-
Kiir awaachia huru majenerali wa jeshi na wafungwa wa kisiasa
Mar 11, 2017 03:17Rais wa Sudan Kusini, Salva Kiir amewaachia huru makamanda waandamizi wa jeshi la nchi hiyo na kuahidi kuwaachia huru wafungwa wa kisiasa katika siku zijazo.
-
Rais Rouhani: Chaguzi nchini Iran hufanyika kwa uhuru, salama, ushindani na demokrasia
Mar 07, 2017 12:10Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, chaguzi nchini Iran hufanyika katika mazingira huru, salama, ya ushindani na kidemokrasia.
-
Mkuu wa shirika la mafuta ateuliwa kuwa Waziri Mkuu mpya wa Somalia
Feb 23, 2017 10:11Rais mpya wa Somalia, Mohamed Abdullahi Mohamed Farmaajo aliyeapishwa jana mjini Mogadishu amemteua mkurugenzi wa shirika moja la mafuta kuwa Waziri Mkuu mpya wa nchi hiyo.
-
Rais wa zamani wa Burkina Faso kupandishwa kizimbani mwezi ujao
Feb 16, 2017 04:23Rais wa zamani wa Burkina Faso anatazamiwa kupandishwa kizimbani mwezi ujao wa Machi, kwa kosa la kutumia mkono wa chuma kuzima maandamano dhidi ya serikali yake mwaka 2014.
-
Salva Kiir asema atagombea urais Sudan Kusini mwakani
Feb 08, 2017 00:04Rais Salva Kiir wa Sudan Kusini ametangaza kuwa atawania kiti cha rais kwa muhula mwengine katika uchaguzi mkuu unaotazamiwa kufanyika mwakani.
-
Mahakama Zambia kuamua iwapo Rais Lungu atagombea tena urais au la
Feb 05, 2017 23:12Mahakama ya Katiba ya Zambia imetangaza tarehe 21 mwezi huu wa Februari kuwa siku ya kusikiliza kesi ya wapinzani nchini humo wanaotaka ufafanuzi wa kikatiba kuhusu iwapo Rais Edgar Lungu wa nchi hiyo anafaa kuwania urais kwa muhula wa tatu au la mwaka 2021.
-
Somalia yatangaza tarehe mpya ya uchaguzi wa rais
Jan 26, 2017 10:14Kwa mara nyingine tena Somalia imetangaza tarehe mpya ya kufanyika uchaguzi wa rais licha ya mji mkuu wa nchi hiyo kutikiswa na shambulizi la kigaidi hapo jana.
-
Mtoto wa Rais mteule wa Gambia afariki kwa kushambuliwa na mbwa
Jan 17, 2017 03:57Mtoto wa kiume wa Rais-mteule wa Gambia mwenye umri wa miaka minane amefariki dunia kwa kushambuliwa na mbwa katika mazingira ya kutatanisha, wakati huu ambapo baba yake yuko nchini Senegal.
-
Dakta Shein amjibu Maalim Seif, asema madai yake ni ya kipropaganda
Jan 10, 2017 04:48Rais wa Zanzibar Dakta Ali Mohamed Shein amewataka wananchi visiwani humo kuacha kusikiliza kile alichokitaja kuwa maneno ya propaganda kutoka kwa wapinzani kwa kuwa katu hakuna Rais mwingine atakayeongoza Zanzibar wakati yeye yupo madarakani.
-
Waziri Mkuu wa Ivory Coast ajiuzulu na kuvuja serikali, Rais kuhutubia Bunge
Jan 10, 2017 04:40Waziri Mkuu wa Ivory Coast, Daniel Kablan Duncan amejiuzulu na kutangaza kuvunja serikali yake katika hatua ambayo ilitarajiwa kufuatia kuidhinishwa kwa Katiba mpya ya nchi na uchaguzi wa Bunge uliofanyika mwezi uliopita wa Disemba 2016.