-
Trump, Quds inayokaliwa kwa mabavu na sheria za kimataifa
Dec 09, 2017 03:32Tukiachilia mbali kujadili ni matokeo gani hasi na mabaya utakuwa nayo uamuzi aliochukua Donald Trump kuitangaza Baitul Muqaddas inayokaliwa kwa mabavu kuwa mji mkuu wa utawala wa Kizayuni, kuuhakiki uamuzi huo katika mtazamo wa sheria za kimataifa kuna umuhimu mkubwa.
-
Viongozi wa Kiislamu Kenya walaani hatua ya Trump dhidi ya Quds
Dec 08, 2017 23:24Viongozi wa Kiislamu nchini Kenya wamelaani uamuzi wa Rais Donald Trump wa Marekani wa kuutangaza mji wa Baitul Muqaddas wa Palestina kuwa mji mkuu wa utawala pandikizi wa Israel.
-
Mahojiano ya Salum Bendera na Sheikh Ali Ammar Mwazoa kuhusu uamuzi wa Trump kuhusiana na Quds + SAUTI
Dec 08, 2017 13:45Waislamu na wapenda haki kote ulimwenguni, jumuiya na asasi za kimataifa zimeendelea kupaza sauti kulalamikia na kuulaani uamuzi wa Rais wa Marekani Donald Trump wa kuitangaza Beitul-Muqaddas kuwa mji mkuu wa utawala ghasibu wa Israe.
-
Wairani waandamana kulaani uamuzi wa Rais Trump kuhusu Baitul Muqaddas
Dec 08, 2017 11:29Maelfu ya wananchi wa Iran wameandamana leo baada ya Swala ya Ijumaa katika miji mbalimbali hapa nchini wakilalamikia na kulaani uamuzi wa Rais Donald Trump wa Marekani wa kuutambua mji wa Baitul Muqaddas wa Palestina kama mji mkuu wa utawala vamizi wa Israel.
-
SEPAH: Hatua ya Trump ni fitina kubwa dhidi ya Umma wa Kiislamu
Dec 08, 2017 04:28Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (SEPAH) limelaani hatua ya Rais wa Marekani ya kuutambua rasmi mji wa Quds kuwa mji mkuu wa utawala wa kijahili wa Israel na kuitaja hatua hiyo kuwa fitina kubwa kwa Umma wa Kiislamu.
-
Tanzania yapinga hatua ya Marekani kutambua Quds kama mji mkuu wa Israel
Dec 08, 2017 04:24Tanzania imetangaza rasmi kupinga uamuzi wa Rais Donald Trump wa Marekani kutambua mji wa Quds (Jerusalem) kuwa mji mkuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Matokeo ya uamuzi wa Trump kuhusu Quds kwa usalama wa Mashariki ya Kati
Dec 08, 2017 04:16Uamuzi wa Rais Donald Trump wa Marekani wa kutambua rasmi Quds Tukufu kuwa mji mkuu wa utawala haramu wa Israel na wakati huohuo kuamuru kuhamishiwa huko ubalozi wa Marekani kutoka mjini Tel Aviv bila shaka utakuwa na matokeo muhimu kwa eneo zima la Mashariki ya Kati.
-
Radiamali ya Umoja wa Ulaya kuhusu hatua ya Trump dhidi ya Quds Tukufu
Dec 08, 2017 01:18Federica Mogherini, Mkuu wa Sera za Kigeni wa Umoja wa Ulaya amelaani hatua ya Rais Donald Trump wa Marekani ya kutambua rasmi mji wa Beitul Muqaddas kuwa mji mkuu wa utawala haramu wa Israel na kuongeza kuwa hatua hiyo ya upande mmoja bila shaka itavuruga utulivu wa ulimwengu na juhudi zote zilizofanywa kwa ajili ya kutatua mzozo wa Palestina.
-
Mahojiano ya Salum Bendera na Ustadh Muhammad Qassim kuhusu uamuzi wa Trump kuhusiana na Quds + SAUTI
Dec 07, 2017 13:21Uamuzi wa rais wa Marekani wa kuutangaza mji mtakatifu wa Quds wenye Kibla cha Kwanza cha Waislamu kuwa eti ni mji mkuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel umeendelea kulaaniwa na hata waitifaki wa karibu wa Marekani katika kila kona ya dunia.
-
Taarifa ya OIC ya kulaani uamuzi wa Marekani kuhusu Baytul Muqaddas
Dec 07, 2017 11:38Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu OIC imeonyesha kusikitishwa kwake na uamuzi wa Rais Donald Trump wa Marekani wa kuutangaza mji mtakatifu wa Quds wenye Kibla cha Kwanza cha Waislamu kuwa eti ni mji mkuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel.