-
Watu milioni 3 washiriki mazishi ya Rais Ebrahim Raisi mjini Mashhad
May 23, 2024 13:44Waombolezaji zaidi ya milioni tatu wameshiriki katika mazishi ya kumuaga na Rais Ebrahim Raisi wa Iran, aliyekufa shahidi katika ajali ya helikopta iliyotokea Jumapili iliyopita katika mkoa wa Azarbaijan Mashariki, kaskazini magharibi mwa Iran.
-
Majaji Wakuu wa Jumuiya ya Shanghai wamuenzi Shahidi Raisi
May 23, 2024 10:25Majaji Wakuu na Wenyeviti wa Mahakama za Juu wa nchi wanachama wa Jumuiya ya Ushirikiano ya Shanghai (SCO) wamenyamaza kimya kwa dakika moja kumuenzi Shahidi Ebrahim Raisi, Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na maafisa wenzake walioaga dunia katika ajali ya helikopta iliyotokea Jumapili iliyopita katika mkoa wa Azarbaijan Mashariki, kaskazini magharibi mwa Iran.
-
Viongozi wa dunia wasikitishwa na kifo cha Rais wa Iran
May 20, 2024 07:24Viongozi wa mataifa mbali mbali duniani wameendelea kutoa mkono wa pole kufuatia vifo vya Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, Sayyid Ebrahim Raisi pamoja na wenzake kadhaa katika ajali ya helikopta iliyotokea jana katika mkoa wa Azarbaijan Mashariki, kaskazini magharibi mwa Iran.
-
Imethibitishwa: Rais Ebrahim Raisi na wenzake wameaga dunia katika ajali ya helikopta
May 20, 2024 04:50Habari iliyotufikia hivi punde inasema kuwa, imethibitika kuwa Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, Sayyid Ebrahim Raisi ameaga dunia akiwa na wenzake kadhaa katika ajali ya helikopta iliyotokea jana katika mkoa wa Azarbaijan Kashariki, kaskazini magharibi mwa Iran.
-
"Mauaji ya watoto 15,000 wa Gaza yanaashiria mwisho wa Israel"
May 15, 2024 03:19Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema hakuna shaka kuwa mauaji ya watoto zaidi ya 15,000 wa Kipalestina katika Ukanda wa Gaza itakuwa chachu ya kuharakisha mchakato wa kuporomoka na kusambaratika utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Raisi: Iran kamwe haitaruhusu kutengwa wanawake katika jamii
May 09, 2024 02:33Rais wa Iran amesema Jamhuri ya Kiislamu katu haitakubali sera ambazo zitapelekea kutengwa wanawake katika jamii.
-
Kukatwa kikamilifu uhusiano wa Colombia na utawala wa Kizayuni; kuendelea kutengwa Tel Aviv kimataifa
May 03, 2024 02:43Rais Gustavo Petro wa Colombia alisema siku ya Jumatano tarehe Mosi Mei katika hotuba yake kwa mnasaba wa maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani (Mei Mosi) kuwa kuanzia Alhamisi amekata kikamilifu uhusiano wa nchi hiyo na utawala wa Kizayuni kwa sababu ya jinai na mauaji ya kimbari yanayofanywa na utawala huo huko Ukanda wa Gaza.
-
Rais wa Zambia: Tunahitaji karibu dola bilioni moja kwa ajili ya misaada ya kibinadamu
Apr 18, 2024 04:37Rais wa Zambia amesemam kuwa nchi yake inahitaji haraka Kwacha bilioni 23.5 sawa na dola milioni 937 ili kukidhi mahitaji ya haraka ya kuokoa maisha na kudhamini misaada ya kibinaamu kufuatia ukame mkubwa unaoikumba nchi hiyo.
-
Raisi: Madola ya kibeberu yanazusha fitna ili kuvuruga usalama kati ya Iran na Pakistan
Apr 12, 2024 11:18Rais Ebrahim Raisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema, kustawishwa uhusiano wa Iran na Pakistan hakufurahishi madola ya kibeberu na kwa hivyo yanazusha fitna ili kuleta mpasuko kati ya mataifa hayo mawili na nchi hizo mbili za Kiislamu.
-
Raisi: Tehran yaweka katika ajenda yake ya kazi ushirikiano na nchi zote za Kiislamu
Apr 05, 2024 07:52Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema katika dhifa ya (futari) Iftar na mabalozi wa nchi za Kiislamu wanaoishi Tehran kwamba suala la kushirikiana na nchi zote za Kiislamu lipo katika ajenda ya utendaji ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.