Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Rais

  • Wanigeria waandamana, wamtaka Buhari ajiuzulu

    Wanigeria waandamana, wamtaka Buhari ajiuzulu

    Aug 14, 2017 02:50

    Wananchi wa Nigeria wamefanya maandamano makubwa wakitaka Rais Muhammadu Buhari wa nchi hiyo aliyeko London nchini Uingereza arejee nyumbani na kujiuzulu.

  • Rais Zuma wa Afrika Kusini anusurika na shoka la Bunge kwa mara ya 7

    Rais Zuma wa Afrika Kusini anusurika na shoka la Bunge kwa mara ya 7

    Aug 09, 2017 02:34

    Kwa mara nyingine tena Rais Jacob Zuma wa Afrika Kusini amenusurika kuenguliwa madarakani baada ya kupataka uungaji mkono hafifu wa chama tawala ANC katika kura ya kutokuwa na imani naye Bungeni.

  • Upinzani Zimbabwe wajiweka sawa ili kumbwaga Mugabe 2018

    Upinzani Zimbabwe wajiweka sawa ili kumbwaga Mugabe 2018

    Aug 06, 2017 02:34

    Kinara wa upinzani nchini Zimbabwe, Morgan Tsvangirai ametangaza kuungana na wapambe wake wa zamani kwa shabaha ya kuunda muungano mmoja wenye nguvu ili waweze kumundoa madarakani Rais Robert Mugabe katika uchaguzi mkuu mwakani.

  • Rais Kagame ahifadhi kiti chake katika uchaguzi wa Rwanda

    Rais Kagame ahifadhi kiti chake katika uchaguzi wa Rwanda

    Aug 04, 2017 23:15

    Matokeo ya awali ya uchaguzi wa urais nchini Rwanda yameonyesha kuwa Rais Paul Kagame wa nchi hiyo amehifadhi kiti chake baada ya kupata ushindi wa kishindo katika uchaguzi huo uliofanyika jana Ijumaa.

  • Rais Bashar al-Assad: Uelewa wa mataifa ya Kiarabu ni sababu ya umoja

    Rais Bashar al-Assad: Uelewa wa mataifa ya Kiarabu ni sababu ya umoja

    Aug 01, 2017 08:35

    Rais Bashar al-Assad wa Syria amesema kuwa, raia wa mataifa ya Kiarabu wamethibitisha kuwa, wana kiwango cha hali ya juu cha uelewa kuhusu matukio yanayojiri katika eneo la Mashariki ya Kati na kwamba suala hilo linatakiwa liwe kivutio kwa ajili ya umoja wa mataifa yote.

  • Mke wa Rais wa Zimbabwe ataka Mugabe ataje mrithi wake

    Mke wa Rais wa Zimbabwe ataka Mugabe ataje mrithi wake

    Jul 27, 2017 11:06

    Mke wa Rais Robert Mugabe wa Zimbabwe amemtaka mumewe aanishe na kumtangaza mrithi wa kiti cha rais nchini humo.

  • Al-Assad: Wasyria wamewashinda magaidi kwa umoja na mshikamano

    Al-Assad: Wasyria wamewashinda magaidi kwa umoja na mshikamano

    Jul 04, 2017 23:36

    Rais Bashara al-Assad wa Syria amesema kuwa, Wasyria wameweza kuyashinda makundi ya kigaidi yanayowakufurisha Waislamu kwa umoja na mshikamano wao.

  • Rais wa Nigeria ajaribu kutuliza malumbano ya kikabila

    Rais wa Nigeria ajaribu kutuliza malumbano ya kikabila

    Jun 23, 2017 23:16

    Kaimu Rais wa Nigeria, Profesa Yemi Osinbajo amekutana na viongozi wa maeneo kadhaa kujaribu kuzima malumbano ya kikabila yanayotokota katika nchi hiyo.

  • Ufilipino: Hatujaomba msaada wa Marekani kukabiliana na magaidi

    Ufilipino: Hatujaomba msaada wa Marekani kukabiliana na magaidi

    Jun 11, 2017 22:57

    Rais Rodrigo Duterte wa Ufilipino amesema nchi yake haijaomba msaada wa Marekani kwa ajili ya kupambana na genge la kigaidi lililoua wanajeshi 13 wa nchi hiyo Ijumaa iliyopita, kusini mwa nchi.

  • Burundi yachukua hatua kudhibiti mmomonyoko wa maadili miongoni mwa vijana

    Burundi yachukua hatua kudhibiti mmomonyoko wa maadili miongoni mwa vijana

    May 26, 2017 22:17

    Serikali ya Burundi imewaagiza watu wote hususan vijana wanaoishi kinyumba kuhalalisha na kusajili ndoa zao kufikia mwishoni mwa mwaka huu.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS