-
Putin: Vikwazo vya Marekani na Ulaya dhidi ya Russia, vitawadhuru wenyewe
Mar 31, 2017 04:20Rais Vladmir Putin wa Russia amesema kuwa, vikwazo vya Marekani na madola ya Magharibi dhidi ya nchi yake, vitakuwa na madhara kwa mataifa hayo yenyewe.
-
Marais wa Iran na Russia wasisitiza kustawishwa uhusiano wa nchi mbili
Mar 28, 2017 16:41Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema katika mazungumzo na mwenzake wa Russia kuwa lengo la Iran na Russia ni kuimarisha amani na utulivu katika eneo.
-
Rais wa Russia atuma salamu za rambirambi kwa kifo cha Ayatullah Rafsanjani
Jan 10, 2017 16:42Rais Vladimir Putin wa Russia ametuma salamu za rambirambi na mkono wa pole kufuatia kifo cha Ayatullah Hashemi Rafsanjani, Mkuu wa Halmashauri ya Kuainisha Maslahi ya Mfumo wa Iran.
-
Le Monde: Putin Shakhsia mashuhuri wa mwaka 2016
Jan 01, 2017 03:00Gazeti la Ufaransa la Le Monde limemtangaza Rais Vladimir Putin wa Russia kuwa ndiye shakhsia na mtu mashuhuri zaidi katika mwaka huu wa 2016.
-
Trump amshukuru Putin kwa kutowafukuza wanadiplomasia wa Marekani
Dec 31, 2016 07:02Donald Trump, Rais mteule wa Marekani jana Ijumaa kupitia ujumbe wa Twitter alimshukuru Rais Vladimir Putin wa Russia kwa kutolipiza kisasi kitendo cha kufukuzwa wanadiplomasia wa nchini hiyo huko Marekani ambacho kilichukuliwa na serikali ya Washington siku ya Alkhamisi, na kusema kuwa daima amekuwa akimtambua Putin kuwa ni kiongozi anayetumia busara.
-
Trump asisitiza udharura wa kuimarishwa uwezo wa silaha za nyuklia wa Marekani
Dec 24, 2016 07:29Rais mteule wa Marekani, Donald Trump Alkhamisi ya jana alitangaza kuwa, nchi hiyo inapaswa kuimarisha zaidi uwezo wake wa silaha za nyuklia maadamu ulimwengu haujapata mwelekeo wa kimantiki kuhusu silaha za atomiki.
-
Rais wa Russia awataka walimwengu wapambane kwa dhati na ugaidi
Dec 21, 2016 07:02Rais Vadimir Putin wa Russia ametoa wito wa kuweko vita vya kweli vya kupambana na ugaidi wa kimataifa.
-
Rais Rouhani asisitiza kuimarishwa ushirikiano wa Iran na Russia katika kuwasaidia wananchi wa Syria
Dec 20, 2016 04:13Marais wa Iran na Russia wamesisitizia udharura wa kuwasaidia wananchi wa Syria.
-
Putin: Kadhia ya Hijab mashuleni itatuliwe kisheria nchini Russia
Dec 09, 2016 07:50Rais Vladimir Putin wa Raussia amesema kuwa, masuala yote yanayohusiana na vazi la staha ya wanafunzi wa kike Waislamu yaani Hijab katika shule za nchi hiyo, inabidi yatatuliwe kwa njia za kisheria.
-
Tahadhari ya Putin kwa Magharibi kuhusu kutumia ugaidi kama wenzo wa kutimizia malengo yake
Nov 29, 2016 03:00Rais Vladimir Putin wa Russia amekosoa sera za nchi za Magharibi za kuyatumia makundi ya kigaidi kama wenzo wa kufikia malengo yao na kusisitiza kuwa mchezo huo mchafu umesababisha matatizo mengi.