-
Russia yatahadharisha kuhusu kuongezeka mivutano kati ya Magharibi na Korea ya Kaskazini
Oct 05, 2017 04:16Rais Vladimir Putin wa Russia ametahadharisha kuhusu kuongezeka mivutano kati ya Magharibi na Korea Kaskazini.
-
Putin: Vikwazo vipya dhidi ya Korea Kaskazini havitakuwa na taathira yoyote
Sep 05, 2017 14:15Rais wa Russia Vladimir Putin ametahadharisha kuhusu kuibuka mgogoro mkubwa wa kimataifa iwapo kadhia ya Peninsula ya Korea haitasuluhishwa kwa njia ya kidiplomasia.
-
Putin: Kuishinikiza Korea ya Kaskazini hakutakuwa na taathira
Sep 01, 2017 08:06Rais Vladimir Putin wa Russia ameishauri Marekani na waitifaki wake barani Asia kutochukua hatua za kuishinikiza Korea ya Kaskazini na ametoa wito wa mazungumzo ili kuhitimisha mvutano kuhusu miradi ya silaha za nyuklia za nchi hiyo.
-
Putin: Hakuna atakayepona katika vita vya nyuklia vya Marekani na Russia
Jun 07, 2017 07:16Rais Vladimir Putin wa Russia ametahadharisha kuwa, iwapo Marekani itaamua kuingia katika vita vya nyuklia na nchi yake, hakuna upande utakaopona 'kusherehekea' ushindi.
-
Putin akariri umuhimu wa Iran katika kuupatia ufumbuzi mgogoro wa Syria
Jun 01, 2017 03:19Kwa mara nyingine tena Rais Vladimir Putin wa Russia amesisitiza juu ya umuhimu na nafasi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika kuupatia ufumbuzi mgogoro wa Syria.
-
Putin: Rais Donald Trump wa Marekani hakumpa Lavrov taarifa zozote za siri
May 18, 2017 04:27Rais Vladmir Putin wa Russia amesema kuwa, Rais Donald Trump wa Marekani hakumpa taarifa zozote za siri Waziri wa Mambo ya Nje wa nchi yake, Sargey Lavrov.
-
Putin: Uhusiano na Palestina ni muhimu kwa Russia
May 12, 2017 03:11Rais Vladimir Putin wa Russia ameonana na Mahmoud Abbas, Rais wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina na kusema kuwa, nchi yake inalipa umuhimu suala la kuimarisha uhusiano wake na Palestina.
-
Putin asisitiza udharura wa kuwepo msimamo mmoja katika kupambana na ugaidi
Apr 28, 2017 02:28Rais Vladmi Putin wa Russia amesema katika ujumbe uliosomwa kwenye Mkutano wa Sita wa Usalama wa Kimataifa mjini Moscow kwamba, mapambano dhidi ya ugaidi katika eneo la Mashariki ya Kati na kaskazini mwa Afrika yanahitaji kuwa na mtazamo na msimamo mmoja na unaooana.
-
Rouhani na Putin walaani vikali mashambulizi ya Marekani dhidi ya Syria
Apr 10, 2017 03:59Rais Hassan Rouhani wa Iran na mwenzake wa Russia Vladimir Putin wamelaani vikali hatua ya Marekani ya kukishambulia kituo cha kijeshi cha Syria kwa makombora na kusema kuwa kitendo hicho kilifanyika ili kuyapa motisha na kuyaunga mkono magenge ya kigaidi katika nchi hiyo ya Kiarabu.
-
Rais Rouhani: Kutokomeza ugaidi kunahitaji juhudi za jamii ya kimataifa
Apr 04, 2017 16:16Rais Hassan Rouhani amelaani shambulio la kigaidi la mripuko wa bomu uliotokea kwenye treni ya chini ya ardhi katika mji wa St. Petersburg nchini Russia na kusisitiza kuwa kuutokomeza ugaidi kunahitaji juhudi za jamii ya kimataifa.