-
Rais wa Venezuela amkejeli Trump, asema amemfanya mashuhuri
Oct 09, 2017 04:34Rais Nicolas Maduro wa Venezuela ametumia kinaya kumkejeli Donald Trump na kusema kuwa rais huyo wa Marekani amemfanya awe shakhsia maarufu duniani.
-
Iran yaomboleza kifo cha Jalal Talabani, rais wa zamani wa Iraq
Oct 04, 2017 04:40Balozi wa Iran mjini Baghdad, Iraj Masjedi ametuma salamu za rambirambi kwa Rais wa Iraq, Fuad Masoum kufutia kifo cha rais wa zamani wa nchi hiyo ya Kiarabu, Jalal Talabani.
-
Waafrika Kusini waandamana kulaani ufisadi chini ya Rais Zuma
Sep 27, 2017 10:43Maelfu ya wananchi wa Afrika Kusini wamefanya maandamano katika mji wa Cape Town kudhihirisha ghadhabu zao kutokana na kashfa mbalimbali za ufisadi, ukosefu wa ajira na kuzorota uchumi chini ya utawala wa Rais Jacob Zuma wa nchi hiyo.
-
Rais al-Assad: Mataifa ya Kiarabu yanaliunga mkono taifa la Syria
Sep 24, 2017 00:02Rais Bashar al-Assad wa Syria amesema kuwa, akthari ya mataifa ya Kiarabu yanaliunga mkono taifa la Syria, lakini tawala za Warabu zinawaunga mkono magaidi wanaopigana dhidi ya serikali ya Damascus.
-
Wabunge wa upinzani Uganda wadai kutishiwa maisha
Sep 20, 2017 23:18Wabunge wa vyama vya upinzani nchini Uganda wamesema serikali inawatishia maisha masaa machache kabla ya bunge la nchi hiyo kujadili muswada wa kuondoa kikomo cha umri wa kugombea urais nchini humo.
-
Museveni: Kikomo cha umri wa kuwania urais Uganda kitaamuliwa na Bunge
Sep 14, 2017 10:14Rais Yoweri Museveni wa Uganda amejitosa kwenye mjadala kuhusu kikomo cha umri wa kugombea urais nchini humo na kusisitiza kuwa, kauli ya mwisho kuhusu kadhia hiyo itatolewa na Bunge la nchi hiyo.
-
Upinzani Togo: Tutasitisha maandamano iwapo rais atajiuzulu
Sep 09, 2017 03:12Kiongozi wa upinzani nchini Togo amesema maandamano ya wapinzani dhidi ya serikali ya nchi hiyo yataendelea kushuhudiwa madhali Rais Faure Gnassingbe wa nchi hiyo ataendelea kung'ang'ania madaraka.
-
Rais Buhari wa Nigeria kutowania muhula wa pili mwaka 2019
Sep 07, 2017 09:36Waziri mmoja wa ngazi za juu nchini Nigeria amesema Rais Muhamadu Buhari wa nchi hiyo hatagombea muhula wa pili katika kinyang'anyiro cha urais kinachotazamiwa kufanyika mwaka 2019.
-
Rais wa Zambia apongeza kustawi kukubwa uchumi wa Iran
Aug 30, 2017 10:52Rais Edgar Lungu wa Zambia amepongeza ukuaji wa uchumi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran sanjari na kuwepo uhusiano mzuri wa pande mbili kati ya Tehran na Lusaka.
-
Rais Lungu asema ni lazima kupimwa HIV/UKIMWI nchini Zambia
Aug 16, 2017 23:41Rais Edgar Lungu wa Zambia amesema sasa ni lazima wananchi wa nchi hiyo ya kusini mwa Afrika kufanyiwa vipimo vya virusi vya HIV vinavyosababisha ugonjwa hatari wa Ukimwi, ikiwa ni katika jitihada za taifa hilo kulitokomeza jinamizi hilo kikamilifu kufikia mwaka 2030.