Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Rais

  • Mmarekani aliyemtukana Rais Mugabe wa Zimbabwe aswekwa jela

    Mmarekani aliyemtukana Rais Mugabe wa Zimbabwe aswekwa jela

    Nov 03, 2017 10:54

    Polisi nchini Zimbabwe imemtia mbaroni raia wa Marekani kwa tuhuma za kumtusi Rais Robert Mugabe wa nchi hiyo.

  • Rais Rouhani: Iran ina hamu ya kuongeza kiwango cha uhusiano na ushirikiano wake na Tanzania + Picha

    Rais Rouhani: Iran ina hamu ya kuongeza kiwango cha uhusiano na ushirikiano wake na Tanzania + Picha

    Oct 28, 2017 08:19

    Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, Tanzania ni lango muhimu la kuingilia eneo la mashariki mwa Afrika na kwa kuzingatia kuwa Iran ina nafasi na uwezo mkubwa katika sekta mbalimbali na jambo hilo linaufanya wajibu wa kuimarishwa uhusiano wa nchi mbili kuwa na umuhimu wa kieneo.

  • Rais wa zamani wa Marekani akosolewa kwa kumdhalilisha kijinsia mwanamke

    Rais wa zamani wa Marekani akosolewa kwa kumdhalilisha kijinsia mwanamke

    Oct 26, 2017 04:50

    Rais wa zamani wa Marekani 'ameomba msamaha' baada ya kukosolewa vikali na duru mbali mbali kwa kumfanyia ukatili wa kijinsia na unyanyasaji wa kingono muigizaji wa filamu mwenye umri wa miaka 34.

  • Wakenya washiriki uchaguzi wa rais wa marudio uliosusiwa na upinzani

    Wakenya washiriki uchaguzi wa rais wa marudio uliosusiwa na upinzani

    Oct 26, 2017 04:41

    Wananchi wa Kenya waliotimiza masharti ya kupiga kura wameelekea katika masanduku ya kupigia kura kushiriki uchaguzi wa marudio wa urais, ambao umesusiwa na viongozi na wafuasi wa upinzani.

  • Odinga: Wafuasi wetu wasiandamane siku ya uchaguzi wa marudio

    Odinga: Wafuasi wetu wasiandamane siku ya uchaguzi wa marudio

    Oct 24, 2017 11:35

    Kinara wa muungano wa upinzani NASA nchini Kenya amewataka wafuasi wa mrengo huo kutofanya maandamano wakati wa uchaguzi wa marudio wa urais unaotazamiwa kufanyika Alkhamisi wiki hii.

  • Ghasia zashtadi Uganda, Besigye na Wabunge wa upinzani wakamatwa

    Ghasia zashtadi Uganda, Besigye na Wabunge wa upinzani wakamatwa

    Oct 20, 2017 04:00

    Mtu mmoja ameuawa huku wengine sita wakiachwa na majeraha ya risasi na kulazwa hospitalini katika wilaya ya Rukungiri, kufuatia ghasia zilizotokana na maandamano ya kupinga mpango wa kuondoa kikomo cha umri wa kugombea urais nchini Uganda.

  • NEC: Weah kuchuana na Boakai katika duru ya pili ya uchaguzi wa rais Liberia

    NEC: Weah kuchuana na Boakai katika duru ya pili ya uchaguzi wa rais Liberia

    Oct 16, 2017 04:29

    Tume ya Uchaguzi nchini Liberia NEC imetangaza kuwa mchezaji soka nyota wa zamani wa kimataifa Seneta George Weah na Makamu wa Rais Joseph Boakai watachuana katika duru ya pili ya uchaguzi rais utakaofanyika Novemba 7 mwaka huu.

  • Waliberia wasubiri kwa shauku kuu matokeo ya urais

    Waliberia wasubiri kwa shauku kuu matokeo ya urais

    Oct 12, 2017 10:43

    Tume ya Uchaguzi nchini Liberia imewataka wananchi kuvuta subiri na kutoeneza habari za urongo zinazohusiana na matokeo ya uchaguzi wa rais.

  • Rais wa Venezuela amkejeli Trump, asema amemfanya mashuhuri

    Rais wa Venezuela amkejeli Trump, asema amemfanya mashuhuri

    Oct 09, 2017 04:34

    Rais Nicolas Maduro wa Venezuela ametumia kinaya kumkejeli Donald Trump na kusema kuwa rais huyo wa Marekani amemfanya awe shakhsia maarufu duniani.

  • Iran yaomboleza kifo cha Jalal Talabani, rais wa zamani wa Iraq

    Iran yaomboleza kifo cha Jalal Talabani, rais wa zamani wa Iraq

    Oct 04, 2017 04:40

    Balozi wa Iran mjini Baghdad, Iraj Masjedi ametuma salamu za rambirambi kwa Rais wa Iraq, Fuad Masoum kufutia kifo cha rais wa zamani wa nchi hiyo ya Kiarabu, Jalal Talabani.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS