-
Qassemi: Yaliyozungumzwa baina Mjumbe wa Iran na Rais wa Russia hayajatangazwa
Jul 16, 2018 13:24Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema: "Yaliyozungumzwa baina ya Mshauri wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu katika masuala ya kimataifa na Rais Vladimir Putin wa Russia hayjatangazwa."
-
Kupuuza Mogherini na Putin mchezo wa kitoto wa Benjamin Netanyahu
May 01, 2018 12:07Ikulu ya Russia Kremlin imetangaza kuwa, Rais Vladimir Putin wa nchi hiyo amefanya mazungumzo kwa njia ya simu na Benjamin Netanyahuu, Waziri Mkuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel kuhusiana na makubaliano ya nyuklia ya JCPOA.
-
Putin: Lengo la mashambulizi ya Magharibi lilikuwa kuwasaidia magaidi
Apr 25, 2018 14:02Rais wa Russia amelitaja shambulio la makombora la nchi za Magharibi huko Syria kuwa lilitekelezwa ili kuwasaidia magaidi.
-
Putin apata ushindi wa kishindo katika uchaguzi wa rais Russia
Mar 19, 2018 04:22Vladimir Putin amechaguliwa tena kuingoza Russia baada ya kupata ushindi wa kishindo katika uchaguzi uliofanyika jana.
-
Rais Putin: Kiongozi wa Korea Kaskazini ni mtu mwenye uwezo mkubwa wa akili
Jan 12, 2018 04:37Rais Vladmir Putin wa Russia amesema kuwa, Kim Jong-un Kiongozi wa Korea Kaskazini, ni mtu mwenye uwezo mkubwa wa akili na aliyepikika.
-
The Guardian: 2017 ulikuwa mwaka wa kuenea zaidi udikteta na kudhoofika Marekani
Dec 27, 2017 02:42Gazeti la Guardian linalochapishwa nchini Uingereza limeandika kuwa mwaka huu wa 2017 ulikuwa mwaka wa kuenea udikteta na uchoyo na kudhoofika zaidi uongozi wa Marekani.
-
Putin na Erdogan: Hatua ya Trump ina madhara kwa amani ya Mashariki ya Kati
Dec 08, 2017 03:08Marais wa Russia na Uturuki wamefanya mazungumzo kwa njia ya simu na kuitaja hatua ya Rais Donald Trump wa Marekani ya kuutambua rasmi mji mtakatifu wa Baitul Muqaddas kuwa mji mkuu wa utawala wa Kizayuni kuwa ni hatari na kwa madhara ya amani ya Mashariki ya Kati.
-
Rais wa Russia akutana na Rais wa Syria na kumpongeza kufuatia mafanikio dhidi ya magaidi
Nov 21, 2017 08:08Rais Vladimir Putin wa Russia amempongeza Rais Bashar al-Assad wa Syria kufuatia ushindi mkubwa wa jeshi la Syria dhidi ya magaidi.
-
Rais Putin: Machafuko eneo la Mashariki ya Kati yanasababishwa na kupenda kujitanua kwa baadhi ya pande.
Oct 20, 2017 04:50Rais Vladmir Putin wa Russia amesema kuwa, hali ya sasa ya eneo la Mashariki ya Kati imekuwa mbaya kutokana na njama za baadhi ya madola katika kulisukuma eneo hilo kuelekea kwenye maslahi yao binafsi.
-
Putin na Salman wakutana kwa mazungumzo ya faragha mjini Moscow
Oct 06, 2017 08:19Mfalme Salman bin Abduaziz wa Saudi Arabia jana alikutana na Rais Vladimir Putin wa Russia katika ikulu ya Kremlin mjini Moscow.