Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Palestina

  • Hizbullah: Tutaendelea kuishambulia Israel hadi ikomeshe jinai zake Gaza

    Hizbullah: Tutaendelea kuishambulia Israel hadi ikomeshe jinai zake Gaza

    Dec 13, 2023 07:46

    Harakati ya Hizbullah ya Lebanon imesema kundi hilo la muqawama wa Kiislamu litaendelea kufanya mashambulizi ya ulipizaji kisasi dhidi ya Israel, madhali utawala huo wa Kizayuni unaendelea kumwaga damu za Wapalestina wa Ukanda wa Gaza.

  • Wacanada waandamana wakimtaka Trudeau aache kuiuzia Israel silaha

    Wacanada waandamana wakimtaka Trudeau aache kuiuzia Israel silaha

    Dec 13, 2023 07:45

    Waungaji mkono wa Palestina wanaoishi nchini Canada wamefanya maandamano makubwa kulaani jinai za Wazayuni dhidi ya Wapalestina katika Ukanda wa Gaza, ambapo mbali na kuonyesha mshikamano wao na wakazi wa Gaza, lakini pia wamemtaka Waziri Mkuu wa nchi hiyo, Justin Trudeau kuacha kuuuzia silaha utawala wa Kizayuni.

  • Abdollahian: Unyama wa utawala wa Israel huko Gaza una utambulisho wa Kidaesh

    Abdollahian: Unyama wa utawala wa Israel huko Gaza una utambulisho wa Kidaesh

    Dec 13, 2023 01:01

    Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Iran amesema: Mienendo isiyo ya kibinadamu ya utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya raia mateka wa Palestina katika ukanda wa Gaza ni mfano na ishara ya wazi ya tabia ya kundi la kigaidi la Daesh.

  • Jeshi la Yemen: Tumeshambulia kwa kombora meli iliyokuwa ikielekea Israel

    Jeshi la Yemen: Tumeshambulia kwa kombora meli iliyokuwa ikielekea Israel

    Dec 12, 2023 23:16

    Vikosi vya ulinzi vya Yemen vimekiri kuhusika na shambulizi la kombora la cruise dhidi ya meli ya mafuta katika Bahari Nyekundu, ikiwa njiani kuelekea katika bandari ya utawala wa Kizayuni wa Israel.

  • Tunawaambiaje wale wanaolaani mapambano ya silaha ya Wapalestina?

    Tunawaambiaje wale wanaolaani mapambano ya silaha ya Wapalestina?

    Dec 12, 2023 06:39

    Hivi inafaa kweli kuwalaumu Wapalestina kwa kuendesha mapambano ya silaha dhidi ya Wazayuni Kama unaamini hivyo, basi anza kwanza kulaani mapambano ya mashujaa kama Nelson Mandela. Lakini pia si shujaa Nelson Mandela tu, bali wako wengi. 

  • Uchunguzi wa maoni: Wamarekani wengi wanapinga sera ya Biden kuhusu vita vya Gaza

    Uchunguzi wa maoni: Wamarekani wengi wanapinga sera ya Biden kuhusu vita vya Gaza

    Dec 11, 2023 23:29

    Uchunguzi wa maoni uliofanywa na televisheni ya Marekani ya CBS News umeonyesha kuwa asilimia kubwa ya Wamarekani wanapinga jinsi Rais Joe Biden anavyoshughulikia vita vya Israel dhidi ya watu wa Ukanda wa Gaza.

  • Raisi: Kimbunga cha al-Aqsa kimepanua mipaka ya muqawama

    Raisi: Kimbunga cha al-Aqsa kimepanua mipaka ya muqawama

    Dec 10, 2023 00:31

    Rais wa Iran amesema Operesheni ya Kimbunga cha al-Aqsa imepanua mipaka ya muqawama na kuufikisha katika kona zote za dunia.

  • Makundi ya muqawama yatoa mwito wa kufanyika 'mgomo wa ulimwengu'

    Makundi ya muqawama yatoa mwito wa kufanyika 'mgomo wa ulimwengu'

    Dec 10, 2023 00:31

    Muungano wa makundi ya muqawama wa Palestina umetoa mwito wa kufanyika 'mgomo kamili wa kimataifa' kwa ajili ya kuonyesha mshikamano na wananchi wa Palestina katika Ukanda wa Gaza, ambao wanakabiliwa na mauaji ya kimbari ya utawala wa Kizayuni wa Israel kwa zaidi ya miezi miwili sasa.

  • Mufti wa Oman alaani wanaotaka kudhoofisha muqawama wa Wapalestina

    Mufti wa Oman alaani wanaotaka kudhoofisha muqawama wa Wapalestina

    Dec 09, 2023 23:37

    Mufti Mkuu wa Oman amewakosoa wale wanaojaribu kudhoofisha harakati za mapambano ya Kiislamu (muqawama) za Wapalestina dhidi ya jinai za utawala haramu wa Israel.

  • Ripoti: Israel imeua makumi ya wanariadha wa Palestina tangu Oktoba 7

    Ripoti: Israel imeua makumi ya wanariadha wa Palestina tangu Oktoba 7

    Dec 09, 2023 23:25

    Israel imeua shahidi makumi ya wanariadha na wamamichezo wa Palestina tangu utawala huo wa Kizayuni uanzishe mashambulizi ya kutisha dhidi ya Ukanda wa Gaza mnamo Oktoba 7.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS