-
Mugabe alidondokwa na machozi na kukubali shingo upande kuachia madaraka
Nov 26, 2017 10:07Gazeti la Standard linalochapishwa nchini Zimbabwe limefichua kuwa, aliyekuwa rais wa nchi hiyo ya kusini mwa Afrika, Robert Mugabe alionekana akilia huku akisema 'usaliti' wakati alipokubali kuachia madaraka kufuatia mashinikizo ya kila upande wiki iliyopita.
-
Mnangagwa aapishwa kuwa rais mpya wa Zimbabwe, aahidi kulijenga upya taifa
Nov 24, 2017 12:28Emmerson Mnangagwa, Makamu wa Rais wa Zimbabwe aliyefutwa kazi na Robert Mugabe wiki chache zilizopita ameapishwa hii leo kuwa rais mpya wa nchi hiyo ya kusini mwa Afrika, huku akiahidi kulijenga upya taifa hilo linalokabiliwa na mtikisiko mkubwa wa kiuchumi.
-
Mugabe apewa kinga ya kutoshtakiwa, adhaminiwa usalama wake ndani ya Zimbabwe
Nov 23, 2017 10:57Aliyekuwa rais wa Zimbabwe Robert Mugabe amepewa kinga ya kutoshtakiwa sambamba na kudhaminiwa usalama wake ndani ya ardhi ya nchi hiyo.
-
Mnangagwa arejea Zimbabwe, kuapishwa Ijumaa kumrithi Mugabe
Nov 22, 2017 13:02Makamu wa Rais wa Zimbabwe aliyepigwa kalamu nyekundu hivi karibuni na Rais Robert Mugabe aliyetangaza kujiuzulu hapo jana amerejea nchini akitokea Afrika Kusini.
-
Mugabe azidi kukabiliwa na mashinikizo ya kujiuzulu, Rais wa Botswana amkosoa, maandamano dhidi yake yafanyika Harare
Nov 18, 2017 04:12Rais Ian Khama wa Botswana amemtaka Rais mkongwe wa Zimbabwe Robert Mugabe aachie madaraka akisisitiza kuwa kiongozi huyo hana uungaji mkono wa kidiplomasia wa kieneo wa kumfanya abaki madarakani.
-
Taharuki Zimbabwe, Mugabe ang'ang'ania madaraka, AU na UN zatoa kauli
Nov 16, 2017 12:40Rais Robert Mugabe wa Zimbabwe ambaye yuko katika ncha ya kuuzuliwa amekataa kuachia madaraka akisisitiza kuwa yeye ndiye kiongozi halali wa nchi hiyo.
-
Mapinduzi ya Zimbabwe; maji yamfika shingoni Mugabe, ajiandaa kujiuzulu
Nov 15, 2017 04:49Rais Robert Mugabe wa Zimbabwe anajiandaa kuondoka madarakani saa chache baada ya jeshi la nchi hiyo kutwaa madaraka kwa njia isiyo ya umwagaji damu.
-
Rouhani: Maadui wanataka kuzusha mgogoro mpya Mashariki ya Kati
Nov 11, 2017 12:23Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, baada ya njama zao kushindwa sasa maadui wanapanga mikakati ya kuzusha njama mpya katika eneo la Mashariki ya Kati.
-
MDC: Kuuita uwanja wa ndege wa kimataifa "Mugabe" ni tusi kwa Wazimbabwe
Nov 10, 2017 23:42Chama kikuu cha upinzani nchini Zimbabwe cha MDC kimekosoa vikali hatua ya kubadilisha jina la Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Harare na kuuita Robert Gabriel Mugabe, jina la rais wa nchi hiyo.
-
Makamu wa Rais wa Zimbabwe aliyeuzuliwa akimbia nchi
Nov 09, 2017 04:28Makamu wa Rais wa Zimbabwe aliyefutwa kazi na kutimuliwa ndani ya chama tawala Zanu-PF hivi karibuni amekimbilia uhamishoni akidai kuwa maisha yake yamo hatarini.