-
Mexico yaupandishia hadhi ubalozi wa Palestina nchini humo
Jun 04, 2023 07:55Mexico imechukua hatua ya kuimarisha uhusiano wake wa kidiplomasia na Palestina, na sasa ofisi ya mahusiano ya Palestina katika nchi hiyo ya Amerika ya Latini imepandishwa ngazi na kuwa ubalozi kamili.
-
Al-Qaddumi: Kadhia ya Palestina ni kipaumbele cha sera za nje za Iran
Jun 03, 2023 02:47Mwakilishi wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) nchini Iran amesema kuwa, kwa miaka mingi sasa baada ya kupata ushindi Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran, kadhia ya Palestina imeendelea kuwa kipaumbele cha sera za nje za Jamhuri ya Kiislamu.
-
Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Palestina yaonya upanuzi wa vitongoji vya walowezi Nablos
May 31, 2023 03:17Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya mamlaka ya ndani ya Palestina imeonya kuhusiana na upanuzi wa vitongojii vya walowezi wa Kizayuni huko Nablos, Palestina inayokaliwa kwa mabavu.
-
Jebeli: Kuweza Muqawama wa Palestina kuushurutisha utawala wa Kizayuni ni ushindi mkubwa
May 30, 2023 03:10Mkuu wa Shirika la Utangazaji la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran (IRIB) ameyapongeza makundi ya muqawama ya Palestina kwa ushindi wao mkubwa katika mapigano ya hivi karibuni na utawala haramu wa Kizayuni wa Israe ambayo yalimalizika tu baada ya Israel kukubali masharti yao.
-
Sisitizo kuhusu utambulisho wa ubaguzi wa rangi wa utawala wa Kizayuni wa Israel
May 29, 2023 07:46Mjukuu wa Nelson Mandela, marehemu kiongozi wa mapambano dhidi ya ubaguzi wa rangi nchini Afrika Kusini, ameashiria jinai za utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Wapalestina katika ardhi zao zilizoghusubiwa na kusema: “Wapalestina wanahitaji kuungwa mkono kivitendo kwa ajili ya kupata uhuru.”
-
China yaitaka Israel iache chokochoko, uporaji wa ardhi za Wapalestina
May 25, 2023 23:50China imeutaka utawala haramu wa Israel ukomeshe mara moja tabia yake ya uchokozi, kuchochea taharuki na kupora ardhi na rasilimali za Wapalestina hasa katika eneo la Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan.
-
OIC yalaani kuuawa shahidi Wapalestina 3 Nablus
May 22, 2023 23:49Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC) imelaani kitendo cha wanajeshi makatili wa Israel cha kuwaua shahidi Wapalestina watatu katika mji wa Nablus, kaskazini mwa eneo la Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan linalokaliwa kwa mabavu na Wazayuni.
-
Afisa wa zamani wa Kizayuni akiri utawala huo ulimuua mwandishi wa habari wa Palestina, Shireen Abu Akleh
May 20, 2023 03:22Televisheni ya Al Jazeera ya Qatar imetangaza katika ripoti yake kwamba afisa mmoja wa ngazi ya juu katika ofisi ya waziri wa zamani wa ulinzi wa utawala wa Kizayuni wa Israel amekiri kwa serikali ya Marekani kwamba Israel ilihusika na mauaji ya mwandishi wa habari wa Kipalestina "Shireen Abu Akleh" aliyepigwa risasi na wanajeshi wa utawala huo ghasibu.
-
Kongamano la kimataifa la Palestina lafanyika Rome Italia
May 17, 2023 02:57Kongamano la kimataifa la Palestina katika sheria za kimataifa limefanyika katika ubalozi wa Palestina mjini Rome mji mkuu wa Italia.
-
Vita vya siku tano Gaza vimedhihirisha nguvu na uwezo wa Muqawama wa Palestina
May 14, 2023 08:25Mashambulizi ya anga ya utawala haramu wa Kizayuni katika Ukanda wa Gaza na majibu ya makundi ya Palestina kwa jinai za utawala huo ghasibu yamesajili kumbukumbu ya makabiliano mengine katika historia ya Muqawama wa Palestina.