-
Chuki dhidi ya dini ya Kiislamu katika nchi za Kimagharibi 16 na sauti
Nov 25, 2017 15:46Hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kutegea sikio sehemu ya 16 ya makala yanayozungumzia chuki na matukio ya kibaguzi dhidi ya Uislamu na Waislamu kwa ujumla katika nchi za Magharibi.
-
UN: Myanmar sio salama kwa Waislamu Warohingya kurejea
Nov 24, 2017 12:22Shirika la Kuhudumia Wakimbizi la Umoja wa Mataifa UNHCR limesema hali katika mkoa wa Rakhine nchini Myanmar sio shwari kuweza kuwapokea malaki ya wakimbizi Waislamu wa jamii ya Rohingya waliokimbilia nchini Bangladesh.
-
UN: Wakimbizi Waislamu wa Rohingya wanakabiliwa na hatari kubwa
Nov 19, 2017 12:55Umoja wa Mataifa umetangaza kuwa una wasiwasi kuhusu hatari zinazowakabili Waislamu wakimbizi wa Rohingya katika wimbi la kufukuzwa huko Myanmar.
-
China: Myanmar na Bangladesh zishirikiane kutatua matatizo ya Waislamu wa Rohingya
Nov 19, 2017 04:12Waziri wa Mambo ya Nje wa China, Wang Yi amezitaka serikali za Myanmar na Bangladesh kutatua matatizo ya Waislamu wa Rohingya, badala ya kusubiri utatuzi wa jamii ya kimataifa katika uwanja huo.
-
HRW: Jeshi na polisi wa Myanmar wamebaka na kunajisi wanawake wengi Waislamu
Nov 16, 2017 12:31Shirika la kutetea haki za binadamu la Human Rights Watch limetangaza kuwa, wanajeshi na polisi wa Myanmar wamefanya uhalifu mkubwa wa kunajisi na kubaka wasichana na wanawake wa Rohingya ikiwa ni sehemu ya maangamizi ya kizazi dhidi ya Waislamu nchini humo.
-
Bangladesh yaitaka dunia iishinikize Myanmar iacha kuwakandamiza Waislamu
Nov 05, 2017 23:15Waziri Mkuu wa Bangladesh Sheikh Hasina ametoa wito kwa jamii ya kimataifa kuishinikiza Myanmar isitishe ukandamizaji wa Waislamu wa jamii ya Rohingya nchini humo.
-
EU: Idadi ya watoto mayatima wa Rohingya waliokimbilia Bangladesh ni 40,000
Nov 02, 2017 04:01Kamishna Mkuu wa Misaada ya Kibinadamu na Kudhibiti Majanga wa Umoja wa Ulaya amesema zaidi ya watoto elfu 40 ni miongoni mwa malaki ya wakimbizi wa jamii ya Rohingya waliokimilia nchini Bangladesh kutokana na mauaji na ukandamizaji unaofanywa dhidi yao na serikali ya Myanmar.
-
Chuki dhidi ya dini ya Kiislamu katika nchi za Kimagharibi na sauti-12
Oct 31, 2017 10:02Hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kutegea sikio sehemu ya 12 ya makala yanayozungumzia chuki na matukio ya kibaguzi dhidi ya Uislamu na Waislamu kwa ujumla katika nchi za Magharibi.
-
Waislamu 7 wa Rohingya waghariki katika ajali nyingine ya boti
Oct 31, 2017 09:55Waislamu saba wa jamii ya Rohingya wamepoteza maisha katika ajali mbili tofauti za boti karibu na pwani ya Bangladesh wakikimbia mauaji na ukandamizaji unaofanywa dhidi yao na serikali ya Myanmar.
-
Chuki dhidi ya dini ya Kiislamu katika nchi za Kimagharibi na sauti-11
Oct 31, 2017 09:44Ni matumaini yangu kuwa hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kutegea sikio sehemu ya 11 ya makala yanayozungumzia chuki na matukio ya kibaguzi dhidi ya Uislamu na Waislamu kwa ujumla katika nchi za Magharibi.