-
Askari wa Israel wavamia Msikiti wa al Aqsa, wawazuia Waislamu kuswali Ijumaa
Jan 24, 2020 17:00Askari wa utawala wa Kizayuni wa Israel wamevamia Msikiti mtukufu wa al Aqsa na kuwajeruhji Wapalestina wengi katika viwanja vya msikiti huo wakiwazuia kutekeleza ibada ya Swala ya Ijumaa.
-
Iran yakiongezea Kikosi cha Quds cha IRGC Yuro milioni 200
Jan 07, 2020 08:03Spika wa Majilisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) ametangaza kuwa, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ameidhinisha kukiongeza Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) Yuro milioni 200.
-
Utawala wa Israel ulimpa sumu Askofu Mkuu wa Kanisa la Othodoxi Quds (Jerusalem)
Dec 24, 2019 13:07Askofu Mkuu wa Diosisi ya Sebastia ya Kanisa la Kiothodoxi la Quds (Jerusalem) Atallah Hanna ambaye amelazwa hospitalini kutokana na kuvuta pumzi ya mada hatari za kemikali amesema, utawala wa Kizayuni wa Israel ulihusika katika kumpa sumu.
-
Arab League yailaani Brazil kwa kufungua ofisi ya kibiashara Quds tukufu
Dec 20, 2019 11:42Jumuiya ya Nchi za Kiarabu imeikosoa vikali Brazil kwa kufungua ofisi ya kibiashara katika mji wa Quds huko Palestina inayokaliwa kwa mabavu na utawala haramu wa Israel.
-
Askofu Mkuu wa Kanisa la Othodoksi la Quds amuunga mkono Sayyid Hassan Nasrullah
Dec 09, 2019 12:23Askofu Mkuu wa Kanisa la Othodoksi katika mji mtukufu wa Baitul Muqaddas (Jerusalem) Atallah Hanna, ameiunga harakati ya muqawama ya Hizbullah ya Lebanon sambamba na kulaani matamshi yaliyotolewa na Askofu wa Kanisa la Othodoksi katika mji mkuu wa nchi hiyo Beirut, ya kuitusi harakati hiyo na Katibu Mkuu wake Sayyid Hassan Nasrullah.
-
Hania: Wananchi wa Palestina hawataruhusu kutekelezwa mipango ya adui huko Quds
Oct 20, 2019 11:49Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) amesema kuwa mipango ya adui Mzayuni ya kuugawa msikiti wa al Aqsa itagonga mwamba na kusisitiza kuwa wananchi wa Palestina hawataruhusu kutekelezwa mipango ya adui na kubadilishwa athari na nembo za mji wa Quds.
-
Wazayuni wazidi kuwanyanyasa Wapalestina, wamtia mbaroni mkuu wa mkoa
Oct 15, 2019 04:05Wanajeshi wa utawala wa Kizayuni wa Israel wameendeleza unyanyasaji wao dhidi ya Wapalestina kwa kumtia mbaroni mkuu wa mkoa wa Quds na viongozi wengine wa harakati ya Fat'h katika Ukingo wa Magharibi wa Mto wa Mto Jordan.
-
Polisi ya Israel yamtia mbaroni Waziri wa Masuala ya Quds wa Palestina
Sep 26, 2019 04:14Askari polisi wa utawala wa Kizayuni wa Israel wamemtia mbaroni Waziri wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina.
-
Makampuni ya Imarati yanunua ardhi za mji wa Quds kwa ajili ya Wazayuni
Aug 29, 2019 07:52Naibu Mwenyekiti wa Harakati ya Kiislamu ya Palestina amesema kuwa makampuni ya Umoja wa Falme za Kiarabu (Imarati) yananunua ardhi huko Quds na kisha kukabidhi umiliki wa ardhi hizo kwa Waisraeli.
-
OIC: Baitul Muqaddas (Jerusalem) ni mji mkuu wa Palestina
Aug 22, 2019 12:11Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC) imesisitiza kuwa: Baitul Muqaddas utabakia daima kuwa mji mkuu wa Palestina.