Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Rohingya

  • Ayatullah Shirazi: Waislamu wasinyamazie kimya jinai dhidi ya wenzao wa Rohingya

    Ayatullah Shirazi: Waislamu wasinyamazie kimya jinai dhidi ya wenzao wa Rohingya

    Oct 29, 2017 12:32

    Ayatullah Makarim Shirazi ambaye ni miongoni mwa wanazuoni wakubwa wa Kiislamu nchini Iran ameeleza kusikitishwa kwake na hali mbaya inayozidi kuwakabili Waislamu wa jamii ya Rohingya huku akiwataka Waislamu kote duniani kutofumbia macho jinai wazofanyia ndugu zao nchini Myanmar.

  • Bangladesh kufunga uzazi wakimbizi Waislamu Warohingya kutoka Myanmar

    Bangladesh kufunga uzazi wakimbizi Waislamu Warohingya kutoka Myanmar

    Oct 28, 2017 12:07

    Maafisa wa afya nchini Bangladesh wamesema wameanzisha mpango maalumu wa kupunguza idadi ya wakimbizi Waislamu wa jamii ya Rohingya ambao wamekimbia mauaji ya kimbari huko Myanmar na kujazana katika kambi za wakimbizi nchini Bangladesh.

  • Waislamu Warohingya Myanmar wanakabiliwa na mauaji ya kimbari

    Waislamu Warohingya Myanmar wanakabiliwa na mauaji ya kimbari

    Oct 22, 2017 23:21

    Waislamu wa jamii ya Rohingya nchini Myanmar wanakabiliwa na mauaji ya kimbari kwa lengo la kuwamaliza kabisa katika nchi hiyo ya bara Asia.

  • Watoto wakimbizi wa Rohingya wafanywa watumwa wa ngono

    Watoto wakimbizi wa Rohingya wafanywa watumwa wa ngono

    Oct 20, 2017 04:23

    Wanaofanya magendo ya binadamu na biashara haramu ya utumwa wa ngono wameanza kuwavizia wanawake na watoto wadogo wa jamii ya Rohingya waliofurika katika kambi za wakimbizi zilizoko katika mpaka wa Myanmar na Bangladesh.

  • Mauaji ya Waislamu wa Rohingya Myanmar yamewafanya mayatima, watoto 14 elfu

    Mauaji ya Waislamu wa Rohingya Myanmar yamewafanya mayatima, watoto 14 elfu

    Oct 16, 2017 04:44

    Idara ya Huduma za Kijamii nchini Bangladesh imesema watoto karibu 14 elfu wa Rohingya wamekuwa mayatima baada ya kupoteza wazazi wao katika mauaji yanayofanywa dhidi ya Waislamu wa jamii hiyo nchini Myanmar.

  • Myanmar inawanyima chakula Waislamu wa jamii ya Rohingya

    Myanmar inawanyima chakula Waislamu wa jamii ya Rohingya

    Oct 13, 2017 10:49

    Shirika moja la kutetea haki za binadamu linasema serikali ya Myanmar inazuia kwa makusudi chakula kuwafikia Waislamu wa jamii ya Rohingya kwa lengo la kuwalazimisha kukimbia ardhi yao ya jadi nchini humo.

  • Baraza la Usalama la UN linakutana leo kujadili masaibu ya Waislamu wa Myanmar

    Baraza la Usalama la UN linakutana leo kujadili masaibu ya Waislamu wa Myanmar

    Oct 13, 2017 01:07

    Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa leo linakutana katika kikao kisicho rasmi kwa ajili ya kujadili mgogoro na masaibu yanayowakabili Waislamu Warohingya wa nchini Myanmar.

  • Makumi ya Waislamu wa Rohingya wafa maji katika ajali ya boti

    Makumi ya Waislamu wa Rohingya wafa maji katika ajali ya boti

    Oct 09, 2017 04:38

    Kwa akali Waislamu 12 wa jamii ya Rohingya wamefariki dunia katika Mto Naf katika mpaka wa Myanmar na Bangladesh baada ya boti yao kuzama, wakikimbia mauaji na ukandamizaji unaofanywa na wanajeshi wa serikali ya nchi hiyo dhidi ya jamii hiyo.

  • HRW: Jeshi la Myanmar linawaua na kuwanajisi Waislamu wa Myanmar

    HRW: Jeshi la Myanmar linawaua na kuwanajisi Waislamu wa Myanmar

    Oct 05, 2017 04:26

    Shirika la kutetea haki za binadmau la Human Rights Watch (HRW) limesema jeshi la Myanmar linawaua kiholela na kuwanajisi Waislamu wa jamii ya Rohingya magharibi mwa nchi hiyo.

  • UNHCR yaomba bajeti kwa ajili ya kuwasaidia Waislamu wa Myanmar

    UNHCR yaomba bajeti kwa ajili ya kuwasaidia Waislamu wa Myanmar

    Oct 05, 2017 01:05

    Shirika la Kuhudumia Wakimbizi la Umoja wa Mataifa UNHCR limeomba bajeti kwa ajili ya kuwasaidia wakimbizi wa Kiislamu wa jamii ya Rohingyya wa nchini Myanmar.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS