Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Palestina

  • Amir wa Qatar: Israel ni utawala wa kibaguzi wa karne ya 21

    Amir wa Qatar: Israel ni utawala wa kibaguzi wa karne ya 21

    Sep 20, 2023 07:58

    Amir wa Qatar amesema kuwa, Israel ni utawala wa kibaguzi wa karne ya 21, na kusisitiza kuwa, wananchi wa Palestina hawapaswi kuwa watumwa wa dhulma na ukatili wa wavamizi wanaoikalia Quds kwa mabavu.

  • Jeshi la Israel lawaua shahidi Wapalestina 4 Gaza, Ukingo wa Magharibi

    Jeshi la Israel lawaua shahidi Wapalestina 4 Gaza, Ukingo wa Magharibi

    Sep 20, 2023 03:47

    Wanajeshi vamizi wa utawala wa Kizayuni wa Israel wamewaua shahidi Wapalestina wanne katika mashambulizi mawili tofauti katika eneo la Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan na Ukanda wa Gaza.

  • Abbas ataka wafungwa wote wa Kipalestina waachiwe huru

    Abbas ataka wafungwa wote wa Kipalestina waachiwe huru

    Sep 17, 2023 01:07

    Rais Mahmoud Abbas wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina ametaka kuachiwa huru wafungwa wote wa Kipalestina wanaoendelea kuteseka katika jela na magereza ya utawala wa Kizayuni wa Israel.

  • HAMAS yalaani kauli ya Katibu Mkuu wa UN kuyaita mapambano ya Wapalestina 'vurugu na utumiaji nguvu'

    HAMAS yalaani kauli ya Katibu Mkuu wa UN kuyaita mapambano ya Wapalestina 'vurugu na utumiaji nguvu'

    Sep 15, 2023 09:56

    Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS imekosoa vikali kauli ya Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres ya kuuita Muqawama wa wananchi wa Palestina dhidi ya utawala ghasibu wa Israel kuwa ni "vurugu" na kusisitiza kwamba kinachofanyika katika ardhi za Palestina ni haki ya kujihami dhidi ya utawala unaokalia ardhi kwa mabavu.

  • Muqawama: Hatutafumbia macho upuuzi wa kuwadhalilisha wanawake Wapalestina

    Muqawama: Hatutafumbia macho upuuzi wa kuwadhalilisha wanawake Wapalestina

    Sep 08, 2023 03:58

    Makundi ya muqawama ya Palestina yameapa kulipiza kisasi cha kudhalilishwa wanawawake wa Kipalestina katika mji wa al-Khalil, eneo la Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan linalokaliwa kwa mabavu.

  • Wakuu wa muqawama Palestina na Lebanon kutoa jibu la pamoja dhidi ya Israel

    Wakuu wa muqawama Palestina na Lebanon kutoa jibu la pamoja dhidi ya Israel

    Sep 03, 2023 04:11

    Viongozi wa harakati za muqawama za Palestina na Lebanon wameapa kushirikiana ili kutoa jibu la pamoja dhidi ya sera za uvamizi za utawala haramu wa Israel.

  • Haniya: Israel inabeba dhima ya mauaji katika jamii ya Waarabu

    Haniya: Israel inabeba dhima ya mauaji katika jamii ya Waarabu

    Sep 03, 2023 03:53

    Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina (HAMAS) amesema utawala haramu wa Israel unabeba dhima ya mauaji ya kiholela katika jamii ya Waarabu katika ardhi za Wapalestina zinazokaliwa kwa mabavu.

  • Kupinga Waziri Mkuu wa Libya kuanzishwa uhusiano wa kawaida na utawala wa Kizayuni wa Israel

    Kupinga Waziri Mkuu wa Libya kuanzishwa uhusiano wa kawaida na utawala wa Kizayuni wa Israel

    Sep 02, 2023 07:15

    Baada ya maandamano makubwa ya wananchi wa Libya ya kulaaniwa kukutana na kufanya mazungumzo Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa nchi hiyo na mwenzake wa utawala wa Kizayuni, kwa mara nyingine tena Waziri Mkuu wa Serikali ya Umoja wa Kitaifa ya Libya, Abdel-Hamid al-Dbeibeh, alisisitiza siku ya Alkhamisi juu ya uungaji mkono wa nchi hiyo kwa kwa malengo matukufu ya Palestina na mapambano ya Palestina dhidi ya ya utawala haramu wa Israel.

  • Ripoti: Saudia inairubuni Palestina kwa fedha ili ikubali uhusiano na Israel

    Ripoti: Saudia inairubuni Palestina kwa fedha ili ikubali uhusiano na Israel

    Aug 30, 2023 04:44

    Maafisa wa Saudi Arabia wameripotiwa wakisema kuwa, Riyadh ipo tayari kuanza tena kuipa Mamlaka ya Ndani ya Palestina msaada wa kifedha, mkabala wa kupata uungaji mkono wa Ramallah katika juhudi zake za kuanzisha uhusiano wa kawaida na utawala haramu wa Israel.

  • Amnesty yalaani uamuzi wa Israel kwa kumuadhibu mtoto wa Kipalestina kwa kitendo ambacho hakufanya

    Amnesty yalaani uamuzi wa Israel kwa kumuadhibu mtoto wa Kipalestina kwa kitendo ambacho hakufanya

    Aug 29, 2023 22:57

    Shirika la kutetea haki za binadamu la Amnesty International limelaani uamuzi wa mahakama ya Israel wa kubomoa nyumba ya familia ya mvulana Mpalestina mwenye umri wa miaka 13 ambaye amekuwa kizuizini kwa muda wa miezi sita iliyopita kwa "mashtaka yasiyo ya haki" kwa kitendo ambacho hakukifanya.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS