Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Palestina

  • Ansarullah ya Yemen yakosoa vikali ulegevu walioonyesha watawala wa Kiarabu mbele ya Wazayuni

    Ansarullah ya Yemen yakosoa vikali ulegevu walioonyesha watawala wa Kiarabu mbele ya Wazayuni

    Nov 11, 2023 08:33

    Harakati ya Ansarullah ya Yemen imesisitiza kuwa itaendelea kuliunga mkono kwa dhati taifa na Muqawama wa Palestina katika Ukanda wa Gaza na imekosoa vikali udhaifu na ulegevu ulioonyeshwa na watawala wa nchi za Kiarabu mbele ya utawala dhalimu wa Kizayuni wa Israel.

  • Sheikh Al-Azhar wa Misri asisitiza juu ya ulazima wa kusitishwa jinai za utawala wa Kizayuni dhidi ya Wapalestina

    Sheikh Al-Azhar wa Misri asisitiza juu ya ulazima wa kusitishwa jinai za utawala wa Kizayuni dhidi ya Wapalestina

    Nov 11, 2023 02:42

    Sheikh wa Chuo Kikuu cha Al Azhar cha Misri amesisitiza juu ya ulazima wa kukomeshwa jinai na mashambulizi ya utawala wa Kizayuni dhidi ya Wapalestina.

  • Palestina yaishtaki Israel IAEA kwa kutishia kudondosha bomu la nyuklia Gaza

    Palestina yaishtaki Israel IAEA kwa kutishia kudondosha bomu la nyuklia Gaza

    Nov 09, 2023 23:23

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Palestina amewasilisha faili mbele ya Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki (IAEA) kulalamikia matamshi ya vitisho ya waziri wa utawala wa Kizayuni kwamba ikilazimu, utawala huo haramu utatumia bomu la nyuklia dhidi ya watu wa Gaza.

  • Misri yapinga mpango wa kuindoa Hamas mamlakani Gaza

    Misri yapinga mpango wa kuindoa Hamas mamlakani Gaza

    Nov 09, 2023 10:02

    Serikali ya Misri imeripotiwa kukataa pendekezo la Marekani la kutwaa kwa muda mamlaka katika Ukanda wa Gaza, ikisisitiza kuwa Cairo haitakuwa na nafasi yoyote katika kuondolewa madarakani Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) katika eneo hilo lililozingirwa.

  • Kupambana na Utawala wa Kizayuni wa Israel katika Mtazamo wa Uislamu

    Kupambana na Utawala wa Kizayuni wa Israel katika Mtazamo wa Uislamu

    Nov 09, 2023 07:57

    Hamjambo na karibuni kuwa nasi katika kipindi chetu cha Makala ya Wiki ambacho leo kinaangazia mtazamo wa dini ya Kiislamu kuhusu kujilinda na kukabiliana na ukandamizaji, uchokozi na uvamizi.

  • Wananchi wa Morocco waandamana kuwaunga mkono Wapalestina wa Gaza

    Wananchi wa Morocco waandamana kuwaunga mkono Wapalestina wa Gaza

    Nov 08, 2023 03:40

    Wananchi wa Morocco kwa mara nyingine tena wamefanya maandamano ya kuwanga mkono wananchi wa Palestina ambao wanakabiliwa na hujuma na mashambulizi ya kikatili ya utawala haramu wa Israel katika Ukanda wa Gaza.

  • Rais wa Iran: Kuendelea kwa mauaji ya Wapalestina kutaathiri ulimwengu

    Rais wa Iran: Kuendelea kwa mauaji ya Wapalestina kutaathiri ulimwengu

    Nov 07, 2023 04:47

    Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema Tehran inaunga mkono juhudi za pamoja za kimataifa kwa ajili ya usitishaji vita mara moja, kuondoa mzingiro na kutoa misaada kwa watu wanaodhulumiwa wa Ghaza na kusisitiza kuwa: Mauaji ya watu wa Palestina yameyakasirisha mataifa yote huru duniani, na kuendelea kwa mauaji haya kutakuwa na matokeo mabaya hadi nje ya kanda ya Magharibi mwa Asia.

  • Maandamano ya kuwaunga mkono Wapalestina yafanyika Ujerumani, Italia

    Maandamano ya kuwaunga mkono Wapalestina yafanyika Ujerumani, Italia

    Nov 05, 2023 10:11

    Maelfu ya watu wamejitokeza mabarabarani katika mji mkuu wa Ujerumani, Berlin kushiriki maandamano ya kulaani jinai zinazoendelea kufanywa na utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya wananchi wa Palestina, huku idadi ya Wapalestina waliouawa shahidi hadi sasa katika mashambulizi dhidi ya Ukanda wa Gaza ikipindukia 10,000.

  • Mpira wa kusimamisha au kupanua wigo wa vita Ghaza uko katika uwanja wa Netanyahu na jeshi la Kizayuni

    Mpira wa kusimamisha au kupanua wigo wa vita Ghaza uko katika uwanja wa Netanyahu na jeshi la Kizayuni

    Nov 05, 2023 03:22

    Operesheni ya Kimbunga cha Al-Aqsa inakaribia kufika mwezi mmoja tangu itekelezwe huku jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel likiendelea kuwaua watu wa Ghaza na kujaribu kufidia kushindwa kwao katika vita vya nchi kavu kwa kuwaua raia kwa umati.

  • Balozi wa Cuba: Israel ndiye gaidi halisi

    Balozi wa Cuba: Israel ndiye gaidi halisi

    Nov 03, 2023 23:32

    Balozi wa Cuba mjini Tehran sanjari na kulaani jinai za Israel dhidi ya wananchi wa Palestina katika Ukanda wa Gaza, ameutaja utawala huo wa Kizayuni wa Israel kuwa utawala wa kigaidi.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS