestina
Feb 07, 2024 00:19Serikali ya Nicaragua imezishitaki Ujerumani, Uingereza, Uholanzi na Canada katika Mahakama ya Kimataifa ya Haki ICJ kwa kuunga mkono utawala wa Kizayuni katika mauaji ya kimbari ya Wapalestina.
-
Israel yaua watoto wa chekechea katika shambulio la anga Gaza
Feb 04, 2024 07:48Kwa akali watoto wawili wa Kipalestina wameuawa shahidi katika shambulizi la anga lililofanywa na ndege za kivita za utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya shule moja ya chekechea katika mji wa Rafah, kusini mwa Ukanda wa Gaza.
-
Iran yalaani Magharibi kuisimamishia UNRWA misaada
Feb 03, 2024 04:00Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amekosoa vikali hatua 'chungu' ya Wamagharibi ya kulisimamishia misaada Shirika la Umoja wa Mataifa la Msaada kwa Wakimbizi wa Kipalestina (UNRWA).
-
Ebrahim Raisi: Kadhia kuu ya Ulimwengu wa Kiislamu ni Palestina na ukombozi wa Quds
Jan 31, 2024 10:06Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, kadhia kuu nambari moja ya Ulimwengu wa Kiislamu ni Palestina na ukombozi wa Quds Tukufu, Kibla cha Kwanza cha Waislamu, kutoka kwenye makucha ya utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
UN: 'Hakuna mbadala' wa kazi ya UNRWA ya kuokoa maisha ya Wapalestina Gaza
Jan 31, 2024 03:35Mratibu Mwandamizi wa Masuala ya Kibinadamu na Ujenzi mpya wa Gaza Sigrid Kaag amesema, hakuna shirika linaloweza kuchukua nafasi ya shirika la Umoja wa Mataifa la msaada kwa wakimbizi wa Kipalestina, UNRWA, katika Ukanda wa Gaza ulioharibiwa na vita.
-
HAMAS: 'Tunapitia' pendekezo jipya la kusimamisha vita Gaza
Jan 31, 2024 00:01Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS amesema kundi hilo la muqawama 'linadurusu' na kutathmini pendekezo jipya la usitishaji vita lakini amesisitiza kuwa, kipaumbele chake kwa sasa ni kuhitimisha uvamizi na kuondoka kikamilifu vikosi vamizi vya utawala wa Kizayuni wa Israel katika Ukanda wa Gaza.