-
Mufti wa Quds aonya kuhusu uvamizi wa Wazayuni dhidi ya Msikiti wa al-Aqswa
Aug 06, 2019 12:24Sheikh Mohamed Ahmed Hossein Mufti Mkuu wa mji wa Quds huko Palestina inayokaliwa kwa mabavu ametahadharisha kuhusiana na hujuma na uvamizi wa Wazayuni dhidi ya msikiti wa al-Aqswa.
-
Ubomoaji nyumba za Wapalestina uliofanywa na Israel walaaniwa kila pembe ya dunia
Jul 23, 2019 07:37Jumuiya za kimataifa, harakati na asasi mbali mbali za kutetea haki za binadamu duniani zimelaani jinai iliyofanywa na utawala wa Kizayuni wa Israel ya kubomoa nyumba za Wapalestina kusini mwa Quds inayokaliwa kwa mabavu.
-
Wanajeshi wa utawala unaoikalia Quds kwa mabavu wamtia mbaroni waziri wa Palestina
Jun 30, 2019 12:59Wanajeshi wa utawala wa Kizayuni jana usiku walivamia nyumba ya waziri wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina na kumtia mbaroni.
-
Hamas: Trump hawezi kuwatenganisha Wapalestina na Quds Tukufu
Jun 20, 2019 10:59Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina, Hamas, imesema mpango wa Rais Donald Trump wa Marekani wa muamala wa karne hauwezi kuwapokonya Wapalestina mji wa Quds (Jeruusalem) ambao unakaliwa kwa mabavu na utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Romania yasema haina mpango wa kuuhamishia ubalozi wake Quds
Jun 15, 2019 08:04Katibu katika Wizara ya Mambo ya Nje ya Romania amesema nchi hiyo ya Ulaya haina mpango wowote wa kuuhamishia ubalozi wake mjini Quds huko Palestina inayokaliwa kwa mabavu, kutoka Tel Aviv.
-
Nasrallah: Vita dhidi ya Iran vitawasha moto eneo zima
Jun 01, 2019 04:02Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon ametahadharisha kuwa vita dhidi ya Iran havitaishia katika mipaka ya Jamhuri ya Kiislamu bali vitawasha moto katika eneo zima la Asia Magharibi (Mashariki ya Kati).
-
Jeshi katili la Israel lawaua shahidi Wapalestina katika Siku ya Quds
Jun 01, 2019 03:57Kwa akali Wapalestina wawili waliuawa shahidi na jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel jana Ijumaa, wakati dunia ikiadhimisha Siku ya Kimataifa ya Quds.
-
Wananchi wa Tanzania washiriki vikao na maandamano ya Siku ya Quds +SAUTI
May 31, 2019 14:50Mwenyekiti wa Kamati ya Kutetea Haki za Wapalestina nchini Tanzania Abdallah Othman, amemuomba Rais John Pombe Magufuli apaze sauti juu ya suala la kuwaunga mkono Wapelestina, ambao kwa muda mrefu wamekuwa wakidhulumiwa katika ardhi yao.
-
Baqeri: Maandamano ya Quds yatasambaratisha njozi za Marekani kuhusu Palestina
May 31, 2019 05:58Mkuu wa Vikosi vya Ulinzi vya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema maandamano makubwa yatakayoshuhudiwa leo Ijumaa katika Siku ya Kimataifa ya Quds yatasambaratisha njozi na ndoto za alinacha za Marekani dhidi ya taifa la Palestina.
-
Zarif: Quds haiuzwi
May 30, 2019 08:11Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza kuwa Quds haiuzwi na ni kibla cha kwanza cha Waislamu na kituo cha matarajio ya Waislamu wote.