Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Rais

  • Rais wa Ufilipino atishia kumkamata Mwendesha Mashtaka wa ICC

    Rais wa Ufilipino atishia kumkamata Mwendesha Mashtaka wa ICC

    Apr 14, 2018 02:39

    Rais wa Ufilipino amesema atamtia mbaroni Mwendesha Mashtaka Mkuu wa Mahakama ya Kimataifa ya Jinai ICC, iwapo atatia guu katika nchi hiyo kwa ajili ya kuchunguza tuhuma zinazomkabili rais huyo.

  • Rais wa Misri arefusha hali ya hatari kwa miezi mingine mitatu

    Rais wa Misri arefusha hali ya hatari kwa miezi mingine mitatu

    Apr 14, 2018 02:31

    Rais Abdul Fattah al-Sisi wa Misri ametangaza kurefusha muda wa hali ya hatari nchini humo kwa miezi mitatu mingine ambao ulianza kutekelezwa mwezi Aprili mwaka jana baada ya kujiri mashambulizi makubwa dhidi ya makanisa.

  • Rais Buhari wa Nigeria asema atagombea muhula wa pili mwakani

    Rais Buhari wa Nigeria asema atagombea muhula wa pili mwakani

    Apr 10, 2018 02:35

    Rais Muhammadu Buhari wa Nigeria ametangaza kuwa atagombea muhula wa pili katika uchaguzi wa rais nchini humo mwaka ujao 2019.

  • Utafiti: Wakongomani 8 kati ya 10 hawamuungi mkono Rais Kabila wa DRC

    Utafiti: Wakongomani 8 kati ya 10 hawamuungi mkono Rais Kabila wa DRC

    Mar 30, 2018 10:42

    Utafiti mpya wa maoni umeonyesha kuwa, kwa kila raia kumi wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, wanane hawamungi mkono Rais Joseph Kabila wa nchi hiyo.

  • Zimwi la Gaddafi lamuandama Sarkozy wa Ufaransa; azuiliwa

    Zimwi la Gaddafi lamuandama Sarkozy wa Ufaransa; azuiliwa

    Mar 20, 2018 12:26

    Rais wa zamani wa Ufaransa Nicolas Sarkozy, anazuiliwa na polisi ya mjini Paris, kwa ajili ya kusailiwa kuhusu tuhuma za kufadhiliwa na Libya katika uchaguzi wa mwaka 2007.

  • UN yaunga mkono kufanyika uchaguzi Julai nchini Zimbabwe

    UN yaunga mkono kufanyika uchaguzi Julai nchini Zimbabwe

    Mar 18, 2018 13:10

    Umoja wa Mataifa umesema kuwa unaunga mkono mpango wa kufanyika uchaguzi wa rais nchini Zimbabwe mwezi Julai mwaka huu.

  • Umashuhuri wa Rais na Waziri Mkuu wa Ufaransa wazidi kuporomoka

    Umashuhuri wa Rais na Waziri Mkuu wa Ufaransa wazidi kuporomoka

    Mar 18, 2018 04:37

    Matokeo ya uchunguzi mpya wa maoni uliofanywa Ufaransa yanaonyesha kupungua uungaji mkono wa wananchi kwa Rais na Waziri Mkuu wa nchi hiyo.

  • Rais Assad aahidi kuvunja njama za Wamagharibi dhidi ya Syria

    Rais Assad aahidi kuvunja njama za Wamagharibi dhidi ya Syria

    Mar 14, 2018 23:55

    Rais wa Syria, Bashar al-Assad ameahidi kupambana kikamilifu na njama za Wamagharibi zinazolenga kuvunja umoja wa wananchi wa nchi hiyo ya Kiarabu.

  • Rais Duterte asema Ufilipino imejiondoa ICC

    Rais Duterte asema Ufilipino imejiondoa ICC

    Mar 14, 2018 23:55

    Rais Rodrigo Duterte wa Ufulipino amesema nchi yake imejiondoa katika Mahakama ya Kimataifa ya Jinai ICC, wiki chache baada ya chombo hicho kuanzisha uchunguzi wa 'jinai dhidi ya binadamu' dhidi ya washukiwa wa ulanguzi wa mihadarati, zinazodaiwa kufanywa na serikali.

  • Rais wa Mauritius ajiuzulu kutokana na kashfa ya ufisadi

    Rais wa Mauritius ajiuzulu kutokana na kashfa ya ufisadi

    Mar 10, 2018 04:21

    Waziri Mkuu wa Mauritius, Pravind Jugnauth amesema kuwa rais wa nchi hiyo Ameenah Gurib-Fakim ameamua kujiuzulu kutokana na kashfa ya ufisadi inayomuandama.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS