Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Rais

  • Mahakama ya Juu Uganda yatupilia mbali kesi ya kupinga ushindi wa Museveni

    Mahakama ya Juu Uganda yatupilia mbali kesi ya kupinga ushindi wa Museveni

    Mar 31, 2016 09:33

    Mahakama ya Juu ya Uganda imetupilia mbali kesi iliyowasilishwa na Waziri Mkuu wa zamani nchini humo Amama Mbabazi ya kupinga ushindi wa Rais Yoweri Museveni katika uchaguzi wa rais wa Februari mwaka huu.

  • Dakta Shein aapishwa kushika hatamu ya uongozi Zanzibar

    Dakta Shein aapishwa kushika hatamu ya uongozi Zanzibar

    Mar 24, 2016 11:53

    Rais mteule wa Zanzibar, Dakta Ali Mohamed Shein ameapishwa leo kushika hatamu ya uongozi visiwani humo. Dakta Shein ameapishwa leo kufuatia ushindi alioupata Jumapili iliyopita wa kura 299,982 sawa na asilimia 91.4 ya kura zote halali 328,327 zilizopigwa katika uchaguzi marudio.

  • Wasenegal waunga mkono kupunguzwa muhula wa rais

    Wasenegal waunga mkono kupunguzwa muhula wa rais

    Mar 24, 2016 10:40

    Idadi kubwa ya wananchi wa Senegal wameunga mkono azma ya kufanyiwa marekebisho katiba ya nchi ili kupunguza muhula wa rais wa nchi hiyo.

  • Shein ashinda uchaguzi wa rais Zanzibar kwa 91%, Maalim Seif 1.9% licha ya kususia

    Shein ashinda uchaguzi wa rais Zanzibar kwa 91%, Maalim Seif 1.9% licha ya kususia

    Mar 21, 2016 11:45

    Tume ya Uchaguzi Zanzibar ZEC imemtangaza mgombea wa kiti cha rais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM, Dakta Ali Muhammed Shein kuwa mshindi wa uchaguzi wa marudio uliofanyika jana visiwani humo.

  • Upinzani kususia duru ya pili ya uchaguzi wa rais Niger

    Upinzani kususia duru ya pili ya uchaguzi wa rais Niger

    Mar 09, 2016 04:29

    Muungano wa upinzani nchini Niger umesema mgombea wake wa kiti cha rais Hama Amadou hatoshiriki katika duru ya pili ya uchaguzi wa rais dhidi ya Rais Mahamadou Issoufou aliyeko madarakani.

  • Rais wa Gabon kuwania muhula wa pili mwaka huu

    Rais wa Gabon kuwania muhula wa pili mwaka huu

    Mar 01, 2016 04:22

    Rais wa Gabon Ali Bongo amesema atawania kuhifadhi kiti chake kwa muhula wa pili katika uchaguzi mkuu uliopangwa kufanyika baadaye mwaka huu.

  • Ujumbe wa AU wawasili Burundi baada ya kuondoka Ban Ki-Moon

    Ujumbe wa AU wawasili Burundi baada ya kuondoka Ban Ki-Moon

    Feb 25, 2016 12:59

    Rais Jacob Zuma wa Afrika Kusini anaongoza ujumbe wa marais wanne wa Umoja wa Afrika ambao umewasili nchini Burundi leo Alkhamisi kwa lengo la kufanya mazungumzo ya kuutafutia ufumbuzi mzozo wa kisiasa unaoikabili nchi hiyo tangu mwezi Aprili mwaka jana.

  • Ujumbe wa AU wawasili Burundi baada ya kuondoka Ban Ki-Moon

    Ujumbe wa AU wawasili Burundi baada ya kuondoka Ban Ki-Moon

    Feb 25, 2016 11:59

    Rais Macky Sall wa Senegal anaongoza ujumbe wa marais wanne wa Umoja wa Afrika ambao umewasili nchini Burundi leo Alkhamisi kwa lengo la kufanya mazungumzo ya kuutafutia ufumbuzi mzozo wa kisiasa unaoikabili nchi hiyo tangu mwezi Aprili mwaka jana.

  • Wananchi wa Niger washiriki uchaguzi wa rais

    Wananchi wa Niger washiriki uchaguzi wa rais

    Feb 21, 2016 12:32

    Wananchi wa Niger waliotimiza masharti ya kupiga kura, leo wameelekea kwenye masanduku ya kupigia kura kumchagua rais atakayeiongoza nchi hiyo ya magharibi mwa Afrika, ambayo kwa muda sasa imekuwa ikikabiliwa na shambulio moja baada ya jingine kutoka kundi la kigaidi na kitakfiri la Boko Haram.

  • Mugabe: Tutawaadhibu wanaogombania kunirithi urais

    Mugabe: Tutawaadhibu wanaogombania kunirithi urais

    Feb 20, 2016 10:15

    Rais Robert Mugabe wa Zimbabwe ametishia kuwachukulia hatua za kinidhamu makada wa chama tawala nchini humo ZANU-PF wanaozozana kuhusu ni nani atakayerithi kiti cha urais baada yake.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS