-
Sisitizo la Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu la kuungwa mkono Wapalestina
Oct 15, 2023 04:11Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, jana (Jumamosi) alionana na Sheikh Ibrahim Zakzaky, Mkuu wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria na familia yake hapa mjini Tehran na sambamba na kugusia hali ya ardhi za Palestina hivi sasa hasa Ghaza amesema, leo hii moja ya madhihirisho ya nguvu za Uislamu ni haya mambo yanayotokea hivi sasa huko Palestina.
-
Maandamano ya kuwaunga mkono Wapalestina yafanyika tena Afrika Kusini
Oct 14, 2023 03:54Kwa mara nyingine, wananchi wa Afrika Kusini wamefanya maandamano wakionyesha mshikamano wao na watu wanaodhulumiwa wa Palestina na kutangaza uungaji mkono wao kwa mapambano ya ukombozi wa Palestina.
-
Iran yakosoa taarifa ya Arab League kuhusu Gaza
Oct 14, 2023 03:32Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema taarifa mpya ya Jumuiya ya Nchi za Kiarabu juu ya matukio ya Ukanda wa Gaza inakera na kufedhehesha.
-
Khatibu wa Swala ya Ijumaa Tehran: Kuongezeka Waislamu wanaounga mkono muqawama wa Palestina ni dhihirisho la Mwamko wa Kiislamu
Oct 13, 2023 08:41Khatibu wa Swala ya Ijumaa katika mji wa Tehran amesema kuwa kujitokeza wimbi kubwa na uungaji mkono wa Waislamu katika maeneo mbalimbali duniani kwa mapambano ya wananchi wa Palestina ni jambo lenye baraka na la kusifiwa linalodhihirisha mwamko wa Kiislamu.
-
Maelfu ya Watunisia waandamana kuwaunga mkono Wapalestina
Oct 13, 2023 03:43Maelfu ya wananchi wa Tunisia wamefanya maandamano wakionyesha mshikamano wao na wananchi wanaodhulumiwa wa Palestina sanjari na kulaani jinai zinazofanywa na utawala wa Kizayuni dhidi ya Wapalestina.
-
Iran: Mapambano dhidi ya Israel yanaweza kuchukua mkondo mpana
Oct 13, 2023 00:02Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema mapambano dhidi ya utawala wa Kizayuni wa Israel ambayo yameutumbukiza Ukanda wa Gaza katika vita haribifu na vya kuogofya, huenda yakachukua mikondo mipya na mipana zaidi.
-
Tovuti ya Marekani "The Grayzone" yafichua chanzo cha uongo wa Biden kuhusu kukatwa vichwa watoto wa Israel
Oct 12, 2023 08:38Tuvuti ya habari ya Marekani imefichua ukweli kuhusu uongo uliosemwa na Rais Joe Biden alipodai kuwa wanachama wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) waliwakata vichwa watoto wadogo wakati wa operesheni ya kijeshi ya Kimbunga cha al Aqsa Jumamosi iliyopita.
-
Putin: Israel imepora ardhi halali ya Wapalestina kwa kutumia jeshi
Oct 11, 2023 23:02Rais Vladimir Putin wa Russia amesema utawala haramu wa Israel umenyakua sehemu kubwa ya ardhi ya halali ya Wapalestina kwa kutumia vikosi vya jeshi la utawala huo wa Kizayuni.
-
Kan'ani: Sauti ya Kushindwa Wazayuni imesikiwa na walimwengu
Oct 11, 2023 09:07Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Iran amesema kuwa mauaji yanayofanywa na wanajeshi wa utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya waandishi wa habari hayatazuia kufichuliwa ukubwa wa kushindwa kwa utawala huo na jinai zake na kuongeza kuwa: Msingi unaolegalega wa utawala dhalimu na bandia wa Israel unatetereka zaidi, na sauti za kufeli na kushindwa kwake kijeshi na kijasusi imefika kwenye masikio ya walimwengu.
-
Palestina, Mhimili wa Umoja katika Ulimwengu wa Kiislamu
Oct 11, 2023 08:24Karibuni kutegea sikio kipindi cha juma hili cha Makala ya Wiki ambacho kitazungumzia Palestina kama mhimili wa umoja baina ya Waislamu wote.