-
Kujiandikisha Putin kwa ajili ya uchaguzi wa Russia 2024
Dec 20, 2023 02:37Msemaji wa Kremlin Dmitry Peskov amethibitisha hhatua ya kwenda Rais Vladimir Putin wa Russia katika Kamati Kuu ya Uchaguzi ya nchi hiyo na kujiandikisha kama mgombea kwa muhula ujao wa urais, ambao utafanyika katikati ya Machi 2024. Putin amewasilisha stakabadhi zinazohitajika ili kujiandikisha kuwa mgombea urais.
-
Sisitizo la Putin la kutoziami nchi za Magharibi
Dec 19, 2023 02:34Siku ya Jumapili, Rais Vladimir Putin wa Russia alikiri katika hotuba isiyokuwa ya kawaida kwamba ni makosa kuzidhania vizuri na kuzitegemea nchi za Magharibi na kufikiria kuwa Russia haina tofauti na nchi hizo. Alisema: Nilidhani kimakosa kuwa hakungekuwepo mzozo kati ya Russia na nchi za Magharibi na kwamba ulimwengu ulikuwa umebadilika.
-
Mahakama Senegal 'yaridhia' kiongozi wa upinzani agombee urais
Dec 15, 2023 10:32Mahakama Kuu mjini Dakar imeamuru kusajiliwa upya kwa Ousmane Sonko, kiongozi wa upinzani nchini Senegal katika daftari la wapigakura, na hivyo kumruhusu kuwa mgombea urais.
-
Kuidhinishwa kuanza rasmi uchunguzi wa kumsaili Biden katika Bunge la Wawakilishi la Marekani
Dec 15, 2023 02:56Bunge la wawakilishi la Marekani jana Jumatano lilipasisha azimio kwa kura 221 za ndio mkabala wa 212 za kupinga kuanzisha rasmi uchunguzi wa kumsaili Rais Joe Biden wa nchi hiyo. Kabla ya kura hiyo, Kelly Armstrong, Mwakilishi wa Kongresi ya Marekani kwa niaba ya wajumbe wa Baraza la Wawakilishi la Marekani, alichapisha rasimu ya azimio kwa ajili ya kuendelea uchunguzi huo tajwa kwa lengo la kumuuzulu Rais Joe Biden wa Marekani.
-
Raisi: Kimbunga cha al-Aqsa kimepanua mipaka ya muqawama
Dec 10, 2023 04:01Rais wa Iran amesema Operesheni ya Kimbunga cha al-Aqsa imepanua mipaka ya muqawama na kuufikisha katika kona zote za dunia.
-
Zelensky akosoa upuuzaji wa nchi za Magharibi kwa Ukraine
Dec 02, 2023 10:24Rais Volodymyr Zelenskyy wa Ukraine amezikosoa nchi za Magharibi chini ya uongozi wa Marekani kwa kuisahau Ukraine na kuipunguzia misaada nchi hiyo katika vita na Russia.
-
Rais wa Iran asusia mkutano wa COP28 Dubai kwa kushiriki Israel
Dec 01, 2023 06:47Rais Ebrahim Raisi wa Iran hatashiriki mkutano wa 28 wa nchi wanachama wa Mkataba wa Mabadiliko ya Tabianchi, COP28, mjini Dubai kutokana na uwepo wa Rais Isaac Herzog na maafisa wengine wa utawala wa Kizayuni wa Israel kwenye mkutano huo.
-
Raisi: Israel haijaambulia chochote katika vita vyake Gaza
Nov 23, 2023 07:35Rais Ebrahim Raisi wa Iran amesema Israel imefeli kufikia malengo yake yote katika hujuma na mashambulizi yake ya kinyama dhidi ya wananchi wa Palestina katika Ukanda wa Gaza.
-
Raisi: Damu za mashahidi wa Palestina zitaleta nidhamu ya dunia yenye uadilifu
Nov 19, 2023 14:36Rais Ebrahim Raisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema 'nidhamu mpya ya dunia yenye uadilifu' itaibuka kutokana na damu za wananchi wa Palestina zilizomwagwa na utawala wa Kizayuni wa Israel katika vita vyake vya mauaji ya kimbari katika Ukanda wa Gaza.
-
Kiongozi wa upinzani ashinda uchaguzi wa rais Liberia
Nov 18, 2023 05:40Kinara wa upinzani nchini Liberia, Joseph Boakai ameibuka mshindi kwenye duru ya pili ya uchaguzi wa rais, na kumbwaga Rais anayeondoka, George Weah aliyekuwa anagombea muhula wa pili.