-
Pezeshkian: Kosa 'kubwa' la Israel la kumuua kigaidi Haniyah litajibiwa
Aug 04, 2024 23:54Rais Masoud Pezeshkian wa Iran amesema kitendo cha utawala wa Kizayuni wa Israel cha kumuua kigaidi Ismail Haniyah, Kiongozi wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) ni 'kosa kubwa' ambalo halitapita hivi hivi bila kupewa majibu.
-
Kiongozi Muadhamu amuidhinisha rasmi Dkt Pezeshkian kuwa Rais wa Iran
Jul 28, 2024 04:18Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amemuidhinisha rasmi Masoud Pezeshkian kuwa Rais mpya wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika hafla iliyohudhuriwa na maafisa wa kitaifa na kijeshi hapa Tehran.
-
Khatibu wa Sala ya Ijumaa Tehran: Rais mteule wa Iran ametokana na kura za wananchi
Jul 26, 2024 09:27Khatibu wa Sala ya Ijumaa ya leo mjini Tehran amesema, rais mteule wa Iran amechaguliwa kwa kura za wananchi.
-
Pezeshkian: Wanaoiwekea vikwazo Iran waliwapa maadui silaha za kemikali
Jul 22, 2024 07:58Rais mteule wa Iran ameyakosoa vikali madola ambayo yameiwekea vikwazo Jamhuri ya Kiislamu akisisitiza kuwa, mataifa hayo yana historia nyeusi kwa kupeana silaha zilizotumiwa dhidi ya taifa hili katika miaka ya 1980.
-
Kiongozi Muadhamu: Kufanikiwa Rais mpya wa Iran, ni mafanikio kwetu sote
Jul 21, 2024 07:33Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ameiasa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) idumishe maingiliano yenye kujenga na uongozi wa Rais mteule wa Jamhuri ya Kiislamu, Masoud Pezeshkian na kusema kuwa, mafanikio ya Rais mpya wa Iran ya Kiislamu ni mafanikio ya taifa hili zima.
-
Rais mpya wa Iran kuapishwa Julai 30
Jul 10, 2024 23:24Rais mteule wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, Masoud Pezeshkian anatazamiwa kula kiapo cha kulitumikia taifa Julai 30 mwaka huu.
-
Viongozi wa dunia wamtumia salamu za pongezi Rais mteule wa Iran
Jul 06, 2024 07:52Marais na viongozi wa nchi mbali mbali duniani wameendelea kutuma jumbe na salamu za pongezi wakimpongeza Rais mteule wa Iran, Massoud Pezeshkian kwa kuibuka na ushindi katika duru ya pili ya uchaguzi wa rais uliofanyika ndani na nje ya Iran jana Ijumaa.
-
Ghazouani aongoza katika matokeo ya awali ya uchaguzi wa Rais Mauritania
Jun 30, 2024 03:26Rais Mohamed Ould Cheikh Ghazouani wa Mauritania yupo kifua mbele huku ujumlishaji wa matokeo ya uchaguzi wa rais uliofanyika jana Jumamosi ukiendelea.
-
Qaani: Raisi, Abdollahian walithibitisha kuwa Iran inaweza kuikabili Marekani
Jun 27, 2024 23:52Kamanda wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) amesifu na kupongeza sifa za kipekee walizojipambanua nazo Shahidi Rais Sayyid Ebrahim Rais na aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Hossein Amir-Abdollahian, kwa kuiunga mkono kambi ya muqawama na kukabiliana na ubeberu wa Marekani.
-
Kiongozi Muadhamu: Ushiriki mkubwa katika uchaguzi ni fahari kwa Iran, kiwewe kwa maadui
Jun 25, 2024 10:04Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema ushiriki mkubwa zaidi katika uchaguzi wa rais wa kabla ya wakati unatazamiwa kufanyika Juni 28, utalipa fahari taifa la Iran na kuwaghadhabisha maadui wa Jamhuri ya Kiislamu.