-
Trump amshukuru Putin kwa kutowafukuza wanadiplomasia wa Marekani
Dec 31, 2016 03:32Donald Trump, Rais mteule wa Marekani jana Ijumaa kupitia ujumbe wa Twitter alimshukuru Rais Vladimir Putin wa Russia kwa kutolipiza kisasi kitendo cha kufukuzwa wanadiplomasia wa nchini hiyo huko Marekani ambacho kilichukuliwa na serikali ya Washington siku ya Alkhamisi, na kusema kuwa daima amekuwa akimtambua Putin kuwa ni kiongozi anayetumia busara.
-
Trump asisitiza udharura wa kuimarishwa uwezo wa silaha za nyuklia wa Marekani
Dec 24, 2016 03:59Rais mteule wa Marekani, Donald Trump Alkhamisi ya jana alitangaza kuwa, nchi hiyo inapaswa kuimarisha zaidi uwezo wake wa silaha za nyuklia maadamu ulimwengu haujapata mwelekeo wa kimantiki kuhusu silaha za atomiki.
-
Rais wa Russia awataka walimwengu wapambane kwa dhati na ugaidi
Dec 21, 2016 03:32Rais Vadimir Putin wa Russia ametoa wito wa kuweko vita vya kweli vya kupambana na ugaidi wa kimataifa.
-
Rais Rouhani asisitiza kuimarishwa ushirikiano wa Iran na Russia katika kuwasaidia wananchi wa Syria
Dec 20, 2016 00:43Marais wa Iran na Russia wamesisitizia udharura wa kuwasaidia wananchi wa Syria.
-
Putin: Kadhia ya Hijab mashuleni itatuliwe kisheria nchini Russia
Dec 09, 2016 04:20Rais Vladimir Putin wa Raussia amesema kuwa, masuala yote yanayohusiana na vazi la staha ya wanafunzi wa kike Waislamu yaani Hijab katika shule za nchi hiyo, inabidi yatatuliwe kwa njia za kisheria.
-
Tahadhari ya Putin kwa Magharibi kuhusu kutumia ugaidi kama wenzo wa kutimizia malengo yake
Nov 28, 2016 23:30Rais Vladimir Putin wa Russia amekosoa sera za nchi za Magharibi za kuyatumia makundi ya kigaidi kama wenzo wa kufikia malengo yao na kusisitiza kuwa mchezo huo mchafu umesababisha matatizo mengi.
-
Putin amuunga mkono Trump kuhusiana na ustawi wa biashara
Nov 21, 2016 03:49Rais Vladimir Putin wa Russia amesisitiza kuwa Donald Trump, rais mteule wa Marekani hatavuruga masuala yanayohusiana na ustawishaji wa biashara katika eneo la Bahari ya Pacific.
-
Kremlin: Mtazamo wa Trump katika siasa za nje unafanana na wa Putin
Nov 11, 2016 04:36Msemaji wa Ikulu ya Russia, Kremlin amesema mtazamo wa Rais wa Russia na Rais mteule wa Marekani katika sera za nje unafanana.
-
Putin ataka kuundwa nchi huru ya Palestina
Jul 25, 2016 09:53Rais Vladimir Putin wa Russia amesisitiza udharura wa kuundwa nchi huru ya Palestina mji mkuu wake ukiwa Quds tukufu.
-
Erdogan apiga magoti na kumuomba radhi Putin
Jun 27, 2016 11:38Rais wa Uturuki amemwandikia barua mwenzake wa Russia, Vladimir Putin akimuomba radhi kutokana na kuangushwa ndege ya nchi hiyo katika mpaka wa Uturuki na Syria.